Filtra per genere

MAELEZO PODCASTS

MAELEZO PODCASTS

Tanzania Information Services Department (Idara ya Habari-MAELEZO)

Sikiliza MAELEZO PODCASTS (Podcasts za Kiswahili kutoka Idara ya Habari MAELEZO, Tanzania) kupata taarifa na matukio mbalimbali nchini Tanzania. Idara ya Habari (MAELEZO) ipo chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ikiwa na jukumu la kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa Sera, mipango na miradi ya maendeleo vinavyotekelezwa na Serikali kwa wananchi, kusimamia vyombo vya habari hasa magazeti na machapisho na kuishauri Serikali juu ya Sera na Sheria za habari.

58 - Utafiti Kuhusu Kiwango cha Pombe na Athari Katika Moyo
0:00 / 0:00
1x
  • 58 - Utafiti Kuhusu Kiwango cha Pombe na Athari Katika Moyo

    Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Richard Kisenge kuhusu ushiriki wa JKCI katika michuano ya AFCON ambapo taasisi hiyo inatarajia kutoa huduma kwa teknolojia ya kisasa na mpya barani Afrika, pia kutoa taarifa ya utendaji na mafanikio ya taasisi katika kuwafikia wananchi. Support the show Msemaji Mkuu wa Serikali

    Sat, 24 Oct 2026
  • 57 - Simulizi ya Mpiga Picha Aliyefanya Kazi na Marais Wote Tanzania

    Mazungumzo na Mzee Hokororo, Mtumishi Mstaafu wa Idara ya Habari-MAELEZO anayesimulia historia ya Idara, safari ya sekta ya habari nchini mpaka kuanzishwa kwa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na safari yake ya umahiri katika upigaji picha iliyomuwezesha kufanya kazi na marais wa awamu tofauti kuanzia Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere hadi awamu ya sita. Support the show Msemaji Mkuu wa Serikali

    Fri, 16 Oct 2026
  • 56 - Huduma ya Mama Kujifungua Bila Maumivu Yaanza Kutolewa Tanzania

    Dkt. Lugano Wilson, Daktari Bingwa wa usingizi na ganzi tiba kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodona anatupitisha zaidi kwenye hduma hii kuanzia historia yake, sababu za kuanzishwa kwa huduma hii ya uzazi, faida yake, malengo ya huduma hii kwa miezi sita ya kwanza na usalama wa huduma hii kitaalamu ikifahamika epidural. Support the show Msemaji Mkuu wa Serikali

    Fri, 02 Oct 2026
  • 55 - Fursa za Kimawasiliano Zilizopo Nchini Hivi Sasa

    Mzungumzo na Mhandisi Asajile John kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuhusu hatua iliyopigwa na Tanzania kimawasiliano, fursa za kimtandao zilizopo kwa sasa. Support the show Msemaji Mkuu wa Serikali

    Fri, 25 Sep 2026
  • 54 - Si kila mtu au kila mahali unaweza kurusha droni, kwa nini?

    Mazungumzo na mkaguzi wa droni (Drone Inspector), Bw. Ibrahim Abdallah kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) ambaye ameweka wazi kuhusu taratibu za usajili wa droni na utaratibu wa kufuata ili mtu aweze kupata leseni ya kurusha droni. Unaweza kutazama Episode hii pia kupitia chaneli ya Youtube "Maelezo TV". Support the show Msemaji Mkuu wa Serikali

    Fri, 18 Sep 2026
Mostra altri episodi