Nach Genre filtern
- 244 - MAOMBI YA KUVUNJA MINYORORO YA TABIA MBAYA - Innocent Morris
Je, unajikuta ukirudia tabia ambazo hutaki kuzifanya? Je, umechoka kupambana na dhambi na mazoea yanayokurudisha nyuma kiroho? Katika maombi haya tutaomba pamoja, tukimwomba Mungu atupe nguvu za kuvunja minyororo ya tabia mbaya na kutembea katika uhuru aliotupatia kwa njia ya Yesu Kristo. Mungu akubariki unapoomba maombi haya. Usisahau ku-like na ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho. Ubarikiwe sana. Innocent Morris Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Pa...
Wed, 09 Sep 2026 - 243 - ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 3 - Innocent Morris
Katika sehemu ya tatu ya somo hili utajifunza kuhusu utambulisho wa Roho Mtakatifu na umuhimu wa kumjua kwa usahihi. Kwa maana kumjua Roho Mtakatifu ni hatua ya muhimu sana katika kujenga uhusiano wa karibu na Mungu na kuishi maisha ya ushindi Mungu akubariki unapofuatilia somo hili. Usisahau ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho. Karibu sasa ujifunze somo hili. Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconne...
Fri, 04 Sep 2026 - 242 - ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 2 - Innocent Morris
Katika sehemu ya pili ya somo hili utajifunza kuhusu utambulisho wa Roho Mtakatifu na umuhimu wa kumjua kwa usahihi. Kwa maana kumjua Roho Mtakatifu ni hatua ya muhimu sana katika kujenga uhusiano wa karibu na Mungu na kuishi maisha ya ushindi Mungu akubariki unapofuatilia somo hili. Usisahau ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho. Karibu sasa ujifunze somo hili. Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Fac...
Wed, 02 Sep 2026 - 241 - ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 1 - Innocent Morris
Katika sehemu ya kwanza ya somo hili utajifunza kuhusu utambulisho wa Roho Mtakatifu na umuhimu wa kumjua kwa usahihi. Kwa maana kumjua Roho Mtakatifu ni hatua ya muhimu sana katika kujenga uhusiano wa karibu na Mungu na kuishi maisha ya ushindi. Mungu akubariki unapofuatilia somo hili. Usisahau ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho. Karibu sasa ujifunze somo hili. Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect&n...
Mon, 31 Aug 2026 - 240 - JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 4 - Innocent Morris
Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho? Katika sehemu hii ya Tatu (Part 3) ya somo hili utajifunza kwa kina siri za kurejesha na kuchochea moto wa maombi ndani yako. Maombi sio tu maneno tunayosema, ni uhai wa mwamini. Usikubali madhabahu yako ipoe! Na utajifunza zaidi nini kinasababisha moto wa maombi kuzimika. Pia utajifunza hatua za kwanza za kuuwasha tena...
Thu, 27 Aug 2026 - 239 - JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 3 - Innocent Morris
Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho? Katika sehemu hii ya Tatu (Part 3) ya somo hili utajifunza kwa kina siri za kurejesha na kuchochea moto wa maombi ndani yako. Maombi sio tu maneno tunayosema, ni uhai wa mwamini. Usikubali madhabahu yako ipoe! Na utajifunza zaidi nini kinasababisha moto wa maombi kuzimika. Pia utajifunza hatua za kwanza za kuuwasha tena...
Mon, 24 Aug 2026 - 238 - JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 2 - Innocent Morris
Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho? Katika sehemu hii ya Pili (Part 2) ya somo hili utajifunza kwa kina siri za kurejesha na kuchochea moto wa maombi ndani yako. Maombi sio tu maneno tunayosema, ni uhai wa mwamini. Usikubali madhabahu yako ipoe! Na utajifunza zaidi nini kinasababisha moto wa maombi kuzimika. Pia utajifunza hatua za kwanza za kuuwasha tena...
