Podcasts by Category
- 2774 - Utofauti wa tamaduni zawa Anzac wa Australia
Kila mwaka tarehe 25 Aprili, huwa tuna adhimisha Anzac Day, ni siku ambapo tunawakumbuka walio hudumu nakufia vitani.
Thu, 25 Apr 2024 - 13min - 2773 - Shakilah afunguka kuhusu huduma za Rotary Safe Families Victoria
Shirika la Rotary Safe Families, hutoa taarifa zaku saidia kuzuia unyanyasaji kupitia miongozo iliyo tafsiriwa pamoja na filamu.
Wed, 24 Apr 2024 - 09min - 2772 - Taarifa ya Habari 23 Aprili 2024
Waziri Mkuu amewasifu wanajeshi wa Australia walio kuwa sehemu ya historia ya jeshi, katika eneo la Kokoda Track anapo jiandaa kutembea katika nyayo zamagwiji.
Tue, 23 Apr 2024 - 18min - 2771 - Jinsi yakupata leseni yakuendesha gari Australia
Kuendesha gari hutoa uhuru na huongeza fursa zakupata kazi ila, shughuli hiyo huja pia na wajibu mkubwa waku hakikisha usalama barabarani.
Tue, 23 Apr 2024 - 12min - 2770 - Nicky "kupitia Taunet Nelel vijana wengi wame anza kujijenga kimaisha"
Wakenya wanao ishi Australia watajumuika katika jiji la Dandenong jimboni Victoria, kuhudhuria hafla la shirika la Taunet Nelel.
Fri, 19 Apr 2024 - 12min - 2769 - Taarifa ya Habari 19 Aprili 2024
Waziri Mkuu ame sisitiza umuhimu wa mshikamano wakijamii nchini Australia, kufuatia uchunguzi kwa shambulizi lakigaidi la kudungwa kisu ndani ya kanisa wiki hii.
Fri, 19 Apr 2024 - 15min - 2768 - Kuelewa haki yakuandamana Australia na usawa kati ya uhuru wakujieleza na majukumu yakijamii
Karibu kila wiki wa Australia walio na shauku huwa nje mitaani, wakipaza sauti zao waki andamana kuhusu maswala muhimu.
Fri, 19 Apr 2024 - 11min - 2767 - Taarifa ya Habari 18 Aprili 2024
Askofu aliye dungwa kisu wakati wa ibada iliyo kuwa ikipeperushwa mubashara, amezungumza kwa mara ya kwanza tangu shambulizi hilo linalo shukiwa kuwa lakigaidi, akisema ame msamehe kijana anaye shukiwa kuwajibika kwa shambulizi hilo.
Thu, 18 Apr 2024 - 07min - 2766 - Kuelewa sheria za vizuizi vya watoto pamoja na mazoezi bora
Hata kama Australia ina fahari yakuwa na moja ya viwango vya juu zaidi vya matumizi ya vizuizi vya watoto ndani ya gari, watoto wengi bado wana safiri ndani ya magari katika hali isiyo salama kutosha.
Tue, 16 Apr 2024 - 12min - 2765 - Taarifa ya Habari 15 Aprili 2024
Polisi wamesema mwanaume aliye uwa watu sita kwa kuwadunga kisu ndani ya soko la Westfield Bondi Junction, ali waepuka wanaume kimakusudi nakuwalenga wanawake na watoto.
Mon, 15 Apr 2024 - 06min - 2764 - Polisi wamtambua mshambuliaji katika mauaji ya watu wengi ambako watu sita walifariki
Jeshi la polisi la New South Wales lime anza uchunguzi kwa shambulizi la kisu, lililo wauwa watu sita ndani ya soko kubwa katika vitongoji vya mashariki ya Sydney.
Mon, 15 Apr 2024 - 07min - 2763 - Taarifa ya Habari 12 Aprili 2024
Kiongozi wa upinzani Peter Dutton ametetea kauli yake, yakufananisha umuhimu kwa jamii maandamano yanayo unga mkono wapalestina katika jengo la Sydney Opera House na mauaji ya halaiki ya Port Arthur.
Fri, 12 Apr 2024 - 16min - 2762 - Jinsi yakujiandaa kwa dhoruba na mafuriko Australia
Katika muongo ulio pita, Australia imepitia matukio mabaya sana ya mafuriko katika historia ya hivi karibuni. Kati ya miaka ya 2020-2022, sehemu kubwa zime zama chini ya maji mara tatu au mara nne.
