Podcasts by Category

TCRA Tanzania

TCRA Tanzania

TCRA Tanzania

Tutumie Mawasiliano Kujiletea Maendeleo

3 - Kanuni Mpya za Usajili wa Laini za Simu, 2023
0:00 / 0:00
1x
  • 3 - Kanuni Mpya za Usajili wa Laini za Simu, 2023

    Yapi mabadiliko ya kanuni hizi?, Vipi vitu muhimu vya kuzingatia?, Upi utaratibu wa Usajili wa laini za simu kwa watoto? Je mtu anapofarika utaratibu upi hufuatwa?

    Haya na mengine mengi yameongelewa kwenye kipindi maalum kinacho angazia Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta Kuhusu Usajili wa Laini za Simu, 2023.


    #ElimukwaUmma

    #MawasilianoKwaMaendeleo

    #tcrapodcast

    Thu, 17 Aug 2023 - 30min
  • 2 - Rasilimali ya Kikoa cha Tanzania

    Fahamu kuhusu kikoa cha taifa (.tz)

    Get to know everything about Country Domain (.tz) and how you can leverage it for your business in Tanzania.


    Host: Alpha Wawa

    Guest: Simon Balthazar

    Studio: TCRA Studios


    #Domain

    #Domainname 

    #DotTZ

    #Tanzania

    #TCRA

    #KaribuTz

    #Awareness

    Tue, 01 Aug 2023 - 36min
  • 1 - Salaam kutoka TCRA

    Kazi iendelee!

    Fri, 23 Jun 2023 - 00min