Podcasts by Category
- 74 - KIJIWE NONGWA EP 83: NYIMBO MPYA | LADY JAYDEE & ZUCHU | SONGWRITING
Karibu katika episode yetu ya 83 ya KijiweNongwa. Tunazungumzia nyimbo mpya toka kwa Marioo, Harmonize na Nandy. Show ya #BongoFlevaHonors ya LadyJaydee, kulinganishwa na Zuchu na umuhimu wa waandishi wa nyimbo. Karibu kutusikiliza.
Tue, 29 Oct 2024 - 43min - 73 - KIJIWE NONGWA EP 82: TMA RECAP | NIKKI MBISHI | BONGO RECORDS.
Karibu kwenye episode ya 82 ya KijiweNongwa. Tunaomba radhi kwa kupotea kwa muda, tumerejea. Tunazungumzia usiku wa tuzo za #TMA2023 zaidi kwenye mabaya tuliyoyaona na wapi pa kijirekebisha. Tunazungumzia pia mradi mpya wa Nikki Mbishi, Spana za Unju, Video mpya ya Bosi ya Ferooz na Juma Nature kutoka Bongo Records. Tunamalizia na nyimbo tulizosikiliza. Tunatumai utafutahia kutusikiliza. Karibu.
Tue, 22 Oct 2024 - 51min - 72 - KIJIWENONGWA EP 80 : TMA .
Karibu kwenye episode yetu ya 80. Nyimbo mpya kutoka kwa Yammi na Mbosso bila kusahau ujio wa EP ya Alikiba.
Mon, 23 Sep 2024 - 1h 18min - 71 - KIJIWENONGWA EP 81: MPYA | NYASHINSKI | BONGO FLEVA
Karibu kwenye episode yetu ya 81, tuko na Fredrick Mulla kuzungumza kuhusu muziki wa Kenya na pia sakata la NYASHINSKI na Cedo.
Mon, 23 Sep 2024 - 1h 08min - 70 - KIJIWE NONGWA EP 78: SIMBA & YANGA DAY | ASAKE "LUNGU BOY" | BEI YA SHOW.
Karibu kwenye episode ya 78 ya KijiweNongwa, Leo tunazungumza kuhusu Show za Simba Day na Yanga. Tunaangazia Bei elekezi ya show na kasi ya wasanii wa Nigeria kutoa album kwa haraka. Karibu utusikilize.
Tue, 06 Aug 2024 - 1h 12min - 69 - KIJIWENONGWA EP 77: KOMASAVA RMX | DITTO | SOGGYWed, 31 Jul 2024 - 1h 18min
- 68 - KIJIWENONGWA EP 76: NYIMBO MPYA | BIEN | WASANII NA BONGO RECORDS.
Karibu kwenye episode yetu ya 76 ya KijiweNongwa leo tunazungumzia nyimbo mpya kutoka kwa Rayvanny, Harmonize na Dizasta. Tunaicheki pia album ya BIEN Alusa Why are you topless (Deluxe). Kwa kumalizia tunaangazia Record labels na wasanii. Nini wajibu wa wasanii wetu kwa Record Labels hizi. Tuna imani utaifurahia episode hii.
Thu, 25 Jul 2024 - 1h 20min - 67 - KIJIWENONGWA EP 75: PHINA | JAYMELODY | REMA
Karibu kwenye episode ya 75 ya KijiweNongwa. Leo tunazungumza kuhusu nyimbo mpya ya Phina #WeHuogopi, JayMelody na show yake pale Warehouse. Tunamalizia na mazungumzo kuhusu Rema na project yake mpya ya #Heis , muonekano wake na jinsi sanaa inavyochochea uhalisia. Karibu utusikilize.
Tue, 16 Jul 2024 - 1h 03min - 66 - KIJIWENONGWA EP 74: NYIMBO MPYA| MBUZI ALBUM REVIEW| BETSun, 14 Jul 2024 - 52min
- 65 - KIJIWENONGWA EP 73: NYIMBO MPYA | BADDEST 47 | REMIXES & SAMPLESThu, 11 Jul 2024 - 49min
- 64 - KIJIWE NONGWA EP 72: NYIMBO MPYA | ROMA - NIPENI MAUA YANGU RMX | TMAMon, 17 Jun 2024 - 1h 08min
- 63 - KIJIWENONGWA EP 71: KIJIWE HURU.