Thu, 20 Aug 2026 - 237 - JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 1 - Innocent Morris
Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho? Katika sehemu hii ya kwanza (Part 1) ya somo hili utajifunza kwa kina siri za kurejesha na kuchochea moto wa maombi ndani yako. Maombi sio tu maneno tunayosema, ni uhai wa mwamini. Usikubali madhabahu yako ipoe! Na utajifunza zaidi nini kinasababisha moto wa maombi kuzimika. Pia utajifunza hatua za kwanza za kuuwasha tena mot...
Mon, 17 Aug 2026 - 236 - MAMBO 6 YANAYOWEZA KUHARIBU URAFIKI WAKO NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris
Katika somo hili utajifunza mambo 6 yanayoweza kuharibu urafiki wako na Roho Mtakatifu, na jinsi ya kuyaepuka ili uendelee kuwa na maisha ya kiroho yenye nguvu na ushirika wa karibu na Mungu. Maandiko yanatuonya: "Wala msimhuzunishe Roho Mtakatifu wa Mungu." Waefeso 4:30 Somo hili litakusaidia: Kuelewa mambo yanayomfanya Roho Mtakatifu ahuzunike. Kujifunza jinsi ya kulinda ushirika wako na Mungu. Kukua katika maisha ya utakatifu na utii. Ubarikiwe sana. Contact: +255652796450 (WhatsAp...
Mon, 20 Apr 2026 - 235 - JINSI YA KUJENGA URAFIKI WA KARIBU SANA NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris
Ikiwa una kiu na unatamani sana kuwa na urafiki wa karibu sana na Roho Mtakatifu; na hujui nini cha kufanya ili uwe na urafiki naye wa karibu. Karibu ujifunze katika somo hili. Hakika somo hili litakusaidia sana kujua jinsi ya kujenga urafiki wa karibu sana na Roho Mtakatifu. Chukua pen na notebook ujifunze sasa. Ubarikiwe sana Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect
Mon, 13 Apr 2026 - 234 - JINSI YA KUISHI NA ROHO MTAKATIFU KAMA RAFIKI WA KARIBU - Innocent Morris
Mungu akubariki sana. Ubarikiwe sana. Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Mon, 13 Apr 2026 - 233 - MAOMBI YA UPONYAJI - Innocent Morris
Haya ni maombi ya uponyaji kwa wagonjwa. Omba kwa imani utapokea uponyaji wako. "Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi, tuwe hai kwa mambo ya haki; na kwa kupigwa kwake mliponywa." 1 Petro 2:24 Ubarikiwe sana. Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect
Wed, 25 Mar 2026 - 232 - MAOMBI YA ASUBUHI - Innocent Morris
Haya ni maombi ya kuomba kila siku asubuhi. Asubuhi yako anza na Bwana. Mtangulize Bwana katika siku yako, katika kazi yako, katika biashara yako, katika interview, katika safari, katika kila eneo la maisha yako. Hakika utamuona Bwana Yesu akitenda katika siku yako. Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Thu, 29 Jan 2026 - 231 - JINSI YA KUFUNGA MFUNGO SAHIHI KIBIBLIA - Innocent Morris
Katika somo hili utajifunza JINSI YA KUFUNGA MFUNGO SAHIHI KIBIBLIA, utajifunza hatua kwa hatua namna ambavyo Biblia imeelekeza mfungo sahihi na wenye kuleta matokeo. Hakika ni somo zuri sana litakalo kusaidia katika maisha yako ya maombi. Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Tue, 13 Jan 2026 - 230 - MAOMBI YA KUOMBEA MWAKA 2026 - Innocent Morris
Karibu kwenye maombi maalum ya kuombea mwaka 2026! Katika naombi haya, tunamwomba Mungu kwa ajili ya ulinzi, baraka, mafanikio, na mwongozo wake kwa kila siku ya mwaka huu mpya. Tukiwa na imani, tunatangaza ushindi juu ya kila changamoto na kushukuru kwa kila fursa mpya. Jiunge nasi katika maombi haya yenye nguvu na amani, huku tukimkabidhi Bwana mipango yetu, familia zetu, na taifa letu. Mwaka 2026 ni mwaka wa kuuona wema wa Bwana. Usisahau: ✔️ Kutufollow ili upokee maombi mengine ya kila ...
