Filtra per genere

Innocent Morris

Innocent Morris

Innocent Morris

Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi

244 - MAOMBI YA KUVUNJA MINYORORO YA TABIA MBAYA - Innocent Morris
0:00 / 0:00
1x
  • 244 - MAOMBI YA KUVUNJA MINYORORO YA TABIA MBAYA - Innocent Morris

    Je, unajikuta ukirudia tabia ambazo hutaki kuzifanya? Je, umechoka kupambana na dhambi na mazoea yanayokurudisha nyuma kiroho? Katika maombi haya tutaomba pamoja, tukimwomba Mungu atupe nguvu za kuvunja minyororo ya tabia mbaya na kutembea katika uhuru aliotupatia kwa njia ya Yesu Kristo. Mungu akubariki unapoomba maombi haya. Usisahau ku-like na ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho. Ubarikiwe sana. Innocent Morris Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Pa...

    Wed, 09 Sep 2026
  • 243 - ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 3 - Innocent Morris

    Katika sehemu ya tatu ya somo hili utajifunza kuhusu utambulisho wa Roho Mtakatifu na umuhimu wa kumjua kwa usahihi. Kwa maana kumjua Roho Mtakatifu ni hatua ya muhimu sana katika kujenga uhusiano wa karibu na Mungu na kuishi maisha ya ushindi Mungu akubariki unapofuatilia somo hili. Usisahau ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho. Karibu sasa ujifunze somo hili. Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconne...

    Fri, 04 Sep 2026
  • 242 - ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 2 - Innocent Morris

    Katika sehemu ya pili ya somo hili utajifunza kuhusu utambulisho wa Roho Mtakatifu na umuhimu wa kumjua kwa usahihi. Kwa maana kumjua Roho Mtakatifu ni hatua ya muhimu sana katika kujenga uhusiano wa karibu na Mungu na kuishi maisha ya ushindi Mungu akubariki unapofuatilia somo hili. Usisahau ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho. Karibu sasa ujifunze somo hili. Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Fac...

    Wed, 02 Sep 2026
  • 241 - ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 1 - Innocent Morris

    Katika sehemu ya kwanza ya somo hili utajifunza kuhusu utambulisho wa Roho Mtakatifu na umuhimu wa kumjua kwa usahihi. Kwa maana kumjua Roho Mtakatifu ni hatua ya muhimu sana katika kujenga uhusiano wa karibu na Mungu na kuishi maisha ya ushindi. Mungu akubariki unapofuatilia somo hili. Usisahau ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho. Karibu sasa ujifunze somo hili. Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect&n...

    Mon, 31 Aug 2026
  • 240 - JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 4 - Innocent Morris

    Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho? Katika sehemu hii ya Tatu (Part 3) ya somo hili utajifunza kwa kina siri za kurejesha na kuchochea moto wa maombi ndani yako. Maombi sio tu maneno tunayosema, ni uhai wa mwamini. Usikubali madhabahu yako ipoe! Na utajifunza zaidi nini kinasababisha moto wa maombi kuzimika. Pia utajifunza hatua za kwanza za kuuwasha tena...

    Thu, 27 Aug 2026
Mostra altri episodi