Karibu kwenye episode ya 71 ya Kijiwenongwa na Leo ni kijiwe HURU. Tumezungumza mambo kadha wa kadha na baadhi ya mashabiki wa #KijiweNongwa. Karibu utusikilize.
Fri, 14 Jun 2024 - 1h 05min - 62 - KIJIWENONGWA EP 70: NYIMBO MPYA | YOGO BEATZ | MUZIKI WA SAMIA.
Karibu kwenye episode ya 70 ya KijiweNongwa na hapa tunazungumzia Album ya Harmonize,#MuzikiWaSamia. Nini maoni yako?
Thu, 13 Jun 2024 - 1h 10min - 61 - KIJIWE NONGWA EP 69: NYIMBO MPYA | MARIOO | BET AWARDSTue, 28 May 2024 - 47min
- 60 - KIJIWENONGWA EP 68: NYIMBO MPYA | JAY MELODY THERAPY REVIEW | MOCASSIN YA JAYMOE.
Karibu kwenye episode ya 68 ya KijiweNongwa, tumezungumzia Nyimbo mpya ya JayMOE NA Country boy #Mocassin. Review ya album ya JayMelody Therapy na recap ya BongoFleva honors ya kwake AyMasta. Karibu utusikilize.
Sun, 19 May 2024 - 1h 14min - 59 - KIJIWE NONGWA EP 67: NYIMBO MPYA | HAKUNA MATATA | DULLAH CROWN FM
Karibu kwenye episode yetu ya 67 ya KijiweNongwa, tunazungumzia nyimbo mpya, vionjo vya kiasili kwenye nyimbo mpya ya Marioo na Dullah na Lesa kwenda Crown Fm. Karibu utusikilize.
Sun, 19 May 2024 - 1h 12min - 58 - KIJIWE NONGWA EP 66: TMA | BONGO RECORDS & BOOM PLAY| TID | UTAMADUNI.
Heri ya sikukuu ya Eid, karibu kwenye episode ya 66 ya kijiwe nongwa. Tumezungumzi tuzo za muziki Tanzania, muziki wa Bongo records kutolewa Boomplay, Wali Nazi ya TID na QCHIEF na UTAMADUNI wa mtanzania katika muziki. Tusikilize.
Wed, 10 Apr 2024 - 1h 22min - 57 - KIJIWENONGWA EP 65: NYIMBO MPYA | CROWN FM | HIPHOP IMEKUFA.
Alikiba amekuja na media house mpya na tunazungumzia Hilo kwa undani sana, Je, Hip hop imekufa kama anavyosema Moni?
Sat, 16 Mar 2024 - 1h 08min - 56 - KIJIWENONGWA EP 64: NYIMBO MPYA | ZUCHU | MAVIN X UMG | MAUA NA ALIKIBA.
Kufungiwa kwa Zuchu na mkataba mpya kati ya Mavins na Universal Music Group. Vipi Maua na King Kiba?
Fri, 15 Mar 2024 - 1h 37min - 55 - KIJIWENONGWA EP 63: NYIMBO MPYA | DAH & MAPOZ | BONGO FLEVAFri, 15 Mar 2024 - 37min
- 54 - KIJIWENONGWA EP 62: NYIMBO MPYA | BDP VS VANILLA | JOH MAKINI
Mwamba wa kaskazini Leo anachuku headlines, lakini ni wewe peke yako unadhani Baraka De prince na Vanilla wanasound the same? Iko hapa.
Wed, 13 Mar 2024 - 1h 03min - 53 - KIJIWENONGWA EP 60: NYIMBO MPYA | WAKAZI VS ROMA | ZAYLISA.
Karibu kwenye kipindi chetu Cha 60 kwenye episode yetu ya KijiweNongwa. Na wiki hii tunazungumzia Nyimbo mpya kutoka kwa Vanillah, Nandy pamoja na Mbosso Khan. Kwa ufupi sana tunazungumzia Album ya Dizasta Vina ya #AFatherFigure na kwanini Wakazi na Roma wanavutana saaana mitandaoni? Kumalizia kabisa ni nyimbo ya Dullah Makabila, Furahi. Hii ni ya Zaylisa kabisa. Tusikilize hapa
Fri, 26 Jan 2024 - 49min - 52 - KIJIWE NONGWA EP 59: MWAKA MPYA | FLAMINGO EP REVIEW | RAYVANNY MAREMIX.
