Filtrer par genre
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
- 312 - Changu Chako: Historia ya jij la Kisumu septemba 27 2026Sun, 27 Sep 2026
- 311 - Changu Chako: Historia ya ngoma ya utamaduni wa kiturkana Sept 20 20269
Makala haya yanazungumzia kuhusu muziki wa tamaduni ya Kiturkana ambao ni kiungo muhimu sana katika maisha ya jamii ya Waturkana, inayopatikana kaskazini-magharibi mwa Kenya. Muziki wao hautumiwi tu kama burudani, bali ni njia ya kuhifadhi historia, kuwasiliana na jamii, na kuadhimisha matukio muhimu ya maisha.
Hapa kuna vipengele muhimu vinavyofafanua muziki wa kitamaduni wa Kiturkana:
Sun, 20 Sep 2026 - 310 - Changu Chako: Historia ya watu wa kabila la Wahehe sept 6 2026
Karibu katika makala yetu ya leo Jumapili Changu Chako Chako Changu. Makala haya hukuletea Historia na tamaduni ya makabila mbalimbali, le Parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletza Historia ya watu wa kabila la Wahehe, kutoka chini Tanzania na kwenye Muziki nitakuletea msanii kutoka nchini Uganda Made Ice, Mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama Karibu.
Sun, 06 Sep 2026 - 309 - Changu chako historia ya waswahili wa Burundi harakati za kumtambuwa mswahili sehemu ya 3 Agost 30
Karibu katika makala changu chako chako chako changu Jumapili ya leo nakuletea sehemu ya 3 na ya mwisho ya historia ya waswahili wa Burundi, ambapo sehemu ya mwisho mgeni wetu atatueleza harakati za kumtambuwa mswahili wa Burundi
Na kwenye Muziki nitakuletea Mwanamuzi nguli wa miondoko ya Contry kutoka nchini Marekani Dolly Parton ambae amefariki dunia juma hili. Mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama karibu.
Nifuate kwenye mitandao ya kijamii @billybilali
Sun, 30 Aug 2026 - 308 - Changu Chako: Historia ya waswahili wa Burundi katika harakati za Uhuru agost 23 2026
Karibu katika Makala changu chako chako change, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nakuletea sehemu ya pili ya historia ya waswahili wa Burundi na kwenye muziki nitakuletea mwanamuziki Lady Jay D. Mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama Karibu.
Nifuatilie @billybilali
Sun, 23 Aug 2026 - 307 - Changu chako chako changu: Historia ya waswahili wa Burundi Agost 16
Karibu katika Makala haya yanayozungumzia historia ya waswahili wa Burundi. Mntangazaji wako Ali Bilali alikutana na mwanahistoria kutoka Buyenzi Mzee Anzuruni ambae anaeleza kwa kina hapa historia ya waswahili wa taifa hilo.
Nifuatilie kwenye mtandao wa kijamii @billy bilali
Tue, 18 Aug 2026 - 306 - Historia yaandikwa DRC kwa kuendeshwa baiskeli, ustadi wa tafsiri ya lugha
Makala hii imeangazia mwanariadha na mwendesha baiskeli mashuhuri Miguel Masaisai alivyoandikisha historia kwa kusafiri na baiskeli yake kwa muda wa miezi mitatu kutoka Goma hadi mjini Kinshasa, zaidi ya kilomita 2500 kupeleka ujumbe wa amani, na pia ustadi wa tafsiri ya lugha mbali mbali, katika mikutano ya kimataifa inayofanyika sehemu kadhaa duniani
Sat, 08 Aug 2026 - 305 - Changu Chako: Historia ya watu wa kabila la Wabembe na kifo cha mwanamuziki Mr Gave
Karibu katika Makala yrtu ya leo jumapili change chako chako change Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nakuletea kwa mara nyingine tena historia ya watu wa kabila la wabembe. Na kwenye Muziki nitakuletea historia ya mwanamuziki Mista Gave aliefariki dunia juma hili huko Uvira. Mazishi ya msanii Gave yamepangwa kufanyika Julai 22 hapo Uvira. mimi ni Ali Bilali mtangazaji asiependa makuu, Bienvenue, ama karibu.
fuatilia pia @billybilali
Sun, 19 Jul 2026 - 304 - Changu Chako Chako Changu: Historia ya Siku ya kimataifa ya Kiswahili Julai 12 2026
Karibu katika makala yetu ya leo changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea historia ya lugha ya kiswahili. Na kwenye muziki nitakuletea muziki kutoka bendi ya Lelele Afrika kutoka Mombasa nchini Kenya. Mimi ni Ali Bilali, bienvenue, ama Karibu.
Sun, 12 Jul 2026 - 303 - Changu Chako Chako Changu: Miaka 16 ya matangazo ya RFI Kiswahili Julay 5 2026
Karibu katika Makala yetu ya leo change chako chako changu maalum kabisa kuhusu kumbukumbu ya miaka 16 tangu kuzanzishwa kwa matangazo ya idhaa ya Kiswahili ya RFI yalianza kurindima Julay 5 mwaka 2025 Mubashara jijini Dar es salaam nchini Tanzania kabla ya kuhamia jijini Nairobi baadae. Utawasikiliza baadhi ya watangaezaji, lakini pia nitakuletea burudani ya Muziki kutoka nchini Kenya Otile Brown na kibao chake kipya kabisa NI wewe. Mimi ni Ali Bilali Bienvenue.