Sat, 03 Jan 2026 - 229 - UNABII WA MWAKA MPYA 2026 | Innocent Morris
Katika podikasti hii utapata kujua Mungu anasema nini juu ya mwaka huu mpya wa 2026. Utapata neno la kutembea nalo mwaka huu wote. Na pia utapata ahadi za Bwana juu yako maisha yako katika mwaka huu mpya wa 2026. Pia utajifunza namna ya kuishi maisha ya kumiliki katika mwaka mpya wa 2026. Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect
Sat, 03 Jan 2026 - 228 - MAOMBI YA KUNG'OA MAPANDO YA ADUI -Innocent Morris
Omba Mungu aondoe kitu chochote kilicho kaa ndani yako ambacho kinakuzuia usisonge mbele katika eneo lolote la maisha yako. MSTARI: "Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang'olewa." Mathayo 15:13 Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp)
Mon, 24 Nov 2025 - 227 - JINSI YA KUSHINDA UVIVU WA KUOMBA - Innocent Morris
Uvivu wa kuomba ni adui mkubwa wa ukuaji wa kiroho. Wengi tunajua tunapaswa kuomba, lakini mara nyingi tunajikuta tumechoka, tunasahau, au hatuna hamu kabisa ya kuomba. Katika somo hili, utajifunza kibiblia namna ya kushinda uvivu huu wa kuomba. Hakika hili ni somo la baraka sana ambalo litakusaidia kukua kiroho na litakusaidia kujua namna ya kushinda vizuizi vingi ambavyo vinainuka kukuzuia kuomba. Sikiliza sasa somo hili. Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikasti hii ili kusamba...
Fri, 14 Nov 2025 - 226 - JIFUNZE KUAMKA USIKU KUOMBA - Innocent Morris
Kuna nguvu ya kipekee inayofichwa kwenye maombi ya usiku! Na maombi ya usiku ni maombi yenye matokeo makubwa katika maisha ya mtu. Katika somo hili utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kujizoeza kuamka bila kuchoka na kufurahia maombi ya usiku. Sikiliza sasa somo hili. Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Tiktok: hscworship
Fri, 14 Nov 2025 - 225 - JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA NADHIRI - Innocent Morris
Karibu ujifunze jinsi ya kuomba maombi ya nadhiri. Katika somo hili utajifunza namna sahihi ya kibiblia ya kuomba maombi haya, utajifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kufanya maombi haya, na pia utajifunza ni wapi ulipokuwa unakosea na utajua namna ya kurekebisha makosa hayo. Hakika hili ni somo la baraka sana ambalo litakusaidia kukua kiroho. Sikiliza sasa somo hili. Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikasti hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi! Ubarikiwe sa...
Tue, 14 Oct 2025 - 224 - SIRI TANO ZA KUOMBA MAOMBI YENYE NGUVU - Innocent Morris
Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya maombi hujibiwa na mengine hayajibiwi? Je, unatamani kuwa na maisha ya maombi yenye nguvu na yenye matokeo? Ikiwa umechoka kuomba maombi yasiyo na majibu na uko tayari kuona mabadiliko, basi video hii ni kwa ajili yako. Karibu ujifunze katika somo hili siri tano za kuomba maombi yenye nguvu. Sikiliza sasa somo hili. Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikasti hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi! Ubarikiwe sana. Innocent Mor...
Tue, 14 Oct 2025 - 223 - MAOMBI YA UJAZO WA ROHO MTAKATIFU
Je, unatamani kujazwa na nguvu ya Roho Mtakatifu ili maisha yako ya kiroho yabadilishwe kabisa? Je, umekuwa na kiu ya kupokea kipawa cha Roho Mtakatifu na kutamani kunena kwa lugha mpya? Omba sasa maombi haya kwa imani na Mungu wa mbinguni atakuapatia haja ya moyo wako. "Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu." Matendo ya Mitume 1:8 Usiache kushiriki podikasti hii na wapendwa wako ili nao wapokee neema ya Mungu. Mungu akubariki sana 🙏. Innocent Morris +255...
