Filtrar por género
- 51 - SIRI YA UWEKEZAJI BONGO - MSASA NA IMANI MUHINGO
Send us Fan Mail Kuna kitu kinabadilika kwenye namna Watanzania wanavyofikiria kuhusu pesa na uwekezaji. 📈🇹🇿 Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia muamko wa uwekezaji, lakini what does this really tell us about our economy and where we're headed? Kwenye Episode 6 ya MSASA Podcast, Imani Muhingo anatupa perspective kuhusu mabadiliko ya masoko ya mitaji, ukuaji wa uchumi na opportunities zinazojitokeza Tanzania. Na muhimu zaidi, nafasi ya mtu mmoja mmoja kwenye haya mabadiliko. Karibu MSASANI. 🎙️...
Sun, 25 Oct 2026 - 50 - UMAARUFU BILA PESA - MSASA NA MZEE SHAYO
Send us Fan Mail Maisha ya sanaa yana mambo mengi, na kwa bahati mbaya, mengi hatuyaoni mbele ya hadhira. Tunachokiona mara nyingi ni kile tu ambacho mastaa tunaowapenda wanakifanya, na sisi ku-enjoy kazi zao. Lakini nyuma ya pazia, maisha hayana script na kwa asilimia kubwa sana wote tunafanana. Maxwell Wilfred Machange ni mchekeshaji aliyedumu takribani miaka kumi kwenye kiwanda cha sanaa Tanzania. Tumebahatika kupiga naye stori kuhusiana na uchekeshaji na sanaa kwa ujumla. Kwa kweli, MSASA...
Wed, 21 Oct 2026 - 49 - Tunatembea na Hofu ya PESA
Send us Fan Mail Pesa ni sehemu ya maisha yetu kila siku. Tunaitafuta, tunaipangia mipango, tunaitumia, na kila wakati… tunaiwazia. Lakini hofu hii ya pesa inatoka wapi? Na kwa nini pamoja na kufanya kazi, kupata kipato na kujaribu kupanga maisha yetu, bado pesa inabaki kuwa chanzo cha mawazo na stress? Kwenye episode hii, Mr. Emmanuel Yaredi Mahodanga, Banker na Head of Personal Banking, anatupa mtazamo wake kuhusu pesa akiwa upande wa ulimwengu wa banking, huku tukigusa na kujibu baa...
Sun, 27 Sep 2026 - 48 - You Can Only Dream to the Level of Your Exposure
Send us Fan Mail What if you're not dreaming too small, you just haven't been exposed to enough? In this episode of MSASA, we sit down with Lwidiko Edward Mhamilawa, a trained medical doctor who moved from medicine and academia into STEAM education and social entrepreneurship, building an initiative that has spent years helping young people solve real-world problems through science, technology, engineering, Arts, and mathematics. We talk about exposure and ambition, why young people ne...
Sun, 13 Sep 2026 - 47 - You Had So Much Potential What Happened -MSASA NA BRYAN RUSSEL
Send us Fan Mail People are at the centre of every business, but finding, developing and keeping the right people is a different game altogether. In this episode of the MSASA Podcast, Bryan Russell takes us beyond the usual HR conversation into the realities of people, business, and what it really takes to make the workplace work. From career progression and workplace culture to performance, retention, the employee employer relationship and the Gen Z workforce, this conversation explores what...
Sun, 30 Aug 2026 - 46 - Ujana ni Kitendawili, Tengua! - MSASA NA ALLAN LUCKY
Send us Fan Mail Baada ya kuzungumzia pesa kwenye Episode 1 ya Season 2, sasa tumehamia kwa watafutaji wakuu wa hiyo pesa - vijana. Wanatafuta mkwanja. Wanatafuta kutoka. Wanatafuta kujikwamua. Lakini kwenye safari hii ya kutafuta, kujijenga na kufanikiwa, kitendawili cha kijana kufanikiwa kinatenguliwaje na nani anahusika kutengua? Kwenye Episode yetu ya pili, tuko na Allan Lucky, na anatupiga msasa wa kwa nini kitendawili hiki ni cha kaa kule, nikae huku, tumfinye mchawi. 😅 Kila mtu kwenye ...
