Filtrar por gênero
- 7 - mambo jambo mwanzo mpyaThu, 01 Dec 2022 - 01min
- 6 - Upendo
Upendo una maana gani? Je upendo ni kuwa kipofu? Hayo yote unayapata katika epsod hii mpya na nimeweza kuchambua kwa undani maana ya neno upendo na upendo wenyewe.
Sun, 06 Sep 2020 - 11min - 5 - Michezo
Mpira wa jana uliishangaza dunia baada ya barca kufungwa goli 8 ndani ya dakika 90, wakati wao wakifunga goli 2 tu. Kitendo hicho kimetafsiriwa kama ni udhalilisha mkubwa sana kwa timu kubwa ya barca. Walichofanyiwa katika mchezo wa jana hakikuwa kitu kizuri katika historia ya mpira duniani.
Sat, 15 Aug 2020 - 10min - 4 - Watu wanaopenda kujidai wanawajua watu wengine zaidi ya yao vile wanavyojijua
Kuna watu wao wamekaaga kujidai kuwa wao wanawajua watu fulani zaidi hata ya wale watu wanavyojijua wao wenyewe, ni tabia mbaya na inayokosa nidhamu kwa watu wengine ungana nami tukiwaongelea watu hao
Sat, 15 Aug 2020 - 05min - 3 - Namna ya kukuza/ongeza thamani yako
Ni namna gani unaweza kuikuza thamani yako, haijalishi ni wapi ulipo, unafanya kitu gani, ni binadamu wa jinsia gani. Hapo ulipo unaweza ikuza/ongeza thamnai ya hicho unachofanya na kukuletea mrejesho chanya. Ungana na mimi kusikiliza ni namna gani ya kuiongeza thamani yako
Mon, 30 Dec 2019 - 16min - 2 - Uhuru kwako wewe una maana gani?
Leo ni miaka 58 ya uhuru wa Tanzania bara (Tanganyika) ambapo tunaangalia uhuru wa mambo 4 kwa wajasiriamali, kwao wao uhuru ni kitu gani, ungana nami kusikiliza nilichokiandaa leo
Mon, 09 Dec 2019 - 12min - 1 - Umuhimu wa fedha katika biashara yako
Fedha ndiyo mfalme katika biashara yako. Bila fedha huwezi kusonga na kufika mbali. Ungana nami leo ninapo ongelea maeneo saba (7) yanayosababisha maumivu katika biashara na namna ya kukabiliana nayo na kuyazuia
Sun, 08 Dec 2019 - 14min
Podcasts semelhantes a Mambo jambo Mathematics
El Partidazo de COPE COPE
Herrera en COPE COPE
Dante Gebel Live Dante Gebel
Es la Mañana de Federico esRadio
La noche de Cuesta esRadio
La Trinchera de Llamas esRadio
Hondelatte Raconte Europe 1
Affaires sensibles France Inter
LEGEND Guillaume Pley
El colegio invisible OndaCero
La Rosa de los Vientos OndaCero
Les grands dossiers de l'Histoire par Franck Ferrand Radio Classique
Espacio en blanco Radio Nacional
Enquêtes criminelles RTL
Entrez dans l'Histoire RTL
Le grand récit RTL
Les Grosses Têtes RTL
L'Heure Du Crime RTL
Parlons-nous RTL
El Larguero SER Podcast
Nadie Sabe Nada SER Podcast
SER Historia SER Podcast
Todo Concostrina SER Podcast
Un Libro Una Hora SER Podcast
