Nach Genre filtern

99.9 GHETTO FM

99.9 GHETTO FM

GHETTO FM

An amplified voice for the voiceless

120 - Fedha Zipo Kwenye Bajeti, Lakini Huduma Hazipo Mtaani Uchunguzi wa Afya na Usafi katika Mabanda ya Nairobi.”
0:00 / 0:00
1x
  • 120 - Fedha Zipo Kwenye Bajeti, Lakini Huduma Hazipo Mtaani Uchunguzi wa Afya na Usafi katika Mabanda ya Nairobi.”

    Huduma za Afya na usafi bora katika mitaa duni za Nairobi zinaendelea kulemazwa na serikali hata baada ya kuonekana kuwa kaunti ina mgao zaidi ya bilioni mbili nukta saba

    Fri, 19 Dec 2025 - 17min
  • 119 - HABARI ZA GHETTO FM SAA TATU USIKU

    RAIS WILLIAM RUTO MUKURU

    Fri, 19 Dec 2025 - 02min
  • 118 - HABARI ZA GHETTO FM SAA MOJA JIONI TAREHE 19.12.2025

    RAIS ANATUMIA VIJANA WA KENYA KUFANYA SHUGLI YA UJENZI NA WALA SII WACHINA

    Fri, 19 Dec 2025 - 01min
  • 117 - HABARI ZA SAA KUMI JIONI TAREHE 19.12.2025

    RAIS AKIZINDUA RASMI SHULE YA CHEKECHEA NA HOSPITALI KATIKA MTAA WA MUKURU ESTATE

    Fri, 19 Dec 2025 - 01min
  • 116 - HABARI ZA GHETTO FM SAA SABA TAREHE 19.12.2025

    Habari ya Rais William Ruto akizindua rasmi nyumba za bei nafuu mukuru

    Fri, 19 Dec 2025 - 01min
Weitere Folgen anzeigen