Nach Genre filtern

Mambo jambo Mathematics

Mambo jambo Mathematics

BrazaVivo

Hapa tunaangazia habari zote kubwa za kitaifa na kimataifa

7 - mambo jambo mwanzo mpya
0:00 / 0:00
1x
  • 7 - mambo jambo mwanzo mpya

    leo tunaangazia ujio wetu mpya wa podcast yetu pendwa. na hivyo tutakuwa tunaitwa 'Mambo jambo The mathematics' tunashukuru kwa support na msiache kuendelea kutusupport.

    Thu, 01 Dec 2022 - 01min
  • 6 - Upendo

    Upendo una maana gani? Je upendo ni kuwa kipofu? Hayo yote unayapata katika epsod hii mpya na nimeweza kuchambua kwa undani maana ya neno upendo na upendo wenyewe.

    Sun, 06 Sep 2020 - 11min
  • 5 - Michezo

    Mpira wa jana uliishangaza dunia baada ya barca kufungwa goli 8 ndani ya dakika 90, wakati wao wakifunga goli 2 tu. Kitendo hicho kimetafsiriwa kama ni udhalilisha mkubwa sana kwa timu kubwa ya barca. Walichofanyiwa katika mchezo wa jana hakikuwa kitu kizuri katika historia ya mpira duniani.

    Sat, 15 Aug 2020 - 10min
  • 4 - Watu wanaopenda kujidai wanawajua watu wengine zaidi ya yao vile wanavyojijua

    Kuna watu wao wamekaaga kujidai kuwa wao wanawajua watu fulani zaidi hata ya wale watu wanavyojijua wao wenyewe, ni tabia mbaya na inayokosa nidhamu kwa watu wengine ungana nami tukiwaongelea watu hao

    Sat, 15 Aug 2020 - 05min
  • 3 - Namna ya kukuza/ongeza thamani yako

    Ni namna gani unaweza kuikuza thamani yako, haijalishi ni wapi ulipo, unafanya kitu gani, ni binadamu wa jinsia gani. Hapo ulipo unaweza ikuza/ongeza thamnai ya hicho unachofanya na kukuletea mrejesho chanya. Ungana na mimi kusikiliza ni namna gani ya kuiongeza thamani yako

    Mon, 30 Dec 2019 - 16min
Weitere Folgen anzeigen