Podcasts by Category

LBS Media

LBS Media

Eng. Kabenda Balete

Katika jukwaa hili utajifunza mengi kuhusu mahusiano,biashara na uwekezaji na utajifunza matumizi sahihi ya vipawa vyako ili kuboresha thamani yako binafsiri ili kujihakikishia mafanikio.

8 - Dhana ya kujiajiri
0:00 / 0:00
1x
  • 8 - Dhana ya kujiajiri

    Nini ufanye ili ujiajiri ukiwa kazini? Sikiliza episode hii itakupatia kitu wewe uliye ajiriwa na umefanya biashara nyingi na hazikufanikiwa.

    Sat, 04 Nov 2023 - 02min
  • 7 - Biashara na Uwekezaji

    Umesha wahi jiuliza biashara ni nini? Uwekezaji je? Na ni nani basi anaweza kuwekeza? Na kwanini watu wengi wanafanya biashara na bado hawafanikiwi kuzikuza? Basi sikiliza episode hii hadi mwisho utajifunza mengi.

    Wed, 01 Nov 2023 - 05min
  • 4 - LBS Media (Trailer)
    Sat, 28 Mar 2020 - 00min