Fri, 12 Apr 2024 - 14min - 2761 - Taarifa ya Habari 9 Aprili 2024
Shirika la ustawi wa jamii lina omba pawe ongezeko kwa malipo ya hifadhi ya jamii baada ya utafiti wayo mpya kupata kuwa, wa Australia wanao pokea malipo ya ustawi wanakabiliana na hali ngumu kumudu moja ya ongezeko gumu zaidi la gharama ya maisha katika miongo.
Tue, 09 Apr 2024 - 15min - 2760 - Taarifa ya Habari 8 Aprili 2024
Kiongozi wa chama cha Nationals David Littleproud amesema anaunga mkono adhabu kwa tabia mbaya za maduka makubwa ila, ameongezea kuwa mabadiliko hayo hayata jiri haraka yakutosha kwa watumiaji.
Mon, 08 Apr 2024 - 08min - 2759 - Mkurugenzi afunguka kuhusu ziara ya AustraliaMon, 08 Apr 2024 - 17min
- 2758 - Mgomo wamadaktari wa tikisa sekta ya matibabu Kenya
Muungano wa Madaktari, Wafamasia na Madaktari wa Meno nchini Kenya (KMPDU) ulizindua mgomo wa kitaifa ukitaka mazingira bora ya kazi na nyongeza ya mishahara Machi 13.
Sat, 23 Mar 2024 - 06min - 2757 - Taarifa ya Habari 22 Machi 2024
Waziri wa Ulinzi Richard Marles amesema uchumi utafaidi kupitia makubaliano yakupiga jeki uzalishaji wa manowari yanayo tumia nishati ya nyuklia ya Uingereza kama sehemu ya mkataba wa AUKUS.
Fri, 22 Mar 2024 - 15min - 2756 - Jinsi yakuandaa ombi la kazi: vidokezo vya mafanikioFri, 22 Mar 2024 - 11min
- 2755 - The importance of understanding cultural diversity among Indigenous peoples - Umuhimu wa kuelewa tofauti zakitamaduni miogoni mwa wa Australia wa kwanza
Understanding the diversity within the First Nations of Australia is crucial when engaging with Aboriginal and Torres Strait Islander peoples and building meaningful relationships. - Kuelewa utofauti ndani ya jumuiya yawa Australia wa Kwanza ni muhimu unapo jihusisha nawa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait pamoja nakujenga mahusiano yenye maana.
Fri, 22 Mar 2024 - 09min - 2754 - Taarifa ya Habari 19 Machi 2024
Serikali ya Albanese imesema itapinga kuachiwa huru kwa zaidi ya watu 100 ambao wako ndani ya kizuizi cha uhamiaji, katika kesi nyingine muhimu itakayo fikishwa mbele ya mahakama kuu.
Tue, 19 Mar 2024 - 18min - 2753 - Wasiwasi wachukua nafasi ya zawadi za Pasaka kwa famiia zinazo pitia wakati mgumu
Wakati wa Australia wengi wana jiandaa kwa likizo ndefu ya Pasaka, mashirika yamisaada ya chakula nayo yana jiandaa kwa muda wa shughuli nyingi zaidi ya mwaka.
Tue, 19 Mar 2024 - 08min - 2752 - Taarifa ya Habari 18 Machi 2024
Vizuizi vya uhamiaji vinatarajiwa kutawala siasa za Australia wiki hii wakati serikali ina jiandaa kukabiliana na kesi nyingine ndani ya mahakama kuu, ambako watu wingine 100 wanaweza achiwa huru.
Mon, 18 Mar 2024 - 06min - 2751 - Taarifa ya Habari 15 Machi 2024
Mamlaka jimboni Victoria wame zindua uchunguzi kwa mgodi ulio bomoka mjini Ballarat naku uwa mwanaume mmoja pamoja nakumuacha mwingine akipigania maisha yake.
Fri, 15 Mar 2024 - 16min - 2750 - Umuhimu wa kuelewa tofauti zakitamaduni miogoni mwa wa Australia wa kwanza
Utofauti tajiri ndani ya umma wa waAustralia wa kwanza ni kipengele cha kuvutia, kupinga dhana potofu ya kawaida kuwa watu wote ambao niwa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait wote wako sawa.
