Nach Genre filtern

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

2776 - Taarifa ya Habari 26 Aprili 2024
0:00 / 0:00
1x
  • 2776 - Taarifa ya Habari 26 Aprili 2024

    Aliyekuwa mu Australia wa mwaka wa zamani Rosie Batty ame ihamasisha serikali ya New South Wales izingatie kuanzisha tume yakifalme kwa ukatili wa nyumbani.

    Fri, 26 Apr 2024 - 17min
  • 2775 - Maveterani washerehekewa naku kumbukwa katika siku ya ANZAC

    Maelfu ya watu walijumuika kote nchini Australia, na ng’ambo kutambua siku ya ANZAC.

    Fri, 26 Apr 2024 - 10min
  • 2774 - Utofauti wa tamaduni zawa Anzac wa Australia

    Kila mwaka tarehe 25 Aprili, huwa tuna adhimisha Anzac Day, ni siku ambapo tunawakumbuka walio hudumu nakufia vitani.

    Thu, 25 Apr 2024 - 13min
  • 2773 - Shakilah afunguka kuhusu huduma za Rotary Safe Families Victoria

    Shirika la Rotary Safe Families, hutoa taarifa zaku saidia kuzuia unyanyasaji kupitia miongozo iliyo tafsiriwa pamoja na filamu.

    Wed, 24 Apr 2024 - 09min
  • 2772 - Taarifa ya Habari 23 Aprili 2024

    Waziri Mkuu amewasifu wanajeshi wa Australia walio kuwa sehemu ya historia ya jeshi, katika eneo la Kokoda Track anapo jiandaa kutembea katika nyayo zamagwiji.

    Tue, 23 Apr 2024 - 18min
Weitere Folgen anzeigen