Filtrar por género

Kijiwe Nongwa.

Kijiwe Nongwa.

Kijiwe Nongwa

Podkasti inayoangazia yanayotokea katika muziki wa bongo fleva kila siku ya Jumanne.

74 - KIJIWE NONGWA EP 83: NYIMBO MPYA | LADY JAYDEE & ZUCHU | SONGWRITING
0:00 / 0:00
1x
  • 74 - KIJIWE NONGWA EP 83: NYIMBO MPYA | LADY JAYDEE & ZUCHU | SONGWRITING

    Karibu katika episode yetu ya 83 ya KijiweNongwa. Tunazungumzia nyimbo mpya toka kwa Marioo, Harmonize na Nandy. Show ya #BongoFlevaHonors ya LadyJaydee, kulinganishwa na Zuchu na umuhimu wa waandishi wa nyimbo. Karibu kutusikiliza.

    Tue, 29 Oct 2024 - 43min
  • 73 - KIJIWE NONGWA EP 82: TMA RECAP | NIKKI MBISHI | BONGO RECORDS.

    Karibu kwenye episode ya 82 ya KijiweNongwa. Tunaomba radhi kwa kupotea kwa muda, tumerejea. Tunazungumzia usiku wa tuzo za #TMA2023 zaidi kwenye mabaya tuliyoyaona na wapi pa kijirekebisha. Tunazungumzia pia mradi mpya wa Nikki Mbishi, Spana za Unju, Video mpya ya Bosi ya Ferooz na Juma Nature kutoka Bongo Records. Tunamalizia na nyimbo tulizosikiliza. Tunatumai utafutahia kutusikiliza. Karibu.

    Tue, 22 Oct 2024 - 51min
  • 72 - KIJIWENONGWA EP 80 : TMA .

    Karibu kwenye episode yetu ya 80. Nyimbo mpya kutoka kwa Yammi na Mbosso bila kusahau ujio wa EP ya Alikiba.

    Mon, 23 Sep 2024 - 1h 18min
  • 71 - KIJIWENONGWA EP 81: MPYA | NYASHINSKI | BONGO FLEVA

    Karibu kwenye episode yetu ya 81, tuko na Fredrick Mulla kuzungumza kuhusu muziki wa Kenya na pia sakata la NYASHINSKI na Cedo.

    Mon, 23 Sep 2024 - 1h 08min
  • 70 - KIJIWE NONGWA EP 78: SIMBA & YANGA DAY | ASAKE "LUNGU BOY" | BEI YA SHOW.

    Karibu kwenye episode ya 78 ya KijiweNongwa, Leo tunazungumza kuhusu Show za Simba Day na Yanga. Tunaangazia Bei elekezi ya show na kasi ya wasanii wa Nigeria kutoa album kwa haraka. Karibu utusikilize.

    Tue, 06 Aug 2024 - 1h 12min
Mostrar más episodios