Podcasts by Category

Watushule Swahili Podcast

Watushule Swahili Podcast

Waafrika wanaofikiria.

Podikasti ya Watushule Tunafikiri, basi tunakuwa. Watushule ni podikasti kwa watu wanaotaka kuishi maisha yenye mwelekeo na uelewa mzuri. Kila kipindi kinazungumzia mambo muhimu yanayoathiri maisha yetu — kama kusudi, nidhamu, utambulisho, kazi, na hali halisi ya maisha ya Mwafrika katika dunia ya leo. Hii si motisha. Hii ni fikra. Kama unahisi kuna zaidi katika maisha kuliko yale uliyozoea au kuambiwa… basi hii ni sehemu sahihi kwako.

www.watushule.com

10 - Kuwa na watu wengi wa karibu haimaanishi wengi watakuwa na umuhimu kwako.
0:00 / 0:00
1x
  • 10 - Kuwa na watu wengi wa karibu haimaanishi wengi watakuwa na umuhimu kwako.
    Sun, 31 May 2026
  • 9 - Pesa inazaa pesa. Na pesa inayozaa pesa huzaa pesa zaidi.
    Sun, 24 May 2026
  • 8 - Watu wengi kufanya jambo fulani haimaanishi hilo jambo ni sahihi.
    Thu, 14 May 2026
  • 7 - Usitafute mafanikio. Tafuta njia za kutokufeli
    Mon, 04 May 2026
  • 6 - Malengo yanakusaidia kuanza. Mifumo inakusaidia kumaliza.
    Tue, 28 Apr 2026
Show More Episodes