Heri ya mwaka mpya na karibu katika episode yetu ya kwanza kabisa kwa mwaka 2024. Tunaanza kwa kuangalia nini kimetokea tukiwa mapumzikoni, EP mpya ya Ben Pol #Flamingo tunazungumzia hapa na zile tuhuma za Rayvanny ameisha anafanya MAREMIX tu, kuanzia kwa MisoMisondo mpaka kwa Dayoo #HuuMwaka? Zote tumechambua hapa. Karibu sana
Fri, 26 Jan 2024 - 56min - 51 - KIJIWENONGWA EP 58: NYIMBO MPYA | LOUI NA LEGACY RECORDS | NYIMBO YA MWAKA.
Karibu kwenye episode ya 58 ya KijiweNongwa ambayo pia ni episode yetu ya mwisho kwa mwaka 2023. Tunazungumzia nyimbo mpya kutoka kwa Whozu, Maua Sama, Stamina na K2ga. Tunaambaa zaidi na kujaribu kuelewa nini kinaendelea kati ya Loui na Label yake ya Legacy Records. Ipi ni nyimbo ya Mwaka? Tunazungumza kuhusu nyimbo kubwa mwaka huu na kuiteua moja kuwa nyimbo ya Mwaka. Nini tukitarajie 2024 kutoka kwenye Bongo Fleva? Tunafunga na mjadala huo. Tupende kushukuru sana kwa kutusikiliza kwa mwaka huu, na kwa pamoja tunakutakia sikukuu za heri za mwisho wa mwaka wewe na wapendwa wako. Mpaka 2024. Heri ya Krisimasi🎄 na Mwaka Mpya 🎇
Tue, 19 Dec 2023 - 1h 15min - 50 - KIJIWENONGWA EP 57: NYIMBO MPYA | PROFESSOR JAY | ALBUM YA MWAKA.
Karibu kwenye episode ya 57 ya Kijiwe nongwa, na Leo tunazungumzia nyimbo mpya toka kwa Rayvanny,Alikiba na Dizasta vina. Tunaiangazia pia EP ya Professor Jay Nusu Kuzimu Nusu Peponi na kumalizia na Album zetu Bora kwa mwaka 2023. Karibu utusikilize.
Tue, 12 Dec 2023 - 1h 16min - 49 - KIJIWE NONGWA EP 56: RAYVANNY | BEBERU DECLARATION REVIEW | ZUCHU NA KENDRICK LAMAR.
Karibu kwenye episode ya 56 ya KijiweNongwa na Leo tunazungumzia nyimbo mpya toka kwa Rayvanny na Conboi. Mazungumzo yetu yanaangazia pia album mpya ya Wakazi inayoitwa Beberu Declaration na tunamaliza mjadala na tamasha la MoveAfrica ambalo Kendrick Lamar atatumbuiza katika Jiji la Kigali Rwanda na hatakuwa peke yake Zuchu atakuwa nae,tunagusia Hilo pia. Karibu utusikilize.
Tue, 05 Dec 2023 - 1h 16min - 48 - KIJIWENONGWA EP 55: NYIMBO MPYA | VISIT BONGO REVIEW | SINGELI NA DJ MISOMISONDO.
Karibu kwenye episode ya 55 ya KijiweNongwa na wiki hii tunazungumzia nyimbo mpya kutoka kwa Phina, Yammy, Country boy na Christian Bella. Tunaiangazia pia album ya Harmonize #VisitBongo na tunamalizia kwa kumuangalia #DjMisoMisondo na hali ya Singeli kwa Sasa. Karibu utusikilize.
Tue, 28 Nov 2023 - 1h 13min - 47 - KIJIWENONGWA EP 54: D-VOICE | SWAHILI KID | BIEN | TMA.
Karibu kwenye episode ya 54 ya Kijiwe nongwa. Tumezungumza kuhusu Dvoice na kuingia kwake WCB, Album yake ya Swahili Kid. Ukali wa Bien kwenye album yake mpya ya Alusa Why Are You Topless na Kamati mpya ya uratibu kwenye Tanzania Music Awards (TMA). Bila kusahau #MtazamoKijiweni. Karibu utusikilize.
Wed, 22 Nov 2023 - 1h 01min - 46 - KIJIWE NONGWA EP 53: NYIMBO MPYA | MAJANI ALBUM | GRAMMIES.
