Filtra per genere

VOA Express - Voice of America

VOA Express - Voice of America

VOA

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.

2184 - Vijana Miraji na Khadija wana maoni mseto kuhusu ndoa za kutafutiwa na zile ambazo vijana wanajitafutia wao wenyewe. - Mei 06, 2024
0:00 / 0:00
1x
  • 2184 - Vijana Miraji na Khadija wana maoni mseto kuhusu ndoa za kutafutiwa na zile ambazo vijana wanajitafutia wao wenyewe. - Mei 06, 2024

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

    Mon, 06 May 2024 - 29min
  • 2183 - Shule kuendelea kufungwa Kenya kutokana na mafuriko - Mei 03, 2024

    VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.

    Fri, 03 May 2024 - 29min
  • 2182 - Changamoto ya vijana kutaka kuingia kwenye sekta ya burudani kama njia ya kujiajiri - Mei 02, 2024
    Thu, 02 May 2024 - 29min
  • 2181 - Baadhi ya vijana wa Tanzania na Uganda wanaelezea hali ya fursa na changamoto za ajira zilizopo katika maadhimisho la siku ya wafanyakazi. - Mei 01, 2024

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

    Wed, 01 May 2024 - 29min
  • 2180 - Madaktari bingwa wanatarajiwa kuwasili Morogoro nchini Tanzania kufanya uchunguzi na kutibu maradhi mbalimbali kwa wakaazi katika mkoa huo. - Aprili 30, 2024

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

    Tue, 30 Apr 2024 - 29min
Mostra altri episodi