Podcasts by Category

Alfajiri - Voice of America

Alfajiri - Voice of America

VOA

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo. Ratiba: Monday-Friday Saa (kwa saa za huku): 06:00 UTC saa ya kimataifa 0300 Muda: 30 Sikiliza: Podcast

2214 - Marekani: Mamlaka za Baltimore zasitisha shughuli za kutafuta manusura wa ajali ya meli - Machi 27, 2024
0:00 / 0:00
1x
  • 2214 - Marekani: Mamlaka za Baltimore zasitisha shughuli za kutafuta manusura wa ajali ya meli - Machi 27, 2024

    Gavana wa Jimbo la Maryland, Wes Moore, ameweka wazi kuwa hapakuwa na kitendo chochote cha kigaidi baada ya daraja kuu katika mji wa Baltimore kubomoka Jumanne asubuhi wakati meli iliyobeba mizigo kugonga nguzo yake.

    Wed, 27 Mar 2024 - 29min
  • 2213 - Senegal: Bassirou Faye aahidi wananchi kwamba ataongoza kwa unyeyekevu na uwazi - Machi 26, 2024

    Mgombea urais kwa tikiti ya upinzani wa Senegal Bassirou Diomaye Faye, mgeni kisiasa, lakini ambaye ni maarufu miongoni mwa vijana wasioridhishwa na utawala uliopo, aliahidi Jumatatu kutawala kwa unyenyekevu na uwazi, wakati akisubiri kutangazwa kuwa rais ajaye.

    Tue, 26 Mar 2024 - 29min
  • 2212 - Kura zaendela kuhesbiwa Senegal huku wafuasi wa mgombea kwa tikiti ya upinzani wakishangilia "ushindi" mitaani - Machi 25, 2024

    Hesabu za kwanza katika vituo vya kupigia kura katika uchaguzi wa rais uliocheleweshwa nchini Senegal Jumapili zinaonyesha mgombea wa upinzani Bassirou Diomaye Faye akiongoza. Wafuasi wake walianza kusherekea mitaani baada ya siku ya amani ya uchaguzi ambayo wengi wanatumaini utaleta mabadiliko.

    Mon, 25 Mar 2024 - 30min
  • 2211 - DRC, nchi yenye maji mengi na misitu mikubwa lakini raia bado wanakabiliwa na uhaba wa maji - Machi 22, 2024
    Fri, 22 Mar 2024 - 30min
  • 2210 - Miji mikubwa ya DRC inakabiliwa na joto kali ambalo halijawahi kushuhudiwa - Machi 21, 2024
    Thu, 21 Mar 2024 - 29min
Show More Episodes