Filtrar por gênero

Maisha Talk

Maisha Talk

Dede Issangya

Inahusu maongezi kuhusu maisha kama maisha, kwenye maisha kuna vitu vingi kama mapenzi, uonevu kwa wanawake, watoto na wanaume pia, biashara, siasa, etc.....

8 - Different kind of relationship/ aina mbalimbali za mahusiano
0:00 / 0:00
1x
  • 8 - Different kind of relationship/ aina mbalimbali za mahusiano

    Choose your relationship wisely, how you want your relationship to be or perceived with others, know exactly what you want. Jua unataka nini katika mahusiano yako

    Sun, 13 Aug 2023 - 17min
  • 7 - Why do people break up?/kwanini watu wanaachana??

    Kuna sababu mbali mbali za mahusiano kama vile dharau, uaminifu nakadhalika

    Sun, 06 Aug 2023 - 10min
  • 6 - Dalili za kufahamu mpenzi wako anakusaliti

    Katika mapenzi usaliti upo na nijambo ambalo linaumiza sana sasa basi kama unamfaham mpenzi wako vyema basi utaweza kufaham kama amebadilika, sikiliza episode hii mpaka mwisho upate kujua dalili za mpenzi ambae anakusaliti

    Sun, 26 Mar 2023 - 05min
  • 5 - Uaminifu katika mahusiano ni jambo muhimu sana

    Katika mahusiano ni vyema kuaminiana na mahusiano ni ya watu wawili akija watatu jua huyo ni kidudu mtu na ataja waharibia mahusiano yenu bure tu

    Mon, 20 Mar 2023 - 10min
  • 4 - Wanawake tuache tabia za kutegemea wanaume kwa kila jambo

    Wanawake wengi tuko na tabia ya kutegemea wanaume kwa kila jambo lakini pia tunapaswa kujielewa na kujifaham vizur na tuchague ni maisha ya aina gani unataka kuyaishi na tujishughulishe ili kupata vile tunavyovihitaji, the best person to depend on is yourself and you will never be disappointed ever.

    Sat, 14 Jan 2023 - 12min
Mostrar mais episódios