Filtra per genere

99.9 GHETTO FM

99.9 GHETTO FM

GHETTO FM

An amplified voice for the voiceless

82 - KINA MAMA WAJAWAZITO WA MUKURU KWA RUBEN WATATIZIKA WAKATI WA KUJIFUNGUA KWENYE GIZA BAADA YA KENYA POWER KUONDOA UMEME KATIKA MAENEO HAYO
0:00 / 0:00
1x
  • 82 - KINA MAMA WAJAWAZITO WA MUKURU KWA RUBEN WATATIZIKA WAKATI WA KUJIFUNGUA KWENYE GIZA BAADA YA KENYA POWER KUONDOA UMEME KATIKA MAENEO HAYO

    WENGI WA AKINA MAMA WAJAWAZITO MUKURU KWA RUBEN WAPATA TAABU KWENYE LEBA KATIKA GIZA

    Mon, 08 Jan 2024 - 04min
  • 81 - UGAVI WA BASARY KATIKA VITONGJI VYA NAIROBI HAUWAFIKII WALE WANAFUNZI WANAOFAA NA WASIOJIWEZA

    WANAFUNZI WASIOJIWEZA WATAMBULIKE NA WAPATE MSAADA WA KUSIMAMIA MASOMA YAANI BURSERY

    Mon, 08 Jan 2024 - 04min
  • 80 - WANAFUNZI WA VITONGOJI DUNI HAWAFANYI SAWIA NA WALE WA SHULE ZA MAENEO MAZURI HUKU WALIMU WAKIAMUA KUUNGANA PAMOJA

    WALIMU WA SHULE ZA GHETTO NA SHULE ZA MAENEO MAZURI WAUNGANA KUZIBA PENGO ZA UTOFAUTI ULIOKO

    Mon, 08 Jan 2024 - 04min
  • 79 - WAKAAZI WA VIJIJI VYA NAIROBI WAGEUKIA MATIBABU YA KIENYEJI KUTOKANA NA UGUMU WA KULIPIA NHIF.

    Asilimia kubwa ya wakaazi wa vitongoji vya Nairobi hawawezi kujimudu kimatibabu sasa wageukia kienyeji

    Mon, 08 Jan 2024 - 12min
  • 78 - INCLUSION OF PWDS IN BUDGET PROCESSING

    Many PWDs are complaining that they are not included in Budget processing hence urging the government to include them

    Thu, 09 Nov 2023 - 11min
Mostra altri episodi