Insert………
Sun, 05 Jul 2026 - 302 - Changu chako: Historia ya Uhuru wa Burundi juni 28 2026
Karibu katika makala changu chako chako changu Jumapili ya leo, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea historia ya uhuru wa Burundi na kwenye kipengele cha utamaduni nitakuletea tamasha la Umutwenzi lililoandaliwa na wasanii wa Burundi katika mkesha wa siku ya Uhuru wa Burundi na kwenye Muziki nitakuletea kibao cha wasanii wa Burundi walioshirikiana Pamoja. Mimi ni Ali Bilali Bienvenue.
Sun, 28 Jun 2026 - 301 - Changu chako: Tamaduni mbalimbali zilizopitwa na wakati juni 21 2026
Karibu katika Makala changu Chako Chako Changu, Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea Makala kuhusu tamaduni mbalimbali ambazo zimepitwa na wakati katika makabila mbalimbali, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Dully Sikes kutoka nchini Tanzania. Mimi ni Ali Bilali, Binevenue ama Karibu.
Sun, 21 Jun 2026 - 300 - Changu Chako: Tamaduni mbalimbali za kiafrika na mlimbwende kutoka KenyaSun, 14 Jun 2026
- 298 - Changu Chako Chako Changu: Utamaduni wa kupenda kusafiri juni 7 2026
Makala haya yanazungumzia kuhusu utamaduni wa kupenda kusafiri kutoka katika eneo moja hadi lingine. Utamaduni huu unashuhudiwa tu kwa wenzetu wazungu. Ali Bilali amempokea influancer maharufu kutoka Afrika mashariki Casspyool ambae ametembelea nchi kadhaa duniani, na hapa anatueleza alichojifunza katika safari zake za Tanzania, Uganda na Rwanda. Kumbuka pia kumfollow mtangazaji wako
@billy bilalihttps://www.facebook.com/billy.bilali.9
Sun, 07 Jun 2026 - 297 - Changu Chako Chako Changu: Historia ya Xenophobia barani Afrika Mei 17 2026
Karibu katika Makala yetu ya leo changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nakuleteza historia ya xenophobia (chuki au woga dhidi ya wageni) tutaungana naye Mariam Posho joélle akiwa nchini Afrika kusini na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Mario na wimbo wake mpya Mombasa.
Kumbuka kunifuatilia
Sun, 17 May 2026 - 296 - Changu Chako Chako Chako Changu: fursa za kikao cha Ufaransa na Mataifa ya Afrika
Katika makala haya mtangazaji wako Ali Bilali anaangazia utamaduni wa kujifunza lugha na furza za mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika na Ufaransa, mkutano ambao hapo awali ulifahamika kama France Afrique.
Kumbuka kunifollow @billybilali
Sun, 10 May 2026 - 295 - Historia ya siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari
Tarehe 03 mei ya kila mwaka ni siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari, na mwaka wa 2026 imetimia miaka 35 tangu siku hiyo kutangazwa na baraza la umoja wa mataifa, na katika utamaduni tumeendelea na utaratibu wa jamii ya watu wa kabila la wabembe huko DRC na taratibu za kuoa.Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kupata mengi zaidi
Sun, 03 May 2026 - 294 - Historia ya vita vya Iran na Israeli huko mashariki ya kati
Makala hii imejikita huko mashariki ya kati ambapo tumeangazia kwa undani historia ya nchi ya Iran, na katika utamaduni kabila la wabembe kutoka Fizi mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, na maeneo mengine ya nchi jirani, wakati katika kipengee cha muziki ni maadhimisho ya miaka kumi tangu alipotoweka mwanamuziki nguli, mfalme wa rumba almaarufu Papa Wemba huko Ivory Coast
Sat, 25 Apr 2026 - 293 - Changu chako: Utamaduni wa watu kutoka Embu nchini Kenya
Karibu katika Makala yetu ya leo changu chako chako changu jumapili hii, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parle francophone na Muziki ambapo leo nitakuletea utamaduni wa watu kutoka huko Embu kwenye maswala ya chakula, mazazi na uvhumba. Tutamaliza na vibwagizo kadhaa vya Muziki, mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama Karibu
Kumbuka pia kutufuatilia @billy bilali
Sun, 19 Apr 2026 - 292 - Changu Chako Chako Changu: Utamaduni wa kuishi pamoja makabila mbalimbali April 12 2026
Karibu katika Makala yetu ya leo changu chako chako changu jumapili hii, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nitakuletea utamaduni huu wa watu kutoka eneo moja kuishi pamoja mijini, na kwenye muziki nitakletea mwanaumizi Coco Finger kutoka nchini Uganda,
Kumbuka kunifollow @billy bilali
Sun, 12 Apr 2026 - 291 - Changu Chako Chako Changu: Utamaduni wa matumizi ya viungo kwenye chakula march 22 2026
Ni jumapili nyingine tunakutana katika makala Changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakupelekea visiwani Zanzibar kuangazia utamtuni wa matumizi ya viungo kwenye chakula, kwenye le parler francophone tutaangazia kuhusu sherehe za siku ya kimataifa ya nchi zinazo zungumza lugha ya Kifaransa, mimi ni Ali Bilali Bienvenue, ama Karibu.
kumbuka pia kutufollow kwenye mitandao ya kijamii @billy_bilali
Sat, 21 Mar 2026 - 290 - Changu Chako Chako Changu: Zanzibar yavunja rekodi ya utamaduni wa kufturisha
Karibu katika Makala yetu ya leo Changu Chako Chako Changu, makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali utamaduni, le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakupeleka huko Visiwani Zanzibar kuzungumzia utamaduni wa kufturisha ambapo JMarch 7 umati wa watu ulijitokeza kuhudhuria Iftar ilioandaliwa kwa mara ya