Karibu kwenye episode ya 53 ya KijiweNongwa na Leo tunazungumzia nyimbo mpya kutoka kwa Gnako na Diamond, Mimi Mars na Darassa na Barnaba. Tunazungumzia pia album ya PFunk Ya Majani, Kuna kitu kipya kisikilize kwenye Mtazamo na tunafunga na GRAMMIES nominations. Tusikilize hapa.
Tue, 14 Nov 2023 - 1h 02min - 45 - KIJIWE NONGWA EP 52: WAMEYATIMBA | HONEY | SAUTISOL HIATUS.
Karibu sana kwenye episode ya 52 ya kijiwe nongwa tumeongelea kufungiwa kwa Whozu,Billnass na Mbosso, nini nafasi ya maadili kwa wasanii tukiangazia wimbo Zuchu. SautiSol pia wanachukua mapumziko baada ya miaka 20 ya kuwa pamoja kama band, nini maana yake na nini tukitarajie kutoka kwao? Karibu utusikilize.
Tue, 07 Nov 2023 - 1h 02min - 44 - KIJIWENONGWA EP 51: NYIMBO MPYA | BIEN | COLORSSHOW
Karibu kwenye episode yetu ya 51. Tunazungumza nyimbo mpya kutoka kwa Zuchu, Bien na Nyashinski. Tunangazia pia show ya Rema kwenye Ballon D'or na Muziki wa Kenya na mahusiano yake na makampuni makubwa ya Kimataifa kama Spotify na Colors. Karibu utusikilize.
Tue, 31 Oct 2023 - 1h 12min - 43 - KIJIWENONGWA EP 50: MWAKA MMOJA | RAMADEE INFINITY EP | ALIKIBA | NYASHINSKI.
Tunayo furaha sana kufikisha mwaka mmoja tangu tumeanza kufanya KijiweNongwa. Tunashukuru kwa kutusikiliza. Tumeichambua EP mpya ya RamaDee, Performance ya Alikiba kwenye AFL na NYASHINSKI kwenye Serengeti Festival. Tusikilize hapa.
Wed, 25 Oct 2023 - 1h 15min - 42 - KIJIWENONGWA EP 49: SHEM | CASTLELIGHT SUPERIOR SETS | SAUTI ZA BUSARA 2024.
Karibu katika episode yetu ya 49, tunazungumzia nyimbo mpya toka kwa Ibraah,Marioo na Phina. Mazungumzo yetu yanaangazia pia Castlelight Superior Sets kwa ujumla pamoja na matamasha mengine ya muziki. Tunamaliza mjadala wetu na Sauti za Busara kwa mwaka 2024. Karibu utusikilize. Usisahau kusubscribe,kucomment na kutupa rating.
Tue, 17 Oct 2023 - 1h 03min - 41 - KIJIWENONGWA EP48: NYIMBO MPYA | BENPOL | MAVIN
Karibu kwenye episode ya 48 ya kijiwe nongwa. Tumezungumzia Nyimbo mpya kutoka kwa Tundaman, Mimi Mars, Mabantu na Darassa. Tumegusia ujio wa album ya BENPOL ya Flamingo na Mavin Record kuwa sokoni. Karibu utusikilize. Usisahau Kusubscribe ili upate episode zetu Kila zinapotoka.
Tue, 10 Oct 2023 - 31min - 40 - KIJIWENONGWA EP47: NYIMBO MPYA | ABIGAIL CHAMS 5 EP UCHAMBUZI | PLANET BONGO
Karibu kwenye episode ya 47 ya kijiwe nongwa, tumezungumzia Nyimbo mpya kutoka kwa Rayvanny, Appy na Christian Bella. Abigail Chams ana EP mpya inayoitwa 5, tunaichambua na kutoa maoni kuihusu na mwisho tunamalizia na kuondoka kwa Dullah kutoka E.A Radio na pengo atakaloliacha. Karibu utusikilize.
Tue, 03 Oct 2023 - 1h 01min - 39 - KIJIWE NONGWA EP 46: NYIMBO MPYA | ZIIKI PRESS | MANDOJO NA DOMOKAYA
Tunazungumzia nyimbo mpya kutoka kwa Dayoo, Barnaba, Killy, Kontawa na Jay Melody. Tunachambua pia press ya Regional Manager wa Ziiki Afrika Mashariki Bi Camilla Owora na BongoFleva Honours ya Mandojo na Domokaya. Tunamalizia na historia ya nyimbo ya Mambo Matano ya Lady JayDee. Karibu.
