Podcasts by Category

VOA Express - Voice of America

VOA Express - Voice of America

VOA

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.

2177 - Dunia inaadhimisha siku ya Malaria kwa kauli mbiu "Kuharakisha mapambano dhidi ya Malaria kwa dunia yenye usawa zaidi". - Aprili 25, 2024
0:00 / 0:00
1x
  • 2177 - Dunia inaadhimisha siku ya Malaria kwa kauli mbiu "Kuharakisha mapambano dhidi ya Malaria kwa dunia yenye usawa zaidi". - Aprili 25, 2024

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

    Thu, 25 Apr 2024 - 29min
  • 2176 - Edwik anaeleza mafunzo aliyopata ya kuwalinda watoto wakati wa majanga katika warsha iliyoandaliwa na Raising Up Friendship ya Tanzania. - Aprili 24, 2024

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

    Wed, 24 Apr 2024 - 29min
  • 2175 - Kuongeza miundombinu ya mawasiliano katika maeneo ya vijijini ni moja ya njia ya kumpa fursa mwanamke wa kijijini sawa na wa mjini - Aprili 23, 2024
    Tue, 23 Apr 2024 - 29min
  • 2174 - Je ni njia ipi inayofaa zaidi katika kutoa ushauri nasaha? Ni ya moja kwa moja au ya kimitandao? Mtaalam atoa maoni. - Aprili 22, 2024

    VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.

    Mon, 22 Apr 2024 - 29min
  • 2173 - Jamii imewaahidi vijana kuwa ni viongozi wa kesho. Je hilo limetimizwa au la? Vijana wanatoa maoni. - Aprili 19, 2024

    VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.

    Fri, 19 Apr 2024 - 29min
Show More Episodes