Fri, 15 Mar 2024 - 12min - 2749 - Taarifa ya Habari 14 Machi 2024
Polisi wame pata mwii wa mwanaume aliye fariki ndani ya mgodi ulio bomoka Ballarat, katika kanda ya Victoria.
Thu, 14 Mar 2024 - 05min - 2748 - Rahab"Serikali imesikia nakuchukulia hatua kilio chetu kuhusu utapeli"
Viongozi wa makampuni na biashara kutoka Kenya wame tua mjini Melbourne kushiriki katika kongamano la biashara.
Wed, 13 Mar 2024 - 10min - 2747 - Taarifa ya Habari 12 Machi 2024
Serikali imesema imetupilia mbali kutumia ushuru kuwekeza mfumo wa malezi ya wazee, baada yakutolewa kwa ripoti ya nguvu kazi katika sekta hiyo.
Tue, 12 Mar 2024 - 20min - 2746 - Ramadan na Eid ni nini na husherehekewaje AustraliaTue, 12 Mar 2024 - 11min
- 2745 - Taarifa ya Habari 11 Machi 2024
Polisi wamesema juhudi zakumtafuta mvulana wa miaka 12 katika eneo la magharibi Sydney, zimefika katika hatua muhimu wasiwasi kuhusu ustawi wake ukiendelea kuongezeka.
Mon, 11 Mar 2024 - 04min - 2744 - Kotnyin afunguka kuhusu siku ya kimataifa ya wanawakeFri, 08 Mar 2024 - 08min
- 2743 - Taarifa ya Habari 8 Machi 2024
Serikali ya shirikisho imetoa ripoti yake ya pili ya mwaka kwa hali ya Wanawake, ripoti hiyo inaonesha pengo la malipo ya jinsia iko katika kiwango cha chini kwa asilimia 12 ila tofauti zingine kubwa zimesalia.
Fri, 08 Mar 2024 - 18min - 2742 - Kukabiliana na habari potofu: jinsi yakutambua na kukabiliana na habari za uongo
Katika zama ambapo habari husafiri kwa kasi ya mwanga, kutofautisha ukweli kwa uongo imekuwa changamoto kubwa.
Fri, 08 Mar 2024 - 13min - 2741 - Wanyika afunguka kuhusu maandalizi ya tamasha ya Angélique Kidjo katika Sydney Opera House
Gwiji wa Muziki kutoka Benin Bi Angélique Kidjo ana tarajiwa kuwa na tamasha kubwa ndani ya Sydney Opera House usiku wa Jumatano 6 Machi 2024.
Wed, 06 Mar 2024 - 10min - 2740 - Taarifa ya Habari 5 Machi 2024
Anthony Albanese anatarajiwa kuweka wazi sera mpya zakupiga jeki ushiriki wa biashara za Australia, katika ukanda wa Kusini mashariki Asia, kongamano la ASEAN linapo anza leo mjini Jumanne Machi 5 mjini Melbourne.
Tue, 05 Mar 2024 - 17min - 2739 - Wito watolewa katika wiki yakitaifa ya uelewa zaidi wa ugonjwa wa vifaa vyakusafirisha damu ndani ya moyo
Wiki ya tarehe 26 Feb hadi 3 Machi, ni wiki yakutoa uelewa wa ugonjwa wa moyo na kifaa kinacho tumiwa kusafirisha hewa au damu moyoni.
Tue, 05 Mar 2024 - 09min - 2738 - Taarifa ya Habari 4 Machi 2024
Waziri mkuu Anthony Albanese amesema uchaguzi mdogo wa Dunkley umethibitisha kuwa wa Australia hawa vutiwi na kampeni hasi.
Mon, 04 Mar 2024 - 07min - 2737 - Taarifa ya Habari 1 Machi 2024
Shirika la ujasusi la Australia limetetea uamuzi wayo wakuto weka wazi jina la mwanasiasa wa zamani ambaye ame husishwa na kundi la ujasusi lakigeni.
Fri, 01 Mar 2024 - 18min - 2736 - Tanzania yaomboleza kifo cha Hayati Mwinyi
Viongozi mbali mbali nchini Tanzania, wana endelea kutoma salamu za kwa jamaa na familia ya Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, aliyefariki dunia Alhamisi wiki hii.