Tue, 26 Sep 2023 - 1h 07min - 38 - KIJIWE NONGWA EP 45.Mon, 25 Sep 2023 - 1h 02min
- 37 - KIJIWE NONGWA EP 44.Mon, 25 Sep 2023 - 1h 05min
- 36 - KIJIWE NONGWA EP 41.Mon, 25 Sep 2023 - 1h 11min
- 35 - KIJIWENONGWA EP 40.Mon, 25 Sep 2023 - 1h 38min
- 34 - KIJIWE NONGWA EP 38Mon, 25 Sep 2023 - 1h 13min
- 33 - KIJIWE NONGWA EP 37Mon, 25 Sep 2023 - 1h 05min
- 32 - KIJIWE NONGWA EP 36.Mon, 25 Sep 2023 - 1h 07min
- 31 - KIJIWE NONGWA EP 32Mon, 25 Sep 2023 - 1h 11min
- 30 - KIJIWE NONGWA EP 30: MAZUNGUMZO NA NIKKI MBISHI | SAUTISOL | ZUCHU VS WCB
Karibu katika episode ya Leo ambayo tunazungumza na Nikki Mbishi kuhusuiana na KatibaMpyaAlbum pamoja na yaliyotokea katika muziki wiki hii. Tusikilize.
Fri, 09 Jun 2023 - 1h 22min - 29 - KIJIWE NONGWA EP 29: KUNUNUA MUZIKI | TIKTOK | BONGO FLEVA HONORS.
Karibu kwenye episode yetu ya Leo,tunaizungumzia uuzwaji wa MUZIKI na nyimbo zenye mfumo.wa TikTok. Tusikilize hapa.
Tue, 06 Jun 2023 - 1h 01min - 28 - KIJIWE NONGWA EP 28: ON FIRE ALIKIBA | SAUTI SOL | NANDYFri, 26 May 2023 - 1h 02min
- 27 - Kijiwe Nongwa Ep 27: TKYK DELUXE REVIEW MARIOO | RAYVANNY FLOWERS 3 REVIEW | BEI YA ALBUM BONGO
Karibu kwenye episode ya 27 ya Kijiwe Nongwa, tumeiangalia Deluxe version ya The Kid You Know ya Marioo, Performance ya Marioo kwenye show yake. Tumeiangalia pia Ep ya Rayvanny Flowers 3 tukamalizia kuangalia Bei ya album kwenye soko la muziki Tanzania.
Wed, 17 May 2023 - 1h 01min - 26 - Kijiwe Nongwa Ep 26: MIKATABA YA WASANII | SINGLE AGAIN.
Tunaangalia jinsi ambavyo mikataba ya wasanii wa kitanzania na penginepo inavyoumiza na kushangaza. Ujio wa pili wa Amapiano na jinsi Single Again ya Harmonize ilivyosambaa.
Sat, 13 May 2023 - 1h 07min - 25 - Kijiwe Nongwa Ep 25: TMA 2023 MAONI NA MAWAZO | FID Q
Usiku wa Tuzo uliwadia na tulikuwa The Superdome kuushuhudia. Nini kilitokea wapi palikuwa sawia? Jiunge nasi tukizungumza kuhusu Tuzo za muziki Tanzania 2023.
Sat, 13 May 2023 - 1h 03min - 24 - Kijiwe Nongwa Ep 24: FLOWER 3 EP | B12 | TMA 23
Rayvanny ametoa kionjo na orodha ya nyimbo zitakazokuwepo kwenye Ep yake ya tatu ya mfululizo ya Flowers 🌺, tunaizungumzia na jinsi ambavyo Rayvanny anaandika na kuimba kuhusu mapenzi. Usiku wa Tuzo Uko karibu kabisa,tunabashiri washindi na Yale tutayotegemea.
Sat, 13 May 2023 - 1h 15min - 23 - Kijiwe Nongwa Ep 23: LOUI X LEGACY RECORDS | BEBERU TRILOGY | SALU T.
Tunaangazia kizungumkuti Cha Loui na record label yake ya Legacy. Mengi yamesemwa kuhusiana na BEBERU TRILOGY ya Wakazi tunajaribu kuelewa ni uelekeo gani Wakazi atakwenda na tunamkumbuka Kaka yetu alietutoka SALU T na muziki wake.
Sat, 13 May 2023 - 1h 02min - 22 - Kijiwe Nongwa Ep 22: TUZO ZA TMA 2023 (TULIPOFIKA) | ZIIKI MEDIA.
