Nach Genre filtern

Swahili Dishes Podcast

Swahili Dishes Podcast

Swahili Dishes Podcast

This podcast hosted by Faiza & Mkamburi is purely in Swahili language and focuses on breaking stereotypes about the Kenyan coastal community and culture through entertaining conversations.

55 - Character Development
0:00 / 0:00
1x
  • 55 - Character Development

    Episode tamu kabisa tunasoma comments za mashabiki wetu plae tiktok!

    Fri, 16 Feb 2024 - 22min
  • 54 - Huyo ni Mwanaume Insecure

    Jitahadhari na mwanaume mwenye tabia hizi!

    Thu, 15 Feb 2024 - 16min
  • 53 - Kama Bibi Yako ni Breadwinner, Tafakari Haya!

    Kuna masharti fulani lazima utimize bila kulalamika kama bibi yako ndio kichwa cha nyumba!

    Wed, 14 Feb 2024 - 18min
  • 52 - Madharau Ndogo Ndogo

    Hufika wakati kwenye mahusiano ambapo wahusika hufanyiana vijimadharau vidogo vidogo vya kuudhi badili ya kukata mahusiano na kuachana.

    Mon, 12 Feb 2024 - 27min
  • 51 - "Mume Wangu Anaongea Na Rafiki Yangu!" Nifanyeje?

    Tunatoa ushauri kwa dada aliyetuma message kuhusu masaibu ya mahusiano yake.

    Fri, 09 Feb 2024 - 22min
Weitere Folgen anzeigen