Fri, 01 Mar 2024 - 07min - 2735 - Taarifa ya Habari 27 Februari 2024
Asilimia 90 au zaidi ya waajiri katika sekta za madini, umeme, maji, huduma za taka, fedha na bima, wana pengo la malipo linalo wapendelea wanaume.
Tue, 27 Feb 2024 - 19min - 2734 - Shakilah" lengo letu si kutenganisha familia, ila nikufanya ziwe imara"
Shirika la Rotary Safe Families hutoa taarifa zaku saidia kuzuia unyanyasaji kupitia miongozo iliyo tafsiriwa pamoja na filamu.
Tue, 27 Feb 2024 - 24min - 2733 - Taarifa ya Habari 26 Februari 2024
Vikwazo vyakifedha vya mtindo wa Magnitsky pamoja na marufuku yakusafiri, yametolewa dhidi ya maafisa saba wa gereza ambao serikali ya Australia ina amini, walishiriki katika unyanyasaji wa
Mon, 26 Feb 2024 - 06min - 2732 - Sergent "Kiptum's death is painful and still haunts us"
The family of the late marathon world record holder Kelvin Kiptum and members of the Kenyan community have gathered in his rural village to give him his final send off.
Fri, 23 Feb 2024 - 18min - 2731 - Prof Chacha "Tunastahili ongeza juhudi kukutanisha Rwanda na DRC ili tupate suluhu ya amani"
Maelfu ya raia wanao ishi katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, wanahangaika kutokana na upungufu mkubwa wa chakula ndani ya maduka na masoko ya eneo hilo.
Fri, 23 Feb 2024 - 06min - 2730 - Sergent "Kiptum alikuwa mtu mpole na mcheshi sana"
Habari za kifo cha mshindi wa rekodi ya dunia ya mbio za marathon za wanaume, Kelvin Kiptum katika ajali ya barabarani, zilitikisa dunia nzima siku chache zilizo pita.
Fri, 23 Feb 2024 - 15min - 2729 - Tresor "Lugha ya mama inatusaidia kuendeleza mila yetu"
Shirika la Umoja wa Mataifa limekuwa liki adhimisha siku ya kimataifa ya lugha ya mama 21 Februari tangu 1999.
Fri, 23 Feb 2024 - 05min - 2728 - Taarifa ya Habari 23 Februari 2024Fri, 23 Feb 2024 - 18min
- 2727 - Immaculate "Tuki poteza lugha tuta poteza utamaduni wetu "
Shirika la Umoja wa Mataifa limekuwa liki adhimisha siku ya kimataifa ya lugha ya mama 21 Februari tangu 1999.
Fri, 23 Feb 2024 - 06min - 2726 - Taarifa ya Habari 22 Februari 2024Thu, 22 Feb 2024 - 07min
- 2725 - Ushonaji wa jumuiya zawa Australia wa Kwanza una umuhimu gani kitamaduni
Moja ya mifano ngumu zaidi na ya kisasa ya teknolojia ya Jumuiya zawa Australia wa kwanza na tamaduni, huonekana kupitia kushuka.
Wed, 21 Feb 2024 - 11min - 2724 - Taarifa ya Habari 20 Februari 2024
Waziri Mkuu Anthony Albanese anamshtumu kiongozi wa upinzani wa shirikizo Peter Dutton, kwa kuwahamasisha wasafirishaji haramu wa watu.
Tue, 20 Feb 2024 - 19min - 2723 - Wanafunzi walengwa kuwa wasafirishaji wa pesa na wanakabiliwa na madhara makubwa
Kuna onyo mpya kuhusu matangazo yakufanyia kazi nyumbani, ambayo yanaonekana kuvutia sana au yanayo ahidi maokoto makubwa kwa uwekezaji.
Tue, 20 Feb 2024 - 09min - 2722 - Taarifa ya Habari 19 Februari 2024
Waziri wa mazingira Tanya Plibersek amemshtumu Peter Dutton kwa kuwasaidia wasafirishaji haramu wa watu kufanya matangazo, kwa kudai kuwa serikali ya shirikisho imeregeza hatua za usalama mpakani.