Tue, 14 Oct 2025 - 222 - MAOMBI YA KUOMBA ROHO YA UNYENYEKEVU - Innocent Morris
MAOMBI YA KUOMBA ROHO YA UNYENYEKEVU - Innocent Morris Katika maombi haya tutamwomba Mungu atujalie roho ya unyenyekevu. Kupitia maombi haya, tunaweka mioyo yetu mbele za Bwana tukijifunza kutembea kwa unyenyekevu, kutii Neno lake na kuepuka kiburi kinachotuzuia kuona utukufu wake. Utaongozwa kuomba ili: Mungu akuvike moyo wa unyenyekevu. Uishi maisha yanayompendeza Kristo. Ushinde roho ya majivuno na kujitegemea. Upokee neema na kibali cha Mungu kwa wingi. Tenga muda wako, na uombe m...
Tue, 16 Sep 2025 - 221 - MAOMBI YA KUOMBA MUNGU AWE PAMOJA NAWE - Innocent Morris
MAOMBI YA KUOMBA MUNGU AWE PAMOJA NAWE - Innocent Morris Karibu katika maombi haya ili kuomba Mungu awe pamoja nawe katika kila eneo la maisha yako. Tunamhitaji sana Mungu katika maisha yetu kuliko kitu kingine chochote. Kwa hiyo chukua dakika kadhaa kuomba Mungu awe pamoja nawe katika kila eneo la maisha yako. "Bwana akawa pamoja na Yusufu, naye akasitawi; naye alikuwa katika nyumba ya bwana wake, yule Mmisri." Mwanzo 39:2 Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikasti hii ili kusamba...
Tue, 16 Sep 2025 - 220 - MAOMBI YA UKOMBOZI KWA DAMU YA YESU | Deliverance Prayers - Innocent Morris
MAOMBI YA UKOMBOZI KWA DAMU YA YESU | Deliverance Prayers - Innocent Morris Karibu kwenye maombi haya ya ukombozi kwa Damu ya Yesu Kristo. Damu ya Yesu ina nguvu ya kuleta uponyaji, uhuru, msamaha na ushindi dhidi ya nguvu zote za giza. Ungana nasi katika maombi haya na amini kwa moyo wako wote, kwa kuwa maandiko yanasema: "Nao wakamshinda kwa damu ya Mwanakondoo, na kwa neno la ushuhuda wao..." (Ufunuo 12:11). 👉 Tumaini lako, uponyaji wako na ukombozi wako viko katika Yesu Kristo...
Tue, 16 Sep 2025 - 219 - Innocent Morris - Umuhimu wa Kuanza Siku na Bwana.
Katika episode hii, Mtumishi Innocent Morris anafundisha juu ya umuhimu wa kuanza siku yako pamoja na Bwana. Ujumbe huu unaleta mwanga juu ya nafasi ya Mungu katika kila mwanzo wa siku zetu na jinsi ushirika wa kila asubuhi na Roho Mtakatifu unavyoweza kubadilisha maisha yako kabisa. Ni wakati wa kujifunza, kuhamasika, na kuchochewa kiroho ili uanze kila siku ukiwa na nguvu mpya kutoka kwa Bwana. Ubarikiwe sana. 📞 Innocent Morris WhatsApp: +255652796450 🔗 Mitandao ya...
Tue, 27 May 2025 - 218 - Faida Za Kukaa Kwenye Uwepo wa Mungu
Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect YouTube Link: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Sun, 03 Nov 2024 - 217 - Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Sita)
Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect YouTube Link: https://www.youtube.com/@holyspiritconnect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Tue, 20 Aug 2024 - 216 - Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Tano)
Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect YouTube Link: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Tue, 13 Aug 2024 - 215 - Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Nne)
Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect YouTube Link: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Mon, 12 Aug 2024 - 214 - Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Tatu)
Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect YouTube Link: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Sun, 11 Aug 2024 - 213 - Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Pili)
Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect YouTube Link: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Sat, 10 Aug 2024 - 212 - Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Kwanza)
Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect YouTube Link: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Tue, 06 Aug 2024 - 211 - Kujenga Mahusiano na Roho Mtakatifu (Sehemu ya Tatu)Sun, 28 Jul 2024
- 210 - Kujenga Mahusiano na Roho Mtakatifu (Sehemu ya Pili)Sun, 28 Jul 2024
- 209 - Kujenga Mahusiano na Roho Mtakatifu (Sehemu ya Kwanza)Sun, 28 Jul 2024
- 208 - Fanya Haya Pindi Unasubiri Muujiza WakoTue, 23 Jul 2024
- 207 - Nguvu ya Maombi ya ShukraniSat, 01 Jun 2024
- 206 - Vitu Vinavyo Nyonya Nguvu ya Mungu Kwenye Maisha Yako (SEHEMU YA TATU)
Can faith heal the body and spirit? Tune in to hear miraculous stories of divine intervention against serious illnesses like malaria, heart disease, cancer, and HIV. By exploring the powerful symbolism of the blood of Jesus and the importance of proper nutrition, we reveal how spirituality and health are deeply intertwined. Alongside these health narratives, we delve into the ancient stories of the Nephilim, weaving a rich tapestry of belief and divine influence that spans generations. Person...
