Filtrar por género

Malezi na BRAC

Malezi na BRAC

BRAC Tanzania

Podcast hii inahusu elimu ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Mtoto.

6 - Michezo inayochochea maendeleo ya kimwili ya mtoto
0:00 / 0:00
1x
  • 6 - Michezo inayochochea maendeleo ya kimwili ya mtoto

    Utajifunza Mchezo inayomsaidia mtoto kukua kimwili na kijamii. Tutacheza mchezo wa nyama nyama na kuruka zigi zaga

    Wed, 10 Mar 2021 - 27min
  • 5 - Michezo ya kijamii na kihisia na njia za kuwasiliana na mtoto

    Kipindi hiki kilirushwa 2.10.2020

    Kipindi hiki kinaguia michezo ya kijamii na kihisia, pia tutafahamu njia za kuwasiliana na mtoto.

    Wed, 10 Mar 2021 - 28min
  • 4 - Michezo ya mwili na kijamii

    Kipindi kilirushwa 10.8.2020.

    Katika kipindi hiki tutajifunza michezo ya kimwili na kijamii. Ambapo tutaiangalia michezo ya simama kaa na kiokoe kikombe na sehemu ya pili tutaongelea aina ya kwanza ya malezi ambayo ni malezi ya kimabavu. 

    Usikose kufatilia vipindi hivi kila siku ya Jumatatu, Jumatani na Ijumaa 9:30-10:00 Alasiri.

    Wed, 10 Mar 2021 - 29min
  • 3 - Kituo cha mkono kwa mkono na afisa ustawi bwana Sufian Mndolwa

    Kipindi hiki kilirushwa TBC Taifa tarehe 4.9.2020.

    Tulikua na mgeni Afisa ustawi wa Jamii kutoka hospitali ya Amana Bwana Sufian Mndolwa. Ndugu Mndolwa ameongelea kuhusu kituo cha mkono kwa mkono (One stop center).

    Wed, 10 Mar 2021 - 18min
  • 2 - Michezo ya kusoma na kuandika

    Kipindi hiki kilirushwa TBC Taifa Jumatno 12.8.2020.

    Sehemu ya kwanza inaongelea michezo ya kusoma na kuandika ambapo tutajifunzahadihi ya kuku na bata na shairi la sakamaide. Sehemu ya pili ya kipindi hiki inahusu aina ya pili ya malezi, yaani malezi ya mamlaka na demokrasia.

    Vipindi hivi vinarushwa TBC Taifa kila jumatatu, Jumatano na Ijumaa, Usikose kufuatilia

    Wed, 10 Mar 2021 - 12min
Mostrar más episodios