Mon, 19 Feb 2024 - 06min - 2721 - Taarifa ya Habari 16 Februari 2024
Upinzani wa shirikisho una wasiwasi kuhusu hali ya uchumi wa Australia, kiwango cha ukosefu wa ajira kikiongezeka hadi 4.1%.
Fri, 16 Feb 2024 - 17min - 2720 - Kuwa salama katika jua bila kujali aina ya ngozi yako
Miongozo ya usalama wa jua imesasishwa kwa mara ya kwanza kujumuisha ushauri kwa aina tofauti za ngozi.
Fri, 16 Feb 2024 - 11min - 2719 - What is Lunar New Year, and how is it celebrated in Australia? - Mwaka Mpya wa Lunar ni nini, na unasherehekewaje Australia?
"Lunar New Year", also known as the "Spring Festival", has become a significant part of Australian culture. The celebration is so popular that Sydney's version is considered the largest outside Asia. - "Mwaka Mpya wa Lunar", unajulikana pia kama "Sherehe ya Mchipuko wa mimea", imekuwa sehemu muhimu ya tamaduni ya Australia. Sherehe hiyo imekuwa maarufu sana na sherehe za Sydney zina zingatiwa kama kubwa zaidi nje ya Asia.
Wed, 14 Feb 2024 - 10min - 2718 - Taarifa ya Habari 13 Februari 2024Tue, 13 Feb 2024 - 18min
- 2717 - Vincent afunguka kuhusu sekta ya ucheshi AustraliaTue, 13 Feb 2024 - 07min
- 2716 - Taarifa ya Habari 9 Februari 2024
Uchambuzi mpya wa shirika la Regional Australia Institute umepata kuwa bei za nyumba katika maeneo ya kanda, zina fika viwango vya juu nakukaribia bei katika soko za miji.
Fri, 09 Feb 2024 - 18min - 2715 - Ni mbinu ipi bora ya kutokomeza ukeketaji
Mashirika mbali mbali yana endelea kuongeza juhudi kutokomeza ukeketaji, pamoja nakutoa elimu kwa umma kuhusu jambo hilo.
Fri, 09 Feb 2024 - 11min - 2714 - Taarifa ya Habari 8 Februari 2024Fri, 09 Feb 2024 - 06min
- 2713 - Saada afunguka kuhusu umuhimu wakutokomeza ukeketaji
Februari 6 ni siku ya kimataifa ya kutokomeza ukeketaji, mashirika na mamlaka mbali mbali huandaa hafla zakutoa elimu kwa umma kuhusu jambo hilo.
Tue, 06 Feb 2024 - 10min - 2712 - Taarifa ya Habari 6 Februari 2024
Waziri Mkuu amekosoa upinzani kwa kufeli kuwa na msimamo kwa pendekezo lake la awamu ya tatu ya makato ya kodi, wakati vikao vya bunge la shirikisho vina anza tena.
Tue, 06 Feb 2024 - 21min - 2711 - Wanaume wakaribishwa kuchangia chakula na kutafuta suluhu za changamoto zaoSat, 03 Feb 2024 - 10min
- 2710 - Taarifa ya Habari 2 Februari 2024
Australia itatuma wajumbe New Zealand kujadili uwezekano wa ushirika wakijeshi katika muungano wa AUKUS.
Fri, 02 Feb 2024 - 18min - 2709 - Idadi yawa Australia wanao kosa kuwaona ma GP yaongezeka kwa sababu ya gharama kubwa za miadi
Wakati mfumo wa huduma ya afya kwa wote ya Australia Medicare ina sherehekea miaka 40, data mpya imeonesha kuwa wagonjwa wana endelea kuepuka kuwaona madaktari kwa sababu ya gharama kubwa za miadi.
Fri, 02 Feb 2024 - 06min - 2708 - Taarifa ya Habari 1 Februari 2024
Waziri mkuu ametupilia mbali pendekezo kuwa viwango vya juu vya makato ya kodi kwa wenye mapato ya chini, vita rejesha nyuma kupungua kwa viwango vya riba, nakusababisha hali ngumu kwa muda mrefu.