Sun, 16 Aug 2026 - 45 - Kuwa tajiri au maskini ni maamuzi binafsi - MSASA NA JOHN GEORGE
Send us Fan Mail Karibu msasani! 🎙️ Leo tuko na John George, na tunazungumza kuhusu jambo ambalo kila mmoja wetu analifukuzia, PESA. Lakini je, kupata pesa ndiyo changamoto kubwa, au kuzitunza? Financial freedom ni nini hasa? Na kwa nini maamuzi madogo tunayofanya leo yanaweza kuamua maisha yetu ya baadaye? Haya ni mazungumzo kuhusu pesa, nidhamu, uwekezaji, na maamuzi yanayoweza kubadili maisha yetu ya kifedha. Guest: John George Instagram: / georgejn2000 #FinancialFreedom #Inv...
Mon, 03 Aug 2026 - 44 - Mpishi wa pilauSun, 14 Dec 2025
- 43 - Bongo Mkononi
Send us Fan Mail Bongoflava imekuwa sauti ya kizazi - lakini ni nani aliyeianzishia safari? Karibu kwenye Msasa wa Taji Liundi — “Master T”..
Sat, 13 Dec 2025 - 42 - Tatizo ni kwenye kugawana %
Send us Fan Mail Je unapenda kula? Je wewe ni mnazi wa pilau? Je ukiwekewa pilau na pilau utakula pilau? Episode hii ya @Msasapodcast inanukia viungo vya pilau tamu kutoka kwa main chef @gillsaint. Humu ni nondo za jinsi gani unaweza kutobowa kwenye ulimwengu huu wa kujiajiri na kuajiriwa mtandaoni. Tufuatilie kwenye digital platfom zote @Msasapodcast , pia pilau likinoga onjesha na wenzio.😁
Sat, 13 Dec 2025 - 41 - Baraka za BarakaSun, 23 Nov 2025
- 40 - People Don’t Buy Software to Win , They Buy It to Stop the Pain
Send us Fan Mail Beyond code and connectivity, it’s about people, purpose, and progress. From Tanzania to the rest of the continent, @tahajiwaji , Founder and CEO of @beem.africa is redefining how businesses communicate, grow, and build lasting relationships through technology. But “You can’t build a big business just relying on technology.” In this episode of Msasa, we go beyond the buzzwords, exploring what it really takes to scale, adapt, and empower others in markets that are still fin...
Sun, 26 Oct 2025 - 39 - Sina Kazi Naishi Ninavyotaka
Send us Fan Mail Hii version ya Msasa inaitwa “tega sikio, pesa inaongea”. Hapa stori ni jinsi gani unaweza kutumia hela kutengeneza hela wapi, kwa namna gani, kwa kipindi gani, na ukiwa na malengo gani. Bila kusahau, kwenye kutafuta hela kuna maisha pia. Je, unastaafu vipi? Watch out new episode ya Msasa na @neema_chamy, inapatikana kwenye digital channels zote. Tafadhali share episode hii adimu kwa mtu ambaye ungetamani apate madini kuhusu pesa. #msasapodcast #tegasikio #pesa...
Thu, 23 Oct 2025 - 38 - Kuna Maisha kwenye Siasa
Send us Fan Mail Msasa wa leo umeingia na boti la mapema, so pay attention maana kuna zawadi ya madini kutoka Thomas kibwana . Mchambuzi wa masuala ya kisiasa na ubobezi wa mauzo.
Tue, 07 Oct 2025 - 37 - The Entrepreneur’s Guide to Employment
Send us Fan Mail In this episode of Msasa with Rumisho, we dive deep into leadership, integrity, teamwork, and the entrepreneurial spirit. From taking full responsibility, to building confidence as the number one salesperson in your business, Rumisho shares lessons from his own journey. 🎧 Guest: Rumisho Shikonyi 🎙 Host: Elisha Simon (Hisiatz) Tune in for insights on: #Inspiration #Entrepreneurship #GrowthMindset #businessowner #PersonalGrowth #MsasaPodcast #BusinessInFashion #Li...
