Filtrar por gênero

Habari RFI-Ki

Habari RFI-Ki

RFI Kiswahili

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

820 - Maoni ya waskilizaji kuhusu mafuriko yanayo zikumba nchi za Afrika mashariki
0:00 / 0:00
1x
  • 820 - Maoni ya waskilizaji kuhusu mafuriko yanayo zikumba nchi za Afrika mashariki

    Mafuriko yanashuhudiwa kwenye nchi za Afrika Mashariki, mamia ya watu wakiripotiwa kufariki, nyumba na miundombinu ikiharibiwa.

    Nchi za Kenya na Tanzania zimeathirika pakubwa na mafuriko haya. Unazungumziaje miakakati inayochukuliwa kuzuia madhara zaidi?

    Hali ikoje nchini mwako?

    Unachukua tahadhari zipi binafsi kujilinda?

    Tue, 07 May 2024
  • 819 - Maoni ya msikilizaji kuhusu yaliojiri nchi mwake wiki hii
    Tue, 07 May 2024
  • 816 - Je siku ya wafanyikazi duniani ina maana gani kwa msikilizaji
    Fri, 03 May 2024
  • 815 - Ushirikiano wa Afrika na benki ya Dunia pamoja na masharti magumu ya mikopo

    Viongozi wa Afrika wamekutana Nairobi kujadili ushirikiano zaidi na benki ya dunia

    Tue, 30 Apr 2024
  • 814 - Mafuriko yanavyoendelea kuutesa ukanda wa Afrika Mashariki

    Ukanda wa Afrika ya mashariki na Pembe ya Afrika unaendelea kupokea mvua kubwa

    Tue, 30 Apr 2024
Mostrar mais episódios