Sat, 01 Jun 2024 - 205 - Vitu Vinavyo Nyonya Nguvu ya Mungu Kwenye Maisha Yako (SEHEMU YA PILI)Sat, 01 Jun 2024
- 204 - Vitu Vinavyo Nyonya Nguvu ya Mungu Kwenye Maisha Yako (SEHEMU YA KWANZA)Sat, 01 Jun 2024
- 203 - Namna Ya Kumtafuta Mungu Kwa Bidii (SEHEMU YA PILI)Thu, 30 May 2024
- 202 - Namna Ya Kumtafuta Mungu Kwa Bidii (SEHEMU YA KWANZA)Thu, 30 May 2024
- 201 - Sababu Ya Yesu Kuja Duniani (SEHEMU YA NNE)Fri, 03 May 2024
- 200 - Sababu Ya Yesu Kuja Duniani (SEHEMU YA TATU)Fri, 03 May 2024
- 199 - Sababu Ya Yesu Kuja Duniani (SEHEMU YA PILI)Fri, 03 May 2024
- 198 - Sababu Ya Yesu Kuja Duniani (SEHEMU YA KWANZA)Fri, 03 May 2024
- 197 - Neno La Mungu Kwako Juu Ya Mwaka 2024-Part ThreeFri, 22 Mar 2024
- 196 - Neno La Mungu Kwako Juu Ya Mwaka 2024-Part TwoFri, 22 Mar 2024
- 195 - Neno La Mungu Kwako Juu Ya Mwaka 2024-Part OneFri, 22 Mar 2024
- 194 - UMUHIMU WA MAOMBI YA MACHOZI - Innocent Morris
UMUHIMU WA MAOMBI YA MACHOZI - Innocent Morris Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: / holyspiritconnect Facebook Link: / holyspiritconnect YouTube Link: / holyspiritconnect
Sun, 10 Mar 2024 - 193 - JIFUNZE KUMSHUKURU MUNGU - Innocent Morris
Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect/ Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect/ YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Fri, 08 Mar 2024 - 192 - MAOMBI YA ULINZI NA BARAKA KWA MWAKA 2024 - Innocent Morris
MAOMBI YA ULINZI NA BARAKA KWA MWAKA 2024 - Innocent Morris Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect/ Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect/ YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Wed, 31 Jan 2024 - 191 - MAOMBI YA USIKU WA MANANE - Innocent Morris
MAOMBI YA USIKU WA MANANE - Innocent Morris Haya ni maombi ya kuomba usiku wa manane. Lakini pia unaweza kuyaomba wakati wowote ule. Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect/ Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect/ YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Wed, 31 Jan 2024 - 190 - FANYA HIVI UNAPOKUWA KWENYE MAGUMU - Innocent Morris
FANYA HIVI UNAPOKUWA KWENYE MAGUMU - Innocent Morris Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Tue, 10 Oct 2023 - 189 - MAOMBI YA KUFUNGUA MALANGO - Innocent Morris
MAOMBI YA KUFUNGUA MALANGO - Innocent Morris Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Thu, 21 Sep 2023 - 188 - NINI KINAKUSUKUMA KUOMBA Part 3 - Innocent Morris
