Filtrar por gênero

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

2784 - Charlie "Mashabiki wa Bien watarajie bonge la tamasha"
0:00 / 0:00
1x
  • 2784 - Charlie "Mashabiki wa Bien watarajie bonge la tamasha"

    Wakaaji wa Sydney wana jiandaa kuhudhuria moja ya tamasha kubwa ya mwaka wa 2024, inayo andaliwa na kampuni ya Beast from the East Entertainment.

    Sat, 04 May 2024 - 10min
  • 2783 - Afrika Kusini ya adhimisha mwisho wa kumbukumbu ya apartheid wakati wa ongezeko ya kutoridhika nchini humo

    Africa Kusini ina adhimisha miaka 30 tangu uchaguzi wakwanza wayo waki demokrasia ambapo kila raia wa Afrika Kusini aliweza piga kura.

    Sat, 04 May 2024 - 06min
  • 2782 - Taarifa ya Habari 3 Mei 2024

    Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema waendesha mashtaka wa shirikisho walifanya uamuzi mubaya kuruhusu dhamana kwa mfungwa wa uhamiaji, ambaye baadae anadaiwa kumshambulia bibi mmoja mjini Perth katika tukio la uvamizi wa nyumba.

    Fri, 03 May 2024 - 17min
  • 2781 - MCA Tricky "Nili ingia katika ucheshi kujibamba"

    MCA Tricky ni mmoja wa wacheshi maarufu nchini Kenya, kazi zake zina endelea kuwavutia mashabiki wengi.

    Fri, 03 May 2024 - 08min
  • 2780 - Taarifa ya Habari 30 Aprili 2024

    Ripoti mpya kuhusu mauaji nchini Australia, imeonesha kuwa idadi ya wanawake ambao wame uawa na wapenzi wao wa sasa au wazamani, imeongezeka kwa asilimia 28 mwaka huu hadi Juni 2023.

    Tue, 30 Apr 2024 - 20min
Mostrar mais episódios