Filtrar por género

Wanawake wa Imani

Wanawake wa Imani

Soma Biblia

Vipindi vya wanawake wa Kikristo. Masungumso kuhusu mambo ya maisha. Vipindi vyote ni Kiswahili.

6 - Kupendwa na Mungu - Wanawake wa Imani Kip #1
0:00 / 0:00
1x
  • 6 - Kupendwa na Mungu - Wanawake wa Imani Kip #1

    Je, umezingatia kwamba sisi wanawake tunacho kitu kama sanduku mioyoni mwetu. Sehemu inayopaswa kujaa upendo. Ni jinsi Mungu alivyotuumba. Lakini mara nyingi ninasikia utupu hapo, au tuseme nina kiu. Kiu ya kupendwa. Ebu fikiria ungeambiwa maneno matamu haya: “mna thamani mbele yangu, kwa kuwa nimewapa hadhi na kuwapenda.” Haya ni maneno ya Mungu.

    Mon, 02 Jul 2018 - 31min
  • 5 - Anakupenda kwa sababu alikuumba - Wanawake wa Imani Kip #2

    Tunafahamu kwamba tuna shida mbalimbali katika maisha yetu. Shida ya uchumi ni rahisi kutambua, na wengi wanapambana kila siku ili wapate hata kidogo tu cha kulisha familia. Kwa nini Mungu haoni hali hii na kunisaidia kama ananipenda?

    Sun, 01 Jul 2018 - 32min
  • 4 - Yesu anapiga hodi kwako - Wanawake wa Imani Kip. #3

    Tazama, nasimama mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami. Uf. 3:20

    Sat, 30 Jun 2018 - 33min
  • 3 - Mwanamke Msamaria anawekwa huru na Yesu

    Mwanamke tutakayemkuta leo alikuwa anatafuta upendo, uhuru na amani kama tulivyoongea kipindi kingine, sisi wote tunatafuta mambo haya juu ya mambo yote mengine. Lakini huyu mwanamke pale alipoangalia na kutafuta, hakuweza kuyapata. Labda pia wewe uko kwenye hali ya kutafuta sana upendo, uhuru na amani, lakini baado hujayapata vizuri. Labda unaangalia mahali ambapo haipo!

    Fri, 29 Jun 2018 - 38min
  • 2 - Ushuhuda wa Dorena Jakobo 1/2 - Wanawake wa Imani kip. #5

    Mama Neema anaongea na Dorena Jakobo aliyekutana na vikwazo vingi maishani mwake.

    Thu, 28 Jun 2018 - 26min
Mostrar más episodios