NINI KINAKUSUKUMA KUOMBA Part 3 - Innocent Morris Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Thu, 14 Sep 2023 - 187 - NINI KINAKUSUKUMA KUOMBA Part 1 - Innocent Morris
NINI KINAKUSUKUMA KUOMBA Part 1 - Innocent Morris Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Tue, 12 Sep 2023 - 186 - NINI KINAKUSUKUMA KUOMBA Part 2 - Innocent Morris
NINI KINAKUSUKUMA KUOMBA Part 2 - Innocent Morris Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Tue, 12 Sep 2023 - 185 - MAOMBI YA KUOMBEA WIKI MPYA - Innocent Morris
MAOMBI YA KUOMBEA WIKI MPYA - Innocent Morris Haya ni maombi ya kuombea wiki yako mpya. Ni maombi ya kuikabidhi wiki yote mpya kuanzia jumatatu mpaka jumapili. Hakika ni maombi ya baraka sana. Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Thu, 24 Aug 2023 - 184 - MAOMBI: OMBA UREJESHO WA NGUVU YA KUOMBA- Innocent Morris
MAOMBI: OMBA UREJESHO WA NGUVU YA KUOMBA- Innocent Morris Uliyepoteza kiu ya kuomba, uliyepoteza nguvu ya kuomba na unayehitaji maisha yako ya maombi yaende viwango vya juu zaidi haya ni maombi ya kuomba. Hata kama unahitaji uponyaji haya ni maombi mazuri kwako. Karibu sana tuombe pamoja. Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp)
Thu, 24 Aug 2023 - 183 - KUPATA ULICHOKIOMBA KWA MUNGU by Innocent Morris
KUPATA ULICHOKIOMBA KWA MUNGU by Innocent Morris Katika somo hili utajifunza namna ya kupata ulichokiomba kwa MUNGU kwa njia ya maombi. Utajifunza siri nyingi kuhusu maombi. Utajifunza kuhusu kuomba kwa bidii n.k Karibu sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect ...
Thu, 24 Aug 2023 - 182 - JINSI YA KUSHINDA VITA VYA KIROHO - Innocent Morris
JINSI YA KUSHINDA VITA VYA KIROHO - Innocent Morris Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Thu, 24 Aug 2023 - 181 - JINSI YA KUPANGA RATIBA YA KUOMBA- Innocent Morris
JINSI YA KUPANGA RATIBA YA KUOMBA- Innocent Morris Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Thu, 24 Aug 2023 - 180 - IJUE LUGHA AMBAYO MUNGU ANAONGEA - Innocent Morris
IJUE LUGHA AMBAYO MUNGU ANAONGEA - Innocent Morris Katika somo hili utajifunza kuhusu lugha ya Mungu, na ukiijua lugha ambayo Mungu anaongea utakuwa na amani wakati wote. Kujua lugha ya Mungu itakusaidia hata katika kupambanua sauti ya Mungu na sauti ya adui. Katika somo utajifunza pia namna ya kuisikiliza sauti yake. Hili ni somo zuri na la baraka sana katika maisha ya mkristo. Sikiliza somo hili mpaka mwisho. Usisahau kushare na wengine. Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 ...
