Filtrar por gênero

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

3596 - Birth and pregnancy care options in Australia - Australia Yafafanuliwa:Chaguzi za huduma ya uzazi na ujauzito nchini Australia
0:00 / 0:00
1x
  • 3596 - Birth and pregnancy care options in Australia - Australia Yafafanuliwa:Chaguzi za huduma ya uzazi na ujauzito nchini Australia

    If you're first-time parents in Australia, choosing where and how to give birth can feel overwhelming. Whether you go through the public or private health system, it is important to understand your options and know where to reach out for advice to make the right decision for you and your baby. - Kama wewe ni mzazi kwa mara ya kwanza nchini Australia, kuchagua mahali na namna ya kujifungua kunaweza onekana kuwa jambo gumu na lenye kuzidi uwezo. Iwe unatumia mfumo wa afya wa umma au wa kibinafsi, ni muhimu kuelewa chaguzi zako na kujua ni wapi unaweza pata ushauri ili kufanya uamuzi sahihi kwako na kwa mtoto wako.

    Mon, 12 Oct 2026 - 14min
  • 3595 - Taarifa ya Habari:Australia yajiandaa kwa msimu hatari wa moto wa msituni unaosababishwa na "super El Niño"

    Australia inajiandaa kwa kile kinachotarajiwa kuwa msimu hatari wa moto wa msituni unaosababishwa na tukio linaloitwa "super El Niño" pamoja na mabadiliko ya hali ya hewa.

    Fri, 09 Oct 2026 - 14min
  • 3594 - Breast screening: What to expect and why it matters - Australia Yafafanuliwa: Uchunguzi wa saratani ya matiti: Nini cha kutarajia na kwa nini ni muhimu

    Regular breast screening can help find breast cancer early, before you notice any signs or symptoms. Screening is free for eligible women or people at risk of breast cancer. It takes about 20 minutes, once every two years, and it’s an effective way to take charge of our health. Let’s take a closer look at why a breast screen is nothing to be anxious about. - Uchunguzi wa mara kwa mara wa matiti unaweza kusaidia kugundua saratani ya matiti katika hatua za awali, kabla ya kuona dalili zozote. Uchunguzi huu ni bure kwa wanawake wanaokidhi vigezo au watu walio katika hatari ya kupata saratani ya matiti. Huchukua takriban dakika 20, mara moja kila baada ya miaka miwili, na ni njia madhubuti ya kudhibiti afya zetu. Hebu tuangalie kwa kina kwa nini hakuna sababu ya kuwa na wasiwasi kuhusu uchunguzi wa matiti.

    Fri, 09 Oct 2026 - 14min
  • 3593 - Makala Leo: Mzozo kuhusu ubomoaji wa minara mjini Melbourne wafikishwa katika mahakama kuu

    Mzozo wa kisheria kuhusu mpango wa Serikali ya Victoria wa kubomoa majengo marefu kadhaa ya makazi ya umma unaelekea katika Mahakama Kuu.

    Fri, 09 Oct 2026 - 08min
  • 3592 - Yaliyojiri Afrika:Wahudumu wa afya Kenya wahoji maandalizi ya serikali kudhibiti Ebola

    Baadhi ya wahudumu wa afya nchini Kenya wamehoji kiwango cha maandalizi ya kukabiliana na Ebola, wakisema wafanyakazi walio katika mstari wa mbele hawana mafunzo wala vifaa vya kutosha vya kujikinga.

    Fri, 09 Oct 2026 - 08min
Mostrar mais episódios