Filtrer par genre

Redio Rumuli Podcast

Redio Rumuli Podcast

Rumuli Podcast

Katika sehemu hii utapata vipindi na makala mbali mbali toka redio Rumuli. Unaweza kuchagua toka hazina yetu ya makala zenye upako na msaada kwa maisha yako ya kila siku. Mahubiri, mafunzo ya watoto, vipindi vya vijana, wababa na wamama, michezo, uchumi na biashara, kilimo na ufugaji, maadili, habari na burudani. Wasiliana pamoja nasi kupitia kwa barua pepe rumuli@nehemiatz.org au whatsapp, telegram no +255627909686.

34 - Neno La Mungu
0:00 / 0:00
1x
  • 34 - Neno La Mungu

    Neno la Mungu ni taa ya miguu yetu

    Thu, 09 May 2024 - 1h 31min
  • 33 - Tenzi No 26

    Tenzi za Rohoni hutusaidia kumuimbia Mungu wetu kwa namna ambayo mioyo yetu inaungana naye katika ibada

    Tue, 07 May 2024 - 32min
  • 32 - Ulimwengu Wa Miujiza 2

    Karibu sana katika Kipindi cha Ulimwengu wa Miujiza, kipindi ambacho kinakuletea mambo mengi yanayohusiana na utendaji wa nguvu ya Mungu katika maisha ya mwanadamu. Hii ni nguvu ya kiMungu ambayo inafanya kazi ya ajabu kwenye maisha ya mwanadamu na kuleta badiliko la ajabu juu ya wote wanaoliamini jina la Yesu Kristo. Ni imani yangu kwamba hadi unamaliza kusikiliza kipindi hiki, utapata neema ya kuelewa na kuendelea kuiamini nguvu hii inayoutengeneza ulimwengu wa miujiza ambayo akili na uwezo wa mwanadamu hauwezi kufanya.

    Thu, 18 May 2023 - 30min
  • 31 - Ulimwengu Wa Miujiza

    Thu, 18 May 2023 - 29min
  • 30 - Ulimwengu Wa Mkristo Tetes Za Vita

    Ulimwengu wa Mkristo ni kipindi ambacho kinakuletea mkusanyiko wa mambo tofauti hususani habari na matukio yanayojiri katika ulimwengu huu na kuligusa moja kwa moja Kanisa la Yesu Kristo. Katika kufuatilia kipindi hiki, utapata kuyafahamu mambo mengi yanayojiri na pengine kukupa neema ya kujiimarisha kiroho wakati Kanisa likipita katika vipindi tofauti na vigumu, hususani kipindi hiki cha nyakati za siku za mwisho.

    Thu, 11 May 2023 - 06min
Afficher plus d'épisodes