Thu, 24 Aug 2023 - 179 - JINSI YA KUOMBA part 2 by Innocent Morris
JINSI YA KUOMBA part 2 by Innocent Morris Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Thu, 24 Aug 2023 - 178 - JINSI YA KUOMBA part 1 by Innocent Morris
JINSI YA KUOMBA part 1 by Innocent Morris Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconect
Wed, 23 Aug 2023 - 177 - MAOMBI YA MPENYO WA KIFEDHA by Innocent Morris
MAOMBI YA MPENYO WA KIFEDHA by Innocent Morris Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Tue, 22 Aug 2023 - 176 - MAOMBI YA WATOTO by Innocent Morris
MAOMBI YA WATOTO by Innocent Morris Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Mon, 29 May 2023 - 175 - JINSI YA KUSHINDA MAJARIBU by Innocent Morris
JINSI YA KUSHINDA MAJARIBU by Innocent Morris Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Mon, 29 May 2023 - 174 - JINSI YA KUMPINGA SHETANI NA HILA ZAKE Part 3 by Innocent Morris
JINSI YA KUMPINGA SHETANI NA HILA ZAKE Part 3 by Innocent Morris Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Mon, 29 May 2023 - 173 - JINSI YA KUMPINGA SHETANI NA HILA ZAKE Part 2 by Innocent Morris
JINSI YA KUMPINGA SHETANI NA HILA ZAKE Part 2 by Innocent Morris Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Mon, 29 May 2023 - 172 - JINSI YA KUMPINGA SHETANI NA HILA ZAKE Part 1 by Innocent Morris
JINSI YA KUMPINGA SHETANI NA HILA ZAKE Part 1 by Innocent Morris Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Mon, 29 May 2023 - 171 - JINSI MUNGU ANAVYOKUPOKEA UKIENDA KUTUBU by Innocent Morris
JINSI MUNGU ANAVYOKUPOKEA UKIENDA KUTUBU by Innocent Morris Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Mon, 29 May 2023 - 170 - NGUVU YA KINYWA CHAKO by Innocent Morris
NGUVU YA KINYWA CHAKO by Innocent Morris Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Mon, 29 May 2023 - 169 - TENDA MAKUU KWA NENO by Innocent Morris
TENDA MAKUU KWA NENO by Innocent Morris Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Mon, 29 May 2023 - 168 - TAMKA MANENO HAYA YA USHINDI KATIKA MAISHA YAKO by Innocent Morris
TAMKA MANENO HAYA YA USHINDI KATIKA MAISHA YAKO by Innocent Morris Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Mon, 29 May 2023 - 167 - UAMBIE MLIMA HUO by Innocent Morris
UAMBIE MLIMA HUO by Innocent Morris Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Mon, 29 May 2023 - 166 - LAANA HAITAKUPATA WEWE by Innocent Morris
LAANA HAITAKUPATA WEWE by Innocent Morris Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Mon, 29 May 2023 - 165 - JIFUNZE KWA SAMSONI KUTUNZA SIRI ZAKO by Innocent Morris
JIFUNZE KWA SAMSONI KUTUNZA SIRI ZAKO by Innocent Morris Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Mon, 29 May 2023 - 164 - OMBEA KINYWA CHAKO by Innocent Morris
OMBEA KINYWA CHAKO by Innocent Morris Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Mon, 29 May 2023 - 163 - USIPENDE KUELEZA MIPANGO YAKO by Innocent Morris
USIPENDE KUELEZA MIPANGO YAKO by Innocent Morris Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Mon, 29 May 2023 - 162 - MAOMBI YA KIBALI by Innocent Morris
Maombi ya Kibali by Innocent Morris Haya ni maombi ya kuomba kibali katika kila eneo la maisha yako. Omba kwa imani na hakika utamuona Mungu katika kila eneo la maisha yako. Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspirit...
Fri, 03 Mar 2023 - 161 - UMUHIMU WA KUOMBEA FAMILIA by Innocent Morris
UMUHIMU WA KUOMBEA FAMILIA by Innocent Morris Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Wed, 11 Jan 2023 - 160 - Kwa nini mipango yako haifanikiwi? by Innocent Morris
Kwa nini mipango yako haifanikiwi? by Innocent Morris Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Wed, 11 Jan 2023 - 159 - MAMBO SITA AMBAYO NEEMA INATUFUNDISHA by Innocent Morris
MAMBO SITA AMBAYO NEEMA INATUFUNDISHA by Innocent Morris Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Wed, 11 Jan 2023 - 158 - ZIJUE SIRI ZA KUOMBA MUDA MREFU by Innocent Morris