Sun, 28 Sep 2025 - 36 - Jinsi Ya Kuongea Na Mungu
Send us Fan Mail This is one of those episodes that makes you sit back, listen, and reflect: What am I without God? What is my purpose am I truly living it? How do I discover it? And wait, I’m not alone in facing the everyday challenges of life. In this conversation, Lisa Ackim a Lawyer, Orphan Welfare Advocate, Community Mediator, Peacemaker, and Small Business Coach opens up about her journey, one we believe will leave a lasting impact on you. Karibu!
Tue, 16 Sep 2025 - 35 - Conversations to conversions
Send us Fan Mail Today we’ve got someone who knows the game inside out — Milu Kipimo. Entrepreneur and master of sales. If you’ve been running on that old playbook of tricks and fast talk — delete it. This is about trust, respect, and real human connection. 🎧 Guest: Milu Kipimo 🎙 Host: Elisha Simon a.k.a Hisiatz
Mon, 08 Sep 2025 - 34 - Matamu na machungu ya kutafuta mafanikio
Send us Fan Mail Daktari wa camera mbele ya camera za Msasa , hadithi zinazopigwa humu ni maisha, kuishi , wakati , kufeli , kupanda na kushuka bila bei kushuka. Inapatikana kesho mapema kwenye digital platforms zote. #msasa #hanscana #kubeti
Sun, 31 Aug 2025 - 33 - Living with demons : A battle for control and healing
Send us Fan Mail Join us on this episode of the #Msasapodcast as Walter Simalike introduces acceptance and realization as the ultimate step 1. #MsasaPodcast #WalterSimalike #Overindulgence #AddictionAndRecovery #FindingBalance #MentalHealthMatters
Sat, 26 Jul 2025 - 32 - Shughuli ni Watu
Send us Fan Mail Episode hii na Seba Kolowa ni shuhuda ya jinsi kijana unavyoweza kupiga hatua kutoka ulipo, mpaka pahala pengine kwa vile ulivyonavyo na vingine vya kuvitafuta.
Sat, 26 Jul 2025 - 31 - Trust the process
Send us Fan Mail There is clarity in chaos when you trust the process💪🏾 🎧 Join us on the #Msasapodcast for a heartfelt conversation about faith, resilience, and the beauty of surrendering to something bigger this sunday with @_TimFordJ Guest: Tim Ford https://www.instagram.com/_timfordjr/?hl=en Host: Hisia https://instagram.com/hisiatz/ 🎙 MSASA PODCAST: 💬 Let’s Touch Base on WhatsApp Channel https://whatsapp.com/channel/0029VaFg... 🎧 For more content like this, SUBSCRIBE to our c...
Sun, 08 Dec 2024 - 30 - Moyo unakuwaga mzito kwa mwanaume
Send us Fan Mail This week on the #MsasaPodcast, we’re joined by the Michael Baruti of @menthepodcast We’re diving deep into the often-overlooked conversation, the struggles, the stigma, and the path to healing for men and mental health. #MenAndMentalHealth Guest: Michael Baruti https://www.instagram.com/michaelbaruti/ -- Host: Hisia https://instagram.com/hisiatz/ MSASA PODCAST 🎙 : Let’s Touch Base on WhatsApp Channel 💬 https://whatsapp.com/channel/0029VaFg...
Sun, 01 Dec 2024 - 29 - Watu wa Kariakoo waliniokoa
Send us Fan Mail Tafuteni Popcon jamani @lamataleah ana yake ya kutupiga #Msasa🤭 Guest: LAMATA https://www.instagram.com/lamataleah/ -- Host: Hisia https://instagram.com/hisiatz/ MSASA PODCAST 🎙 : Let’s Touch Base on WhatsApp Channel 💬 https://whatsapp.com/channel/0029VaFg... For more content like this SUBSCRIBE To our channel / @msasapodcast Our Website https://neiked.co.tz/msasa/ Podcast Streaming: https://www.buzzsprout.com/2288412/share ...
Sun, 01 Dec 2024 - 28 - From passion to profit
Send us Fan Mail What happens when you're a creative but the hustle demands you be a businessman too? #Today we sit down with the fabulous hustler Ally Rehmtullah to unpack the chaos, the challenges, and the compromises of balancing artistry with #entrepreneurship Guest: Ally Rehmtullah https://www.instagram.com/allyrehmtullah/ -- Host: Hisia https://instagram.com/hisiatz/ MSASA PODCAST 🎙 : Let’s Touch Base on WhatsApp Channel 💬 https://whatsapp.com/channel/0029VaFg.....
