Nach Genre filtern

Kiswahili, Lugha Ya Afrika

Kiswahili, Lugha Ya Afrika

Maranga Amos

Kuboresha Kiswahili kupitia mijadala, na kushiriki misamiati

27 - Kiswahili Kitukuzwe - Darubini ya JWST
0:00 / 0:00
1x
  • 27 - Kiswahili Kitukuzwe - Darubini ya JWST

    Fahamu kuhusiana na darubini ya James Webb Space Telescope iliotumwa kueleka anga za juu ili kutafuta majibu kuhusiana na chimbuko la ulimwengu.

    Thu, 29 Feb 2024 - 02min
  • 26 - Kiswahili Kitukuzwe - Mradi wa Artemis

    Maisha ya mwanadamu hayajazuiliwa kwenye dunia hii tunayoishi pekee, bali tunauwezo wa kujenga makao yetu kokote ulimwenguni. Tazama video hii ujionee juhudi za NASA kupitia mradi wa Artemis unaonuia kupeleka wanadamu mwezini na hata zaidi. Asante.

    Sun, 25 Feb 2024 - 06min
  • 25 - Kiswahili Kitukuzwe - OpenAI Sora

    Je, umesikia chochote kuhusiana na teknolojia ya Sora ambayo inaunda video kutokana na maneno machache unyayoipa. Tazama video hii ujifunze mengi kuhusiana na Sora ya Open AI.

    Mon, 19 Feb 2024 - 04min
  • 24 - Kiswahili Kitukuzwe - Magari ya Umeme

    Jua zaidi kuhusiana na magari ya umeme na fiada zao kwa maisha yetu humu duniani.

    Tue, 13 Feb 2024 - 06min
  • 23 - Kiswahili Kitukuze - Misamiati ya Matunda

    Jua majina ya matunda kwa lugha ya kiswahili

    Sat, 27 Jan 2024 - 02min
Weitere Folgen anzeigen