ZIJUE SIRI ZA KUOMBA MUDA MREFU by Innocent Morris Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Wed, 11 Jan 2023 - 157 - MAOMBI YA KUKEMEA ROHO YA HOFU by Innocent Morris
MAOMBI YA KUKEMEA ROHO YA HOFU by Innocent Morris Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Tue, 22 Nov 2022 - 156 - MAOMBI YA KUOMBA KILA ASUBUHI UNAPOFIKA OFISINI by Innocent Morris
MAOMBI YA KUOMBA KILA ASUBUHI UNAPOFIKA OFISINI by Innocent Morris Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Thu, 06 Oct 2022 - 155 - MAOMBI YA KUOMBA KILA ASUBUHI KABLA YA KUFUNGUA BIASHARA by Innocent Morris
MAOMBI YA KUOMBA KILA ASUBUHI KABLA YA KUFUNGUA BIASHARA by Innocent Morris Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Thu, 06 Oct 2022 - 154 - Madhara ya Kiburi katika Maisha Sehemu ya Nne by Innocent Morris
Madhara ya Kiburi katika Maisha Sehemu ya Nne by Innocent Morris Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Mon, 18 Jul 2022 - 153 - Madhara ya Kiburi katika Maisha Sehemu ya Tatu by Innocent Morris
Madhara ya Kiburi katika Maisha Sehemu ya Tatu by Innocent Morris Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Mon, 18 Jul 2022 - 152 - Madhara ya Kiburi katika Maisha Sehemu ya Pili by Innocent Morris
Madhara ya Kiburi katika Maisha Sehemu ya Pili by Innocent Morris Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Mon, 18 Jul 2022 - 151 - Madhara ya Kiburi katika Maisha Sehemu ya Kwanza by Innocent Morris
Madhara ya Kiburi katika Maisha Sehemu ya Kwanza by Innocent Morris Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Mon, 18 Jul 2022 - 150 - NAMNA YA KUMUONA BWANA KATIKA MAISHA YAKO Sehemu ya Kwanza by Innocent Morris
NAMNA YA KUMUONA BWANA KATIKA MAISHA YAKO by Innocent Morris Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect/ Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect/ YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Mon, 11 Jul 2022 - 149 - MAOMBI: OMBA MUNGU AKUPE UWEZO WA KUTUNZA SIRI ZA MAISHA YAKO by Innocent Morris
MAOMBI: OMBA MUNGU AKUPE UWEZO WA KUTUNZA SIRI ZA MAISHA YAKO by Innocent Morris Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Sun, 10 Jul 2022 - 148 - KIRI MISTARI HII KILA USIKU KABLA YA KULALA by Innocent Morris
KIRI MISTARI HII KILA USIKU KABLA YA KULALA by Innocent Morris Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Sat, 09 Jul 2022 - 147 - FAIDA ZA MUNGU KUTANGULIA MBELE YAKO by Innocent Morris
FAIDA ZA MUNGU KUTANGULIA MBELE YAKO by Innocent Morris Katika somo utajifunza faida za Mungu kutangulia mbele yako katika kila eneo la maisha yako. Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Fri, 08 Jul 2022 - 146 - JINSI YA KUWA IMARA KATIKA KRISTO YESU Sehemu ya Tatu by Innocent Morris
JINSI YA KUWA IMARA KATIKA KRISTO YESU Sehemu ya Tatu by Innocent Morris Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Mon, 04 Jul 2022 - 145 - MAOMBI YA KUFUTA MANENO MABAYA ULIYOTAMKIWA AU ULIYOJITAMKIA by Innocent Morris
MAOMBI YA KUFUTA MANENO MABAYA ULIYOTAMKIWA AU ULIYOJITAMKIA by Innocent Morris Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Fri, 24 Jun 2022
Podcasts ähnlich wie Innocent Morris
El Partidazo de COPE COPE
Herrera en COPE COPE
La Linterna COPE
Es la Mañana de Federico esRadio
La noche de Cuesta esRadio
La Trinchera de Llamas esRadio
Hondelatte Raconte Europe 1
Affaires sensibles France Inter
LEGEND Guillaume Pley
CHRONIQUES CRIMINELLES Jacques Pradel - TF1
El colegio invisible OndaCero
La Rosa de los Vientos OndaCero
Les grands dossiers de l'Histoire par Franck Ferrand Radio Classique
Espacio en blanco Radio Nacional
Entrez dans l'Histoire RTL
Le grand récit RTL
Les Grosses Têtes RTL
L'Heure Du Crime RTL
El Larguero SER Podcast
Nadie Sabe Nada SER Podcast
SER Historia SER Podcast
Todo Concostrina SER Podcast
Un Libro Una Hora SER Podcast
HISTORIAS DE LA HISTORIA VIVA RADIO