Sat, 23 Nov 2024 - 27 - From Child to Breadwinner
Send us Fan Mail Today, we’re thrilled to host Khalila Mbowe, also known as Kellz—a visionary social entrepreneur and the founder of Unleashed Africa. Her organization is dedicated to empowering East African youth through the arts, leadership, and entrepreneurship, providing skills and opportunities to fuel their creative and professional journeys. In this episode, Khalila shares her journey, drive for social change, and valuable insights on uplifting young people across the region. Join us f...
Wed, 13 Nov 2024 - 26 - Baharia Mwenye SWAG
Send us Fan Mail J2 hii on the #MsasaPodcast @Mtani_bespoke AKA Fundi ,tafuta mkasi, uzi na kiwembe, maana Msasa wa leo ni wa kitambaa. Tune in to find out how @mtani_bespoke tailored a life that suits him. 🎧 Guest: Mtani Nyamakababi (Mtani Bespoke) 🎙 Host: Elisha Simon (Hisiatz) Tune in for insights on: #Inspiration #Entrepreneurship #StreetSmarts #GrowthMindset #Marketing #businessowner #PersonalGrowth #MsasaPodcast #BusinessInFashion #LifeLessons Join us on the MSASA P...
Sun, 10 Nov 2024 - 25 - Miaka 20 Kwenye Game na Bado Anakimbiza
Send us Fan Mail Karibu kwenye #MsasaPodcast! Tunamkaribisha Jay Moe, mkongwe mwenye zaidi ya miaka 20 ya uzoefu katika kuburudisha Watanzania kwa nyimbo zenye mafumbo na ujumbe mkali kupitia muziki wa rap. Tutachambua safari ya muziki na mabadiliko ya tasnia ya muziki wa Bongo toka miaka ya nyuma mpaka sasa. Mazungumzo haya ni ya kuhamasisha, tukitazama mabadiliko, changamoto, na mafanikio katika entertainment industry! 🎧 Mgeni: Juma Mchopanga a.k.a Jay Moe 🎙 Mwenyeji: Elisha Simon a.k.a Hi...
Sun, 27 Oct 2024 - 24 - Furaha yako ni Jukumu Lako
Send us Fan Mail Jiunge nasi kwenye #MsasaPodcast tunapomkaribisha Lumulike Mengele A.K.A Muli B, mfanyabiashara na DJ maarufu mwenye zaidi ya miaka 20 katika tasnia ya Bongo Flavor. Tutaangazia umuhimu wa kujitambua na nidhamu katika kufanikisha mafanikio ya muda mrefu. Usikose mazungumzo haya ya kuhamasisha! 🎧 Guest: Lumuliko Mengele (Muli B) 🎙 Host: Hisia (@hisiatz) #Inspiration #Entrepreneurship #BusinessSuccess #StreetSmarts #Hustle #Marketing #SuccessMindset #PersonalGrowth #MsasaPodc...
Sun, 20 Oct 2024 - 23 - The Silent Loud One
Send us Fan Mail Being #different from the your competitors isn’t enough to win the market, so what is? Leo tumemkaribisha a media buying expert akituelezea jinsi #effectivebranding inaweza kutusaidia kuboresha na kukuza #biashara zetu. #msasapodcast #effectivecampaign #marketing #mediabuying #entrepreneurship #Tanzania Guest: John Enos Otieno / john-enos-otieno-69091919 -- Host: Hisia / hisiatz MSASA PODCAST 🎙 ...
Mon, 01 Jul 2024 - 22 - Leave Room For Magic
Send us Fan Mail Hakuna neno la ukweli lenye ladha ya asali, je akili yako inapokea uhalisia? Usikose madini ya vichwa vitatu kutoka H_art the band on #msasapodcast on this very #specialepisode. Dont forget to listen to their new Album "TIME"
Mon, 01 Jul 2024 - 21 - The Godfather of Comedy
Send us Fan Mail Sometimes getting out of #comfortzone is the key to many doors that you wouldn’t have opened otherwise. Leo tumemkaribisha Godfather wa comedy Tanzania Evans Bukuku akitupa his personal experiences zenye #Msasa ndani yake that are guaranteed to leave you motivated to take on new #challenges and #opportunities #msasapodcast #entrepreneurship #biashara #comedy #comedian #Tanzania #podcast Guest: Evans Bukuku https://instagram.com/evansbukuku/ http:...