Kampuni ya ZIIKI MEDIA imeendelea kuwapa mikataba wasanii wengi wakubwa kwa Tanzania, nini maana Yao na Wana malengo Gani na uwekezaji huu kwa Tanzania? Tunaichambua pia safari kuelekea kilele Cha Tuzo za Muziki Tanzania.
Sat, 13 May 2023 - 1h 00min - 21 - Kijiwe Nongwa Ep 21: LOUI | DAVIDO | UKALI WA MSANII.
Davido anarudi na album mpya tunaangazia kujua nini tunaweza kujifunza kutoka kwake. Nini haswa kipimo Cha umahiri kimuziki wa mwanamuziki, Hilo nalo tumelizungumzia.
Sat, 13 May 2023 - 1h 04min - 20 - Kijiwe Nongwa Ep 20: PLAYLIST YA VP KAMALA HARISS | MWEZI MTUKUFU | UUZAJI WA MUZIKI
Makamu wa Rais wa Marekani Bi Kamala Harris amezitembelea nchi za Ghana, Tanzania na Zambia, na katika safari zake ametoa muziki anaousikiliza katika safari yake, tunazungumza kuhusu Hilo. Mwezi MTUKUFU pia na uhusiano wake na utoaji hafifu wa MUZIKI.
Sat, 13 May 2023 - 34min - 19 - Kijiwe Nongwa Ep 19: WAVE EP (MAONI) | ABIGAIL CHAMS | JOOZEY.
Joh Makini ametoa Ep mpya ya Wave, tunaichambua. Jinsi ambavyo Abigail Chams anatembea na soko la Tanzania na kama ni njia sahihi sana, tunamaliza na Dj JOOZEY.
Sat, 13 May 2023 - 1h 16min - 18 - Kijiwe Nongwa Ep 18: TOP 20 | MPWT MAONI | SALIMA
Nini dhana ya Top 20 katika muziki, ni jinsi gani tunaweza kupata chati kwa ufasaha zaidi katika wakati huu wa teknolojia. Nyimbo mpya ya SALIMA kutoka kwa Fredrick Mulla pia tunaizungumzia.
Sat, 13 May 2023 - 1h 06min - 17 - Kijiwe Nongwa Ep 17: WANAWAKE NA MUZIKI | PHINA & ZUCHU | 1.5% COSOTA.
Siku ya wanawake Iko mbele yetu. Tunaujadili mchango wa wanawake katika muziki wa Tanzania, nafasi Yao na changamoto zinazowakumba.
Sat, 13 May 2023 - 1h 05min - 16 - Kijiwe Nongwa Ep 16: HIP HOP HAIUZI BADO? | PUBLISHING | Q-CHIEF.
Je, ni kweli bado Hip hop HAIUZI mpaka Sasa? Tunaichambua dhana hii pamoja na kuangalia uchapishaji wa muziki na Q Chief na album yake mpya.
Sat, 13 May 2023 - 1h 00min - 15 - Kijiwe Nongwa Ep 15: TUZO ZA MUZIKI 2023 | ALIKIBA X YOGO BEATS.
Tunaangalia ukaribu wa ALIKIBA na producer YOGO BEATS na kama wawili hawa wanatengeneza muziki mzuri zaidi wakiwa pamoja.
Sat, 13 May 2023 - 1h 02min - 14 - Kijiwe Nongwa Ep 14: SINGELI MDUNDO WA TAIFA | LOVE SENTENCE ALBUM | TUZOSat, 13 May 2023 - 1h 01min
- 13 - Kijiwe Nongwa Ep 13: MDUNDO WA TAIFA | DIAMOND PLATNUMZ | TUZO ZA MUZIKI.
Tunalizungumza suala la mdundo wa TAIFA na nini haswa maana yake. Tunaangazia pia Tuzo za muziki wa Tanzania (TMA) kwa mwaka 2023.
Sat, 13 May 2023 - 1h 02min - 12 - Kijiwe Nongwa Ep 12:Sat, 13 May 2023 - 1h 00min
- 11 - Kijiwe Nongwa Ep 11: AFRICAN PRINCESS REC LABEL | YAMMI | BONGOFLEVA 2023.
Nandy amezindua Record Label yake ya African Princess. Tunaangazia maono na dira yake pamoja na changamoto. Pia amemtoa msanii wake wa kwanza Yammi. Tusikilize.
