Filtrar por género

Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

Haraka sana ilienea kote Italia, tayari katika miaka ya 90, uzoefu huu wa kipekee wa redio uliamsha shauku katika sehemu zingine za ulimwengu. Baadaye, kila mara chini ya uelekezi na usaidizi wa Radio Maria Italia, Radio Maria nyingine iliibuka Amerika (kuanzia na Peru), Afrika (kwanza Burkina Faso), sehemu nyingine za Ulaya… na hivyo Familia ya Ulimwengu ya Radio Maria ilizaliwa mnamo Juni 1998, na kuwa NGO inayotambuliwa na UN, yenye makao makuu ya kisheria huko Roma. Madhumuni yake ni kuendeleza mradi wa kimisionari, kujibu maombi yanayotoka katika maeneo yote ya dunia, kuhakikisha uhalisi wa chapa, kutoa usaidizi wa kiufundi kwa RM zote, na kukuza mabadilishano na usaidizi kati ya kila redio. Familia ya Ulimwengu inadumisha mahusiano ya mara kwa mara ya taarifa na Baraza la Kipapa la Mawasiliano ya Kijamii la Kiti Kitakatifu

540 - Fahamu historia ya Nabii Isaya.
0:00 / 0:00
1x
  • 540 - Fahamu historia ya Nabii Isaya.

    Karibu usikilize Kipindi cha Ujumbe wa Biblia na Padre Tutus Amigu, Mtaalamu wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Jimbo Kuu la Mwanza, ambapo katika Kipindi hiki anaendelea kufafanua juu ya Sakramenti ya Daraja Takatifu ya Upadre, akijikita zaidi katika historia ya Nabii Isaya.

    Fri, 17 May 2024 - 56min
  • 539 - Fahamu umuhimu wa Kusindika Vyakula.

    Ungana na Mtangazaji Esther Hangu  katika kipindi cha Chakula na Lishe, Mwezeshaji Bi Maria Ngilisho Afsa lishe Mtafiti Mwandamizi kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania, TFS, Mada Vyakula vilivyo Sindikwa.

    Fri, 17 May 2024 - 51min
  • 538 - Je, wafahamu faida ya kushughulisha Mwili.

    Ungana na Mtangazaji Agatha Kisimba katika kipindi cha Chakula na Lishe, Mwezeshaji Bi Maria Ngilisho Afsa lishe Mtafiti Mwandamizi kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania, TFS, Mada Lishe na kuushughulisha Mwili.

    Fri, 17 May 2024 - 48min
  • 537 - Fahamu wajibu wa Wazazi na Walezi juu ya Uraibu wa Mitandao kwa Watoto.

    Karibu Ungane na Mtanagzaji Happiness Mlewa, katika kipindi cha Uraibu na Padri Richard Matanda Tesha kutoka Jimbo Katoliki Moshi,  akizungumzia Wajibu wa Wazazi na Walezi juu ya Uraibu wa Mitandao kwa Watoto  .

    Fri, 17 May 2024 - 51min
  • 536 - Je, wafahamu Umuhimu wa Methali katika Jamii?

    Ungana nami Martin Jospeh  katika kipindi cha Elimu Jamii leo tupo na Msanifu Lugha Kusanja Emmanuel Kusanja, kutoka Braza la Kiswahili Taifa [BAKITA] mada ni Umuhimu wa Methali katika Jamii.

    Fri, 17 May 2024 - 52min
Mostrar más episodios