Fri, 02 Feb 2024 - 06min - 2707 - Jinsi yakuanza biashara yako ndogo AustraliaFri, 02 Feb 2024 - 12min
- 2706 - Djay Daffy "ziara ya Australia imenipa fursa nyingi sana"Fri, 02 Feb 2024 - 08min
- 2705 - Taarifa ya Habari 30 Januari 2024
Wa Australia wame hakikishiwa hapatakuwa mageuzi yatakayo fanywa kwa faida ya kodi ya mwekezaji wa nyumba, hii ni baada ya mageuzi ambayo yalikuwa hayajatarajiwa kwa awamu ya tatu ya makato ya kodi.
Tue, 30 Jan 2024 - 19min - 2704 - Je madini ya coltan yata ifaidi au kuigharimu Kenya
Madini ya Coltan yamegunduliwa katika kaunti sita nchini Kenya, uchimbaji wa madini hayo unatarajiwa kuanza hivi karibuni.
Tue, 30 Jan 2024 - 07min - 2703 - Taarifa ya Habari 29 Januari 2024
New Zealand haija wafuata washirika wake kuzuia uwekezaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linalo shutumiwa na Israel kwa kuhusika na mauaji ya Hamas ya 7 Oktoba 2023.
Tue, 30 Jan 2024 - 05min - 2702 - Jinsi yakuwa mtetezi wa waAustralia wa Kwanza
Kuwa mshirika wa wa Australia wa Kwanza, kuna maana ya mtu anaye simama kidete na anaunga mkono maswala yenye umuhimu kwa jumuiya zawa Australia wa Kwanza.
Tue, 30 Jan 2024 - 08min - 2701 - Taarifa ya Habari 26 Januari 2024
Maelfu ya watu wame jumuika katika sherehe nchini kote zaku adhimisha siku kuu ya Australia. Makundi ya watu wengi yalijumuika katika fukwe ya Bondi mjini Sydney kwa ibada ya alfajiri pamoja na sherehe ya moshi, wakati mjini Melbourne watu wali hudhuria ibada ya alfajiri ya siku ya uvamizi.
Fri, 26 Jan 2024 - 18min - 2700 - Halmashauri za jiji 81 zafuta sherehe za viapo vya uraia katika siku kuu ya Australia
Takriban halmashauri za jiji 80 kote nchini Australia, zime amua kubadili tarehe ya sherehe za kila mwaka za viapo vya uraia kutoka Januari 26.
Fri, 26 Jan 2024 - 08min - 2699 - Djay Daffy aweka wazi sababu za kuacha chuoWed, 24 Jan 2024 - 15min
- 2698 - Taarifa ya Habari 23 Januari 2024
Kuna taarifa serikali ya shirikisho inazingatia uwezekano wakurekebisha mpango wake wa awamu ya tatu ya makato ya kodi, muswada huo utakapo wasilishwa mbele ya baraza la mawaziri hii leo.
Tue, 23 Jan 2024 - 24min - 2697 - How to become a First Nations advocate - Jinsi yakuwa Mtetezi wa waAustralia wa Kwanza
First Nations advocates help amplify the voices of Indigenous communities in Australia. Here are some aspects to consider related to advocacy and “allyship” with First Nations communities. - Watetezi wa waAustralia wa Kwanza husaidia kupaza sauti za jumuiya zawa Australia wa kwanza. Hapa kuna baadhi ya vitu vya kuzingatia kuhusiana na utetezi na “ushirika” na jumuiya zawa Australia wa Kwanza.
Tue, 23 Jan 2024 - 06min - 2696 - Taarifa ya Habari 19 Januari 2024
Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema serikali ina ahidi kutimiza awamu ya tatu ya makato ya kodi, ambako wafanyakazi watapata makato ya kodi kwa mishahara yao binafsi kuanzia Julai 1.
Fri, 19 Jan 2024 - 20min - 2695 - Maandamano ya upizani DRC yatishia kuapishwa kwa Rais Tshisekedi
Wawili kati ya wagombea wakuu wa upinzani kwenye uchaguzi wa Disemba mwaka jana nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wameitisha maandamano Jumamosi wakati wa kuapishwa kwa Rais Felix Tshisekedi kuongoza muhala wa pili.
Fri, 19 Jan 2024 - 07min - 2694 - Wazazi wanaweza msaidiaje mtoto kupona kiwewe?
Iwapo mtoto wako amepata kiwewe ng'ambo au nchini Australia, iwapo ilitokea hivi karibuni au katika siku za nyuma, pakiwa msaada unao faa, mtoto anaweza pona.
