Podcasts by Category

MSASA Podcast

MSASA Podcast

Elisha Simon

KARIBU MSASA. 

A show where we talk to successful people about FAILURE.

51 - SIRI YA UWEKEZAJI BONGO - MSASA NA IMANI MUHINGO
0:00 / 0:00
1x
  • 51 - SIRI YA UWEKEZAJI BONGO - MSASA NA IMANI MUHINGO

    Send us Fan Mail Kuna kitu kinabadilika kwenye namna Watanzania wanavyofikiria kuhusu pesa na uwekezaji. 📈🇹🇿 Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia muamko wa uwekezaji, lakini what does this really tell us about our economy and where we're headed? Kwenye Episode 6 ya MSASA Podcast, Imani Muhingo anatupa perspective kuhusu mabadiliko ya masoko ya mitaji, ukuaji wa uchumi na opportunities zinazojitokeza Tanzania. Na muhimu zaidi, nafasi ya mtu mmoja mmoja kwenye haya mabadiliko. Karibu MSASANI. 🎙️...

    Sun, 25 Oct 2026
  • 50 - UMAARUFU BILA PESA - MSASA NA MZEE SHAYO

    Send us Fan Mail Maisha ya sanaa yana mambo mengi, na kwa bahati mbaya, mengi hatuyaoni mbele ya hadhira. Tunachokiona mara nyingi ni kile tu ambacho mastaa tunaowapenda wanakifanya, na sisi ku-enjoy kazi zao. Lakini nyuma ya pazia, maisha hayana script na kwa asilimia kubwa sana wote tunafanana. Maxwell Wilfred Machange ni mchekeshaji aliyedumu takribani miaka kumi kwenye kiwanda cha sanaa Tanzania. Tumebahatika kupiga naye stori kuhusiana na uchekeshaji na sanaa kwa ujumla. Kwa kweli, MSASA...

    Wed, 21 Oct 2026
  • 49 - Tunatembea na Hofu ya PESA

    Send us Fan Mail Pesa ni sehemu ya maisha yetu kila siku. Tunaitafuta, tunaipangia mipango, tunaitumia, na kila wakati… tunaiwazia. Lakini hofu hii ya pesa inatoka wapi? Na kwa nini pamoja na kufanya kazi, kupata kipato na kujaribu kupanga maisha yetu, bado pesa inabaki kuwa chanzo cha mawazo na stress? Kwenye episode hii, Mr. Emmanuel Yaredi Mahodanga, Banker na Head of Personal Banking, anatupa mtazamo wake kuhusu pesa akiwa upande wa ulimwengu wa banking, huku tukigusa na kujibu baa...

    Sun, 27 Sep 2026
  • 48 - You Can Only Dream to the Level of Your Exposure

    Send us Fan Mail What if you're not dreaming too small, you just haven't been exposed to enough? In this episode of MSASA, we sit down with Lwidiko Edward Mhamilawa, a trained medical doctor who moved from medicine and academia into STEAM education and social entrepreneurship, building an initiative that has spent years helping young people solve real-world problems through science, technology, engineering, Arts, and mathematics. We talk about exposure and ambition, why young people ne...

    Sun, 13 Sep 2026
  • 47 - You Had So Much Potential What Happened -MSASA NA BRYAN RUSSEL

    Send us Fan Mail People are at the centre of every business, but finding, developing and keeping the right people is a different game altogether. In this episode of the MSASA Podcast, Bryan Russell takes us beyond the usual HR conversation into the realities of people, business, and what it really takes to make the workplace work. From career progression and workplace culture to performance, retention, the employee employer relationship and the Gen Z workforce, this conversation explores what...

    Sun, 30 Aug 2026
Show More Episodes