Filtrer par genre
- 2 - Microsoft amefanya maboresho kwenye emails za Outlook
Microsoft ameamua kufanya maboresho kwenye Outlook ili kuweza kupambana na soko la email hasa ukilinganisha Gmail mwaka huu pia ilifanyiwa maboresho na Google katika kuipa nafasi nzuri ya kiushindani katika kipindi hiki ambacho watu Google na Microsoft zinashindana kuhakikisha zinapata watumiaji wengi. Maboresho hayo ni kuzuia "Reply to all" isilete kero endapo ukiwa kwenye email yenye watu wengi; Outlook mails zitaweza kutuma email baadae kutokana na muda utakaopendelea (Send Later option); na pia Outlook inaweza kukupa mawazo ya sentensi za kujibu kuendana na email ilivyo ili ikurahisishie kujibu email haraka endapo ukiwa una shughuli nyingine za kufanya. Endelea kufuatilia Podcast hii ya Swahili Tek kupata taarifa nyingi na updates mbalimbali za Teknolojia. Karibu sana!!!
Tue, 12 May 2020 - 06min - 1 - Utangulizi
Karibu katika Swahili Tek, Podcast ambayo itakufahamisha mengi kuhusiana na mambo yanayotrend kwenye gadgets, simu, mitandao ya kijamii, na updates za vifaa tunavyotumia kila siku katika shughuli zetu. Hii ni Bonus ya utambulisho na kila siku nitakuwa natoa news na stories ambazo zimetokea mitandaoni.
Sat, 9 May 2020 - 02min
Podcasts similaires à Swahili Tek
El Partidazo de COPE COPE
Herrera en COPE COPE
La Linterna COPE
Es la Mañana de Federico esRadio
La noche de Cuesta esRadio
Hondelatte Raconte Europe 1
Au Coeur du Crime Europe1
Affaires sensibles France Inter
LEGEND Guillaume Pley
El colegio invisible OndaCero
La Rosa de los Vientos OndaCero
Les grands dossiers de l'Histoire par Franck Ferrand Radio Classique
Espacio en blanco Radio Nacional
Enquêtes criminelles RTL
Entrez dans l'Histoire RTL
Le grand récit RTL
Les Grosses Têtes RTL
Les histoires incroyables de Pierre Bellemare RTL
L'Heure Du Crime RTL
El Larguero SER Podcast
SER Historia SER Podcast
Todo Concostrina SER Podcast
Un Libro Una Hora SER Podcast
HISTORIAS DE LA HISTORIA VIVA RADIO