Thu, 18 Jan 2024 - 12min - 2693 - Taarifa ya Habari 16 Januari 2024
Wakaaji wa Magharibi Australia wame hamasishwa wapitie upya mipango yao ya moto wa vichaka, nyumba mbili zikiwa zimepotezwa kwa mioto inayo kabili eneo la kaskazini mashariki ya mji wa Perth.
Tue, 16 Jan 2024 - 20min - 2692 - Mwongozo wako wakubaki salama nakupata baridi wakati wa majira ya joto ya Australia
Msimu wa majira ya joto, hu ahidi anga iliyo wazi na hali ya hewa ya joto. Kwa watu wengi, ni geuzi linalo karibishwa baada ya kuvumilia miezi ya baridi.
Tue, 16 Jan 2024 - 11min - 2691 - Taarifa ya Habari 12 Januari 2024
Shirika la Human Rights Watch, limesema Australia imefeli kuchukua hatua thabiti kwa ajili yaku shughulikia swala la haki za binadam nchini China.
Fri, 12 Jan 2024 - 18min - 2690 - Wanafunzi wakimataifa walengwa wakuu wa mageuzi ya uhamiaji nchini Australia
Serikali ya shirikisho imewasilisha mageuzi kadhaa kwa viza za wanafunzi wakimataifa, kama sehemu ya mageuzi makubwa ya uhamiaji yaliyo tangazwa Jumatatu 11 Disemba 2023.
Fri, 12 Jan 2024 - 10min - 2689 - Kila kitu una stahili jua kuhusu Boxing Day nchini AustraliaTue, 26 Dec 2023 - 11min
- 2688 - Krismasi huwaje nchini Australia
Kama huwa hau sherehekei Krismasi, unaweza shangaa kuona mtu anaye vaa mavazi ya Santa akitereza juu ya maji katika mwezi wa Disemba.
Sun, 24 Dec 2023 - 08min - 2687 - Taarifa ya Habari 22 Disemba 2023
Msaada wa kifedha wa ziada una tumwa kwa watu walio athiriwa kwa marufiko, wakati juhudi kubwa ya usafi ina anza katika ukanda wa Kaskazini Queensland.
Fri, 22 Dec 2023 - 16min - 2686 - Kanda ya Kaskazini Queensland yaanza mchakato wakufanya usafi baada ya kukumbwa kwa mafuriko
Kiwango cha uharibifu ambao ume achwa nyuma na Kimbunga Jasper, kimeanza onekana pole pole katika kanda ya Kaskazini ya Queensland, ambako wakulima wanasema wamepoteza mazao yenye thamani ya miezi kadhaa.
Fri, 22 Dec 2023 - 07min - 2685 - Germain "sita ishi Kinshasa niki shinda uchaguzi, nita ishi na walio nichagua"
Wagombea wa nyadhifa mbali mbali katika uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wame maliza kampeni zao, sasa wanasubiri hukumu ya wananchi.
Wed, 20 Dec 2023 - 16min - 2684 - Taarifa ya Habari 19 Disemba 2023
Mvua kubwa na kali ambayo imegonga eneo la Kaskazini Queensland ina anza kupungua ukali ila, ofisi ya utabiri wa hewa imesema onyo za mafuriko bado zina endelea kutumika.
Tue, 19 Dec 2023 - 18min - 2683 - Mamba anaswa ndani ya maji ya mafuriko Kaskazini Queensland
Mamlaka wame pata mamba wa maji ya chumvi mwenye urefu wa 2.5m, ndani ya mji wa Ingham ambao uko Kaskazini Queensland baada ya mto wa eneo hilo kufurika.
Tue, 19 Dec 2023 - 07min - 2682 - Taarifa ya Habari 18 Disemba 2023
Baadhi ya wakaaji katika eneo la Kaskazini Queensland wamelazimika kupanda juu ya paa za nyumba zao, wakisubiri kuokolewa, wakati mvua nzito iliyo sababishwa na kimbunga chaki tropiki Jasper inasababisha mafuriko katika kanda hiyo.
Mon, 18 Dec 2023 - 07min - 2681 - Davi"tunataka badilisha muonekano kuwa lazima uwe mkonde,mwembamba na mrefu ili uwe mwanamitindo"
Shirika la Maridadi Group, lime andaa tamasha maalum ambako wana mitindo wakike na wakiume watawania taji la Bi na Bw Kenya, Australia, 2023 mjini Melbourne, Victoria.
Fri, 15 Dec 2023 - 16min - 2680 - Mbinu tano zaku leta chakula chaki asili kwenye sahani yako ya sherehe
Kuwasilisha chakula cha asili jikoni mwako kunaweza kuwa sawia moja kwa moja kama kubadilisha, viungo vyako vya kawaida kwa mbadala wa asili.
Fri, 15 Dec 2023 - 09min - 2679 - Taarifa ya Habari 15 Disemba 2023Fri, 15 Dec 2023 - 22min
- 2678 - Taarifa ya Habari 12 Disemba 2023
Serikali ya Labor ina tetea mkakati wayo mpya wa uhamiaji, ikisema uta hakikisha raia wa Australia wanapewa kipaumbele kupata kazi.
Tue, 12 Dec 2023 - 17min - 2677 - Mageuzi makubwa ya uhamiaji wa Australia yawalenga wanafunzi wakimataifa
Serikali ya shirikisho imewasilisha mageuzi kadhaa viza za wanafunzi wakimataifa, kama sehemu ya mageuzi makubwa ya uhamiaji yaliyo tangazwa Jumatatu 11 Disemba.
Tue, 12 Dec 2023 - 10min - 2676 - Mwongozo wako wakubaki salama nakupata baridi wakati wa majira ya joto ya Australia
Msimu wa majira ya joto, hu ahidi anga iliyo wazi na hali ya hewa ya joto. Kwa watu wengi, ni geuzi linalo karibishwa baada ya kuvumilia miezi ya baridi.
Mon, 11 Dec 2023 - 11min - 2675 - Taarifa ya Habari 11 Disemba 2023
Waziri wa mambo ya ndani Clare O'Neil amesema, kupunguzwa kwa mapokezi ya wahamiaji kuta unda sehemu ya mkakati mpya wa uhamiaji wa serikali.
Mon, 11 Dec 2023 - 07min
Podcasts similar to SBS Swahili - SBS Swahili
- El Partidazo de COPE COPE
- Herrera en COPE COPE
- Es la Mañana de Federico esRadio
- La Noche de Dieter esRadio
- Hondelatte Raconte - Christophe Hondelatte Europe 1
- Curiosidades de la Historia National Geographic National Geographic España
- 財經一路發 News98
- La rosa de los vientos OndaCero
- Más de uno OndaCero
- La Zanzara Radio 24
- L'Heure Du Crime RTL
- El Larguero SER Podcast
- Nadie Sabe Nada SER Podcast
- SER Historia SER Podcast
- Todo Concostrina SER Podcast
- 安住紳一郎の日曜天国 TBS RADIO
- アンガールズのジャンピン[オールナイトニッポンPODCAST] ニッポン放送
- 辛坊治郎 ズーム そこまで言うか! ニッポン放送
- 飯田浩司のOK! Cozy up! Podcast ニッポン放送
- 吳淡如人生實用商學院 吳淡如
- 武田鉄矢・今朝の三枚おろし 文化放送PodcastQR
Other News & Politics Podcasts
- The Ray Hadley Morning Show 2GB
- Ben Fordham Live on 2GB Breakfast Radio 2GB
- Dateline NBC NBC News
- Nights with John Stanley 2GB & 4BC
- The Bolt Report Sky News Australia / NZ
- You Cannot Be Serious Sam Newman & Don Scott
- Credlin Sky News Australia / NZ
- Global News Podcast BBC World Service
- Paul Murray Live Sky News Australia / NZ
- Late Night Live - Full program podcast ABC listen
- 3AW Mornings with Tom Elliott 3AW
- The Dan Bongino Show Cumulus Podcast Network | Dan Bongino
- Ukraine: The Latest The Telegraph
- Six Tackles With Gus 9Podcasts
- Australia Overnight with Mike Jeffreys 2GB
- Sky Sports Radio's Big Sports Breakfast Sky Sports Radio
- UFO WARNING UFO WARNING
- The Sean Hannity Show Sean Hannity
- The Rita Panahi Show Sky News Australia / NZ
- NRL 360 Fox Sports Australia