Nach Genre filtern

Nyumba ya Sanaa

Nyumba ya Sanaa

RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa ni Makala ya  Utamaduni ambayo inatoa fursa  kwa wasanii  na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.

158 - Tanzania: Tamasha la marafiki festival mwaka wa 2026
0:00 / 0:00
1x
  • 158 - Tanzania: Tamasha la marafiki festival mwaka wa 2026

    Wikendi hii tunaangazia msimu wa saba wa tamasha la marafiki festival. Tamasha linalolenga kutangaza utamaduni wa Tanzania.

    Sat, 10 Oct 2026
  • 157 - Tanzania: Tunaliangazia kundi la Lumumba Theatre

    Lumumba Theatre  ni Kundi la Muziki wa Asili linalochanganya Midundo ya kisasa na ya zamani ili kupata Ladha Mpya, Tunaangazia kundi hilo katika makala ya n yumba ya Sanaa Juma hili.

    Sat, 03 Oct 2026
  • 156 - Ushairi wa kisasa na Paul Mejooly

    Paul Mejooly alianza kutunga Mashairi akiwa Shuleni sasa ni Biashara inayomuingizia kipato, Tumezungumza naye kwenye Makala ya Nyumba ya sanaa.
     

    Sat, 19 Sep 2026
  • 155 - Zanzibar: Taarab asilia na Qudara Gwingwi

    Egyptian Taarab hii Bendi ya Muziki wa taarab, mzizi wa muziki wa Taarab unaofahamika leo katika Mwambao wa Afrika Mashariki, hasa visiwani Zanzibar,katika Makala ya Nyumba ya Sanaa wiki hii utamsikia Qudra Gwingwi Muimbaji wa bendi hiyo.

    Sat, 05 Sep 2026
  • 154 - Sanaa ya nyimbo za asili na kundi la hiari ya moyo

    Sanaa ya nyimbo za asili inaanzia mbali, tangu enzi za utawala wa kimila. Kutana na kundi la Hiari ya Moyo maarufu Mwanamile katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.

    Sat, 22 Aug 2026
Weitere Folgen anzeigen