Sun, 05 May 2024 - 20 - Oxygen is Free
Send us Fan Mail The future of entrepreneurship in Africa it’s not just promising - it’s already unfolding na Kuna msemo wa Kiafrika unasema “Ukitaka kwenda haraka, nenda peke yako, ukitaka kwenda mbali, nenda na wenzako” Leo kwenye #Msasa tumemkaribisha an agribusiness expert and a serial entrepreneur, Steve Issac Angelo akituelezea why being an entrepreneur in Africa requires different lens and mindset. #MsasaPodcast #entrepreneurship #africa #biashara #africaentrepreneur #Problem...
Sun, 28 Apr 2024 - 19 - Buckle up! Life is not free
Send us Fan Mail Refuse to let life happen to you - make it happen! Join us for a raw chat with Daniella Kwayu, a serial entrepreneur, economist, agriculture enthusiast and a founder of Pherma Agri and get ready to toughen up, take charge and take up space in a world that’s anything but easy. #MsasaPodcast #investors #founder #dontbeavictim #beincharge #entrepreneurship #ujasiriamali #impactinvesting #Tanzania Guest: Daniella Kwayu / daniellakwayu /...
Sat, 13 Apr 2024 - 18 - Maisha na Sauti Ya Guitar
Send us Fan Mail Kama wewe ni msanii au unataka kuwa msanii hii episode inakuhusu, Utapata kujua uhalisia wa Sanaa and what it takes to thrive in this industry Leo tumekaribisha Grace Matata, Tanzania's beloved Afro soul singer, to share her personal insights, experiences, and wisdom gained from her journey in the #music industry #musician #afrosoul #Inspiration #singer #Msasa #msasapodcast #Tanzania Guest: Grace Matata https://instagram.com/gracematata/ http://linkedin.com/in/grace-matata...
Sun, 14 Apr 2024 - 17 - Bobby West Goes to Town
Send us Fan Mail When the going gets tough, the tough gets going. Kwenye hii episode Bobby anatuelezea #changamoto mbali mbali alizokutana nazo kwenye maisha yake, lessons alizojifunza na njia anazotumia ku cope na new incoming #challenges #Msasa #madini #advertising #creatives #faith #bongo #BongoIsBrain #Tanzania Guest: Bobby Mongi / bobbymongi -- Host: Hisia / hisiatz MSASA PODCAST 🎙 : Let’s Touch Base on WhatsApp Channel 💬 https://whatsapp.com/chan...
Sat, 13 Apr 2024 - 16 - Mwanajeshi na Nyota
Send us Fan Mail Ukiona vyaelea ujue vimeundwa - Unamjua aliyeiunda EvoNem health App? Basi leo ndo yuko #msasani akitupa the ups and downs of building a #business in today’s world. From resilience in the face of #challenges to seizing opportunities for #growth, this episode is packed with tons of wisdom for all the aspiring #entrepreneurs out there! #msasapodcast #techstartups #businessowner #wisdomsunday #podcast #Tanzania #entrepreneurship Guest: Emmanuel Mbeyela https://instagram...
Sun, 07 Apr 2024 - 15 - The Curious Case of Arthur Kyara
Send us Fan Mail kwenye game ya biashara, lazima ujue ni nini kinapiga kazi na nini hakiendi, otherwise utakuwa unapoteza muda na pesa. Na pia kwa vyote unavyofanya Mungu ndo caption number moja. Leo tumemkaribisha the man of God ambaye pia ni mtaalam wa data kutuelezea umuhimu wa data na jinsi tunavyoweza kuitumia kuboresha biashara zetu. #msasapodcast #datadriven #dataanalyst #biashara #data #entrepreneurship #Tanzania Guest: Arthur Kyara https://instagram.com/arthurkya...
Fri, 05 Apr 2024 - 14 - Saturn's Return
Send us Fan Mail Ulipotoka unakuja unakokwenda haukutambui - everything that happens happens for a reason/ there’s a reason behind every twist and turn in life Join us for an enlightening and laughter-filled episode featuring the one and only Deogratius, a multi-talented comedian and serial entrepreneur On this episode, you will be entertained and inspired with deogratius unique perspective and hilarious anecdotes. #msasapodcast #comedian #comedyshow #watubaki #sisiniwatubaki #wa...
Sun, 10 Mar 2024 - 13 - Ukitaka kusikilizwa, sikiliza kwanza
Send us Fan Mail Determination: the stubborn refusal to let life’s #challenges turn you into a soggy sponge On this episode, we dive into the world of resilience and #determination with Edwin Musiba, the Founder & CEO of Salt Media Co #msasapodcast #CreativeDirector #founder #creative #Tanzania Guest: Edwin Musiba https://instagram.com/extraedinary/ http://linkedin.com/in/edwin-musiba-17308346 -- Host: Hisia Instagram : / hisiatz M...
Sun, 03 Mar 2024 - 12 - Usionyeshe Tatizo, Onyesha Suluhu
Send us Fan Mail Care is the name of the game....join us as we talk what it takes to go above and beyond. Tune in kwenye #MsasaPodcast with Jacqueline Lawrence entrepreneur and director of @mbeyahighlandsfm , as we uncover the power of genuine care in business. #Inspiration #entrepreneurship #businesssuccess Usikose Msasa Leo na Jacqueline Lawrence Guest: Jacqueline Lawrence Instagram: @jackielawrencem LinkedIn: @ jacqueline-lawrence-mwakyambiki #medi...
Mon, 26 Feb 2024 - 11 - Kujiajiri sio kutoka
Send us Fan Mail With freedom comes great responsibility. Jiunge nasi kwenye #msasapodcast na Tech Guru & Entrepreneur Ng’winula Kingamkono as we talk what it takes to succeed in business. Usikose Msasa Leo na Ng’winula Kingamkono Guest: Ng’winula Kingamkono #fintech #software #entrepreneurs -- Host: Hisia MSASA PODCAST 🎙 : Website: https://neiked.co.tz/msasa/ Follow the MSASA PODCAST channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VaFg... Podcast Streaming: https:/...
Mon, 19 Feb 2024 - 10 - Pleasure, Passion & Pain na Baba Ushauri
Send us Fan Mail Lessons in Life are numerous ila mwisho wa siku #maamuzi ya kutisha nayo ni ya kwako. #Jikubali #YouAreEnough Karibu Kwenye #MsasaPodcast with Legendary Media & Marketing Guru & former East Africa Radio & Choice FM's "The Fix" Presenter Sebastian Mwaikambo. Guest: Sebastian "The Warrior" Mwaikambo #ControlYourThoughts #YouAreWhatYouThink #EmbraceYourPotential -- MSASA PODCAST 🎙 : Website: https://neiked.co.tz/msasa/ Follow the MSASA PO...
Mon, 19 Feb 2024 - 9 - Mungu akitaka kukutumia hakuandikii barua
Send us Fan Mail Kila mtu ana nafasi yake .Hata kama kwa nje wito utaonekana kufanana haina maana wito wa mtu mmoja na mwingine unafanana. Jiunge nasi leo tuki pata Msasa kwa Gwamaka Mwakalinga talking about his call to greatness. Guest: Gwamaka Mwakalinga #Musician #Worship #Leader #Songcomposer #essenceofworship Host: Hisia MSASA PODCAST 🎙 : Website: https://neiked.co.tz/msasa/ Follow the MSASA PODCAST channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/002...
Sat, 17 Feb 2024 - 8 - Hatua ya kwanza ya kutoboa ni kufeli
Send us Fan Mail Waswahili wanasema ukimpiga teke chura, unamuongezea mwendo. 🔥 Kwenye episode hii tunapata madini raw kabisa from Fredrick Bundala AKA Sky, living proof of the fruits of perseverance. Guest: Sky Instagram: https://www.instagram.com/skytanzania Simulizi na Sauti (SNS): https://www.youtube.com/@SimuliziNaSauti #Author #simulizinasauti #creative #director -- Host: Hisia Instagram :https://www.instagram.com/hisiatz/ MSASA PODCAST 🎙 : Website: htt...
Sun, 28 Jan 2024 - 7 - 'Angalia dunia kupitia lense ya uhalisia' na Kennedy Mmari , Founder of Serengeti Bytes
Send us Fan Mail Kutofautisha ukweli na uhalisia ni kitu muhimu kwenye utafutaji, chamsingi ni utayari kuelewa karata yako umeitupia wapi. Jiunge nasi kwenye #Msasapodcast na Kennedy Mmari CEO of Serengetibytes #matarajio #biashara #halisia #storiesaboutfaliure
Mon, 22 Jan 2024 - 6 - 'Unahitaji kufanya kazi,Kupata Kazi' with Lillian Madeje, Founder of Niajiri Platform
Send us Fan Mail Waswahili wanasemaga, ujanja kuwahi na mwenye nacho hongezewa. Je, umejiongeza mpaka wapi nawe uongezewe? Join us on this episode of #MsasaPodcast with Lillian Madeje, Entrepreneur & Founder of the Niajiri Platform as we talk Biashara na kuajiriwa. https://neiked.co.tz/msasa/
Sun, 14 Jan 2024 - 5 - Kamati Ya Kichwa with Clay, the CEO of ChekaPlus TV & Co-founder of ChekaTu.
Send us Fan Mail We una watu wangapi kwenye Kamati yako? Exploring the Good, the Bad and the Funny, with Clay Kennedy Masiga, akitoa madini jinsi anavyo disconnect ili kuja na mizinga ya ideas, the reality of events, finding things that introduce us to the world, faith in God and leaving a mark in this world. #MsasaPodcast #StoriesAbouFailure #Chekatu #Clay #KamatiYaKichwa #Events #Comedy #Business #Neiked #SeasonPremier
Tue, 09 Jan 2024 - 4 - Clarity is my Superpower with Cynthia, CEO of The Ruge Mutahaba Foundation.
Send us Fan Mail Life is a mix of choices—some good, some bad, but all very necessary for "Character development"😉 . If you use #Clarity as your compass; it decides whether you sink or swim. Watch "CLARITY IS MY SUPER POWER" #MSASAPodcast #decisionsdecisions
Tue, 26 Dec 2023 - 3 - 'When You Fail You Wake Up' with Amin Swai ,CEO of Blanq Marketing & Communications.
Send us Fan Mail The path to winning is a non-linear series of events. Watch as we unpack the true nature of success with Amin Swai , CEO of Blanq Marketing & Communications
Tue, 26 Dec 2023 - 2 - 'Sitaki kua tajiri, nataka kufanikiwa' with artist & Hip hop legend Fid Q
Send us Fan Mail Nini tofauti kati ya utajiri na kufanikiwa? Usikose #Msasa huu wa @therealfidq this #sunday on the #msasapodcast
Tue, 26 Dec 2023 - 1 - From the streets of Shinyanga to the roof of Africa with Djjoozey
Send us Fan Mail #Mafanikio sio mwisho, #kushindwa si mbaya unachohitaji ni #ujasiri wa kuendelea push mpaka kieleweke. When this happens the #sky is no longer the limit. Tune in as we talk with one of Africa's Best DJs #Djjoozey on how he turned his aspirations into constellations.
Wed, 20 Dec 2023
Podcasts similares a MSASA Podcast
El Partidazo de COPE COPE
Herrera en COPE COPE
La Linterna COPE
Panda Show - Sin Picante El Panda Zambrano
Es la Mañana de Federico esRadio
La noche de Cuesta esRadio
La Trinchera de Llamas esRadio
Hondelatte Raconte Europe 1
Affaires sensibles France Inter
LEGEND Guillaume Pley
El colegio invisible OndaCero
La Rosa de los Vientos OndaCero
Les grands dossiers de l'Histoire par Franck Ferrand Radio Classique
Espacio en blanco Radio Nacional
Entrez dans l'Histoire RTL
Le grand récit RTL
Les Grosses Têtes RTL
L'Heure Du Crime RTL
Parlons-nous RTL
El Larguero SER Podcast
Nadie Sabe Nada SER Podcast
SER Historia SER Podcast
Todo Concostrina SER Podcast
Un Libro Una Hora SER Podcast
