Nach Genre filtern
- 8 - Different kind of relationship/ aina mbalimbali za mahusiano
Choose your relationship wisely, how you want your relationship to be or perceived with others, know exactly what you want. Jua unataka nini katika mahusiano yako
Sun, 13 Aug 2023 - 17min - 7 - Why do people break up?/kwanini watu wanaachana??Sun, 06 Aug 2023 - 10min
- 6 - Dalili za kufahamu mpenzi wako anakusaliti
Katika mapenzi usaliti upo na nijambo ambalo linaumiza sana sasa basi kama unamfaham mpenzi wako vyema basi utaweza kufaham kama amebadilika, sikiliza episode hii mpaka mwisho upate kujua dalili za mpenzi ambae anakusaliti
Sun, 26 Mar 2023 - 05min - 5 - Uaminifu katika mahusiano ni jambo muhimu sana
Katika mahusiano ni vyema kuaminiana na mahusiano ni ya watu wawili akija watatu jua huyo ni kidudu mtu na ataja waharibia mahusiano yenu bure tu
Mon, 20 Mar 2023 - 10min - 4 - Wanawake tuache tabia za kutegemea wanaume kwa kila jambo
Wanawake wengi tuko na tabia ya kutegemea wanaume kwa kila jambo lakini pia tunapaswa kujielewa na kujifaham vizur na tuchague ni maisha ya aina gani unataka kuyaishi na tujishughulishe ili kupata vile tunavyovihitaji, the best person to depend on is yourself and you will never be disappointed ever.
Sat, 14 Jan 2023 - 12min - 3 - Kusoma alama/signs katika mahusiano.
Siku zote watu huwa tupo kwenye mahusiano lakin mahusino hayo huenda yalishaosha kitambo ila tu bado hatuelewi kuwa yameshaisha au bado mtu unalazimisha kuwa kwenye mahusiano ambayo yameshafikia ukingon so e end up with a broken heart every now and then and there's no one to console you because you're the one who chose to suffocate yourself instead of moving on.
Sat, 20 Feb 2021 - 19min - 2 - Aina za wanawake ambao wapo katika ndoa na wanaume pia ambao wapo katika ndoa
Kuna wanaume ambao wanasaliti wake zao na hawajui kwanini wanasaliti wake zao, wanawake wanao jiamini kupitiliza mpaka wanafanya waume zao wawasaliti na mengineyo mengi. Wanaume na wanawake ambao hawajiamini, na ambao hawaeleweki kama wanajiamini au la.
Sun, 28 Jun 2020 - 10min - 1 - Wanaume wasitese familia zao kwasababu ya starehe zao za aina yoyote ile.
Maisha ya nyumbani ambayo wanaume wanafanya starehe lakini mwisho wa siku wanatesa familia zao, wanaume mkimaliza kufanya starehe zenu mkirudi nyumbani usitese familia yako fikiria familia yako sana, amani upendo wako kwa familia yako udumishe kiasi kwamba watoto wako wasiwe wanatamani maisha ya watoto wengine. Wanawake tupambania furaha ya watoto wenuna cha zaidi sana usiwe unajisahau wewe mwenyewe kwaiyo pambania furaha yako mwenyewe kulikoni kupambania ndoa ambayo haina furaha kabisa, you deserve more than that.
Fri, 26 Jun 2020 - 14min
Podcasts ähnlich wie Maisha Talk
El Partidazo de COPE COPE
Herrera en COPE COPE
La Linterna COPE
Es la Mañana de Federico esRadio
La noche de Cuesta esRadio
Hondelatte Raconte Europe 1
Au Coeur du Crime Europe1
Affaires sensibles France Inter
LEGEND Guillaume Pley
El colegio invisible OndaCero
La Rosa de los Vientos OndaCero
Les grands dossiers de l'Histoire par Franck Ferrand Radio Classique
Espacio en blanco Radio Nacional
Enquêtes criminelles RTL
Entrez dans l'Histoire RTL
Le grand récit RTL
Les Grosses Têtes RTL
Les histoires incroyables de Pierre Bellemare RTL
L'Heure Du Crime RTL
El Larguero SER Podcast
SER Historia SER Podcast
Todo Concostrina SER Podcast
Un Libro Una Hora SER Podcast
HISTORIAS DE LA HISTORIA VIVA RADIO
