Nach Genre filtern
Podcast hii inatoa elimu ya mambo yanayohusu maisha ya ughaibuni (nje ya nchi, overseas life), upatikanaji wa udhamini wa elimu ya juu (scholarships), uandishi wa vitabu na kuuza kwenye mitandao kama Amazon, Barnes and Norbles nk. Na pia jinsi ya kupambana na maisha na kufanikiwa Kuachilia kutoa elimu hii, tutakuwa tunafanya mahojiano na watu mbalimbali ambao watakuwa wanatoa uzoefu wao, changamoto na mafanikio waliyofikia. Hii italeta hamasa kwa wengine kufuata njia zao na kufanikiwa. Ernest B. Makulilo Missouri, USA
- 7 - ELIMU YA CHUO KIKUU BURE NCHINI NORWAY
Norway ni moja ya nchi ambazo zina mfumo wa ELIMU BURE, hakuna kulipa ada kwa mwanafunzi yoyote yule anayesoma katika chuo kikuu cha umma (Public University).
Kama unataka kusoma ughaibuni, Norway ni moja ya nchi za kuzingatia, ambapo wewe kama mwanafunzi utajigharamia maisha yako tu (living expenses)
Thu, 01 Jul 2021 - 26min - 6 - EBM SWAHILI (Trailer)Wed, 30 Jun 2021 - 00min
- 5 - JINSI NILIVYOKUJA MAREKANI (Part 5)
Kila mtu ana njia tofauti na safari yake ni tofauti na mwingine. Haya ni mahojiano kuhusu safari ya Ernest Makulilo kuja Marekani na maisha ya Ughaibuni yapoje kwake
Sat, 26 Jun 2021 - 26min - 4 - JINSI NILIVYOKUJA MAREKANI (Part 4)
Kila mtu ana njia tofauti na safari yake ni tofauti na mwingine. Haya ni mahojiano kuhusu safari ya Ernest Makulilo kuja Marekani na maisha ya Ughaibuni yapoje kwake
Fri, 25 Jun 2021 - 39min - 3 - JINSI NILIVYOKUJA MAREKANI (Part 3)
Kila mtu ana njia tofauti na safari yake ni tofauti na mwingine. Haya ni mahojiano kuhusu safari ya Ernest Makulilo kuja Marekani na maisha ya Ughaibuni yapoje kwake
Fri, 25 Jun 2021 - 45min - 2 - JINSI NILIVYOKUJA MAREKANI (Part 2)
Kila mtu ana njia tofauti na safari yake ni tofauti na mwingine. Haya ni mahojiano kuhusu safari ya Ernest Makulilo kuja Marekani na maisha ya Ughaibuni yapoje kwake
Fri, 25 Jun 2021 - 47min - 1 - JINSI NILIVYOKUJA MAREKANI (Part 1)
Kila mtu ana njia tofauti na safari yake ni tofauti na mwingine. Haya ni mahojiano kuhusu safari ya Ernest Makulilo kuja Marekani na maisha ya Ughaibuni yapoje kwake
Fri, 25 Jun 2021 - 42min
Podcasts ähnlich wie EBM SWAHILI
El Partidazo de COPE COPE
Herrera en COPE COPE
La Linterna COPE
Dante Gebel Live Dante Gebel
Es la Mañana de Federico esRadio
La noche de Cuesta esRadio
La Trinchera de Llamas esRadio
Hondelatte Raconte Europe 1
Affaires sensibles France Inter
LEGEND Guillaume Pley
El colegio invisible OndaCero
La Rosa de los Vientos OndaCero
Les grands dossiers de l'Histoire par Franck Ferrand Radio Classique
Espacio en blanco Radio Nacional
Enquêtes criminelles RTL
Entrez dans l'Histoire RTL
Le grand récit RTL
Les Grosses Têtes RTL
L'Heure Du Crime RTL
Parlons-nous RTL
El Larguero SER Podcast
SER Historia SER Podcast
Todo Concostrina SER Podcast
Un Libro Una Hora SER Podcast