Filtra per genere

Habari RFI-Ki

Habari RFI-Ki

RFI Kiswahili

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

821 - Nini mchango wa masharika ya kirai katika mataifa yetu ya Africa
0:00 / 0:00
1x
  • 821 - Nini mchango wa masharika ya kirai katika mataifa yetu ya Africa

    Kongamano la kwanza la mashirika ya kiraia la Umoja wa Mataifa limekamilika jijini Nairobi wiki iliyopita, huku wito wa mazungumzo ya uwazi na ukweli kati ya serikali na mashirika hayo ukisisitizwa.

    Upi mchango wa mashirika ya kiraia kwenye nchi zetu?

    Unadhani yamefanya vya kutosha kuzisaidia jamii na kuchochea maendeleo?

    Kipi zaidi kifanyike kuboresha uhusiano kati yake na Serikali?

     

    Ski makala

    Mon, 13 May 2024
  • 820 - Maoni ya waskilizaji kuhusu mafuriko yanayo zikumba nchi za Afrika mashariki

    Mafuriko yanashuhudiwa kwenye nchi za Afrika Mashariki, mamia ya watu wakiripotiwa kufariki, nyumba na miundombinu ikiharibiwa.

    Nchi za Kenya na Tanzania zimeathirika pakubwa na mafuriko haya. Unazungumziaje miakakati inayochukuliwa kuzuia madhara zaidi?

    Hali ikoje nchini mwako?

    Unachukua tahadhari zipi binafsi kujilinda?

    Tue, 07 May 2024
  • 819 - Maoni ya msikilizaji kuhusu yaliojiri nchi mwake wiki hii
    Tue, 07 May 2024
  • 816 - Je siku ya wafanyikazi duniani ina maana gani kwa msikilizaji
    Fri, 03 May 2024
  • 815 - Ushirikiano wa Afrika na benki ya Dunia pamoja na masharti magumu ya mikopo

    Viongozi wa Afrika wamekutana Nairobi kujadili ushirikiano zaidi na benki ya dunia

    Tue, 30 Apr 2024
Mostra altri episodi