Filtra per genere

Elia Bennet

Elia Bennet

eliabennet

Karibu kwenye Podcast

5 - Exclusive: Siku-Enjoy ndoa nilikamilisha picha tu, nilitengeneza pesa kidogo
0:00 / 0:00
1x
  • 5 - Exclusive: Siku-Enjoy ndoa nilikamilisha picha tu, nilitengeneza pesa kidogo

    Mwimbaji Staa wa Bongofleva Ben Pol ameiambia AMPLIFAYA ya Clouds FM kwenye Exclusive Interview kuwa hakuifurahia ndoa yake kama alivyotarajia na kukiri kuwa hali ilikua tofauti na jinsi Watu wengi kwa nje walivyokuwa waki-imagine kupitia picha mbalimbali alizokuwa akiziweka mtandaoni.

    Fri, 13 Jan 2023 - 20min
  • 4 - EXCLUSIVE JACQUELINE MENGI AFUNGUKA SIKU ZA MWISHO ZA DR. MENGI, KUZUIWA KABURINI, MALI ALIZOACHIWA

    Mke wa pili wa Marehemu Dr. Reginald Mengi, Jacqueline Mengi amekaa kwenye Exclusive Interview na Millard Ayo na kufafanua kile alichokiandika kuhusu kuzuiwa kuingia kwenye eneo la Familia ambako Marehemu Mume wake alizikwa. Hata hivyo baada ya mahojiano haya tuliutafuta upande wa pili wa Familia ya Marehemu ili kusikia kauli yao juu ya tuhuma hizo zilizotolewa na Jacqueline lakini hawakuwa tayari kuzungumza chochote kwa sasa.

    Tue, 03 Mar 2020 - 48min
  • 3 - IRENE UWOYA: "NIKO TAYARI KWA NDOA YA 3, SIKUWAHI KUBADILI DINI

    #ONAIRWITHMILLARDAYO #IRENEUWOYA

    Mon, 17 Feb 2020 - 37min
  • 2 - MTANZANIA ALIYEKUWA WA MWISHO DARASANI ATOA MTAJI WA MILIONI 10
    Wed, 30 Oct 2019 - 32min
  • 1 - EXCLUSIVE HISTORIA YA GIGI MONEY BABA POLISI MAMA MHALIFU

    karibu kwenye Podcast ya kwanza kutoka kwa Millard Ayo akiwa na Gigy Money

    Wed, 21 Nov 2018 - 17min