Podcasts by Category

Shujaaz Radio Online

Shujaaz Radio Online

DJ B Shujaaz

A youth radio show hosted by DJ B aimed at giving the youth a platform for their stories to be told.

6 - Shujaaz Radio Online - Episode 6
0:00 / 0:00
1x
  • 6 - Shujaaz Radio Online - Episode 6

    Hii wiki tunabonga kuhusu:-

      Madame wa young kuget early pregnancies vile hustle za wasee wako differently-abled zimekuwa affected.  Vile gava wanakula pesa za Covid. 
    Thu, 17 Sep 2020 - 14min
  • 5 - Shujaaz Radio Online - Episode 5

    Hii wiki tunabonga kuhusu gava kuiba doh za Covid wakati citizens wana struggle. 

    Fri, 11 Sep 2020 - 14min
  • 4 - Shujaaz Radio Online - Episode 4

    This week tunabonga na ma youth wanajituma na tunapata opinion yao kuhusu Gava. 

    Fri, 28 Aug 2020 - 13min
  • 3 - Shujaaz Radio Online - Episode 3

    This week kwa show nabonga na mayouth ambao wameamua kujituma despite challenged Covid imeleta. 

    Fri, 14 Aug 2020 - 13min
  • 2 - Shujaaz Radio Online - Episode 2

    Shujaaz Radio ni show ambayo ina entertainment, place mayouth wanaeza skika na place tunajengana an ideas kibao. 

    Fri, 07 Aug 2020 - 13min
Show More Episodes