Sat, 13 May 2023 - 1h 00min - 10 - Kijiwe Nongwa Ep 10: WASANII BORA 10 TANZANIA | HATIA V | 2023
Tunazungumza wasanii 10 Bora kwa mwaka wa 2022 na ngoma mpya ya Dizasta Vina "HATIA V". Karibu utusikilize.
Sat, 13 May 2023 - 54min - 9 - Kijiwe Nongwa Ep 9: ALBUMS NA EPs KALI ZA 2022.Sat, 13 May 2023 - 1h 02min
- 8 - Kijiwe Nongwa Ep 8: TBYK MAONI | PERFORMANCE YA JUX | TOMMY FLAVOR | KONTAWA.
Tunaipitia album ya Marioo "The boy You know" na kuitolea maoni. Sambamba na hilo tunaongelea show ya Jux na nyimbo ya Kontawa. Karibu utusikilize.
Sat, 13 May 2023 - 58min - 7 - Kijiwe Nongwa Ep 7: SIO KWA UBAYA | THE SUPERDOME | MAVOKALI.
Ukumbi mpya wa The Superdome uko tayari kabisa. Tunazungumza aina ya mapinduzi tunayoyategemea katika show za live kwa hapa nyumbani. Karibu utusikilize.
Sat, 13 May 2023 - 52min - 6 - Kijiwe Nongwa Ep 6: ACCESS & SPOTIFY MASTERCLASS | UJIO WA ASLAY.
Tulipata nafasi ya kuhudhuria matamasha makubwa kabisa ya muziki ya Access na Spotify,tunayazungumzia hapa pamoja na ujio mpya wa Aslay. Karibu utusikilize.
Sat, 13 May 2023 - 1h 01min - 5 - Kijiwe Nongwa Ep 5: MASTER MANONDO EP (MAONI) | S2KIZZY | ZUCHU.
Tunaitizama Ep ya mkali Fredrick Mulla pamoja na kuangalia kazi za producer S2kizzy pamoja na Zuchu. Tusikilize.
Sat, 13 May 2023 - 1h 00min - 4 - Kijiwe Nongwa Ep 4: NITONGOZE | PHINA, SUPERWOMAN + HAYA | ALBUM MPYA.
Tunaizungumzia nyimbo ya Nitongoze ya Rayvanny na Diamond, PHINA na Superwoman na Haya pamoja na album mpya zilizotoka. Tupe sikio.
Sat, 13 May 2023 - 1h 01min - 3 - Kijiwe Nongwa Ep 3: OMMY DIMPOZ DEDICATION REVIEW | VANILLAH + EP
Tunaizungumzia album ya Ommy Dimpoz Dedication pamoja na kumuangalia msanii mpya kutoka Kings Music VANILLAH na Ep yake. Tusikilize hapa.
Sat, 13 May 2023 - 56min - 2 - Kijiwe Nongwa Ep 2: VITA YA ALBUMS | KIPI KIPYA | ANACONDASat, 13 May 2023 - 1h 01min
- 1 - Kijiwe Nongwa Ep 1. MCHUMBA | KWIKWI | SAMPLING | FLIGHTMODE.
Karibu kwenye episode ya kwanza ya podcast yetu ya KijiweNongwa. Tusikilize hapa kuhusu Zuchu na SlimSal.
Sat, 13 May 2023 - 56min
Podcasts similar to Kijiwe Nongwa.
El Partidazo de COPE COPE
Herrera en COPE COPE
La Linterna COPE
Es la Mañana de Federico esRadio
La noche de Cuesta esRadio
La Trinchera de Llamas esRadio
Hondelatte Raconte Europe 1
Affaires sensibles France Inter
LEGEND Guillaume Pley
CHRONIQUES CRIMINELLES Jacques Pradel - TF1
El colegio invisible OndaCero
La Rosa de los Vientos OndaCero
Les grands dossiers de l'Histoire par Franck Ferrand Radio Classique
Espacio en blanco Radio Nacional
Entrez dans l'Histoire RTL
Le grand récit RTL
Les Grosses Têtes RTL
L'Heure Du Crime RTL
El Larguero SER Podcast
Nadie Sabe Nada SER Podcast
SER Historia SER Podcast
Todo Concostrina SER Podcast
Un Libro Una Hora SER Podcast
HISTORIAS DE LA HISTORIA VIVA RADIO
