Nach Genre filtern

Maisha Ni Kuthubutu Podcast

Maisha Ni Kuthubutu Podcast

Innocent Ngaoh

Podcast mahususi kujifunza mambo ya maendeleo binafsi (Personal development/Self-improvement), maisha, mahusiano, saikolojia na elimu ya fedha. Ni podcast ya kipekee ambayo utajifunza mambo mengi ambayo yanatokea kwenye maisha yetu ya kila siku, kila kitu kinachozungumzwa hapa kina uhalisia na siyo nadharia ya kusadikika. Kuwa sehemu ya familia hii na uhakika hautakuwa kama ulivyokuwa mwanzo, podcast ambayo itaboresha na kuongeza thamani ya maisha yako mara 10X au zaidi. Hakikisha unafollow ili uwe wa kwanza kupata episode mpya kila wiki.

118 - Je Unapata Hali Ya Kukata Tamaa? Sikiliza Episode Hii Itakupa Mwanga Na Hamasa….!
0:00 / 0:00
1x
  • 118 - Je Unapata Hali Ya Kukata Tamaa? Sikiliza Episode Hii Itakupa Mwanga Na Hamasa….!

    Kama unapumua basi unayo nafasi ya kubadili maisha yako, usichoke endelea kupambana.


    Sikiliza episode Hii ujifunze mengi

    Sat, 18 Apr 2026 - 10min
  • 117 - Je Unataka Kuwekeza Katika Hisa? Pata Elimu Ya Hisa Hapa-Part 01

    Je wewe ni mwanahisa na una hisa zozote unamiliki katika soko la DSE?


    Kama jibu lako ni hapana.


    Basi…


    Ndio muda sahihi wa kuanza kuwekeza katika hisa ili ufaidikie na faida kubwa mbili;


    1. Ongezeko la mtaji (Capital gain).


    2. kupata gawio (Divindend).


    Lakini…


    Kabla ya kutaka kuwekeza katika hisa hakikisha unakuwa na maarifa sahihi kuhusu hisa ili usije ukapigwa za uso.


    Bahati nzuri ni kwamba…


    Podcast bora ya kitanzania itakupa mwanga namna ya kujua mambo mengi kuhusu hisa.


    Ni wewe kufollow na subscrible ili uwe wa kwanza kusikiliza mfululizo wa episode za elimu ya hisa na mambo mbalimbali…


    …ya uwekezaji na maendeleo binafsi.


    Huu ni utangulizi kiduchu, madini mengi utapata kwa kubofya link hapa chini kusikiliza madini mazito ya uwekezaji katika hisa.

    Mon, 14 Apr 2025 - 08min
  • 116 - Siri 02 Za Kuanza KUJIUZA Ili Ufanikiwe Kwenye Maisha Yako Ni Kujiuza…!

    Jifunze mbinu za Kujiuza kupitia episode ili upige hatua kwenye maisha yako.


    Sikiliza mpaka mwisho episode hii.

    Tue, 18 Mar 2025 - 07min
  • 115 - Tumia Kanuni Ya 40/20/10/10/10/10 Kupanga Bajeti Ya Fedha Zako…!

    Kanuni ya 40/20/10/10/10 itakusaidia kuanza kupanga bajeti ya fedha zako kwa mafanikio.


    Sikiliza episode hii mpaka mwisho kujifunza.

    Sat, 15 Mar 2025 - 10min
  • 114 - Siri 02 Za Kuwa Mwekaji Mzuri Wa Akiba Ya Fedha Zako…!

    Upo tayari kujua Siri za kuwa mwekaji mzuri wa akiba za fedha zako? Basi sikiliza episode hii mpaka mwisho

    Thu, 30 Jan 2025 - 06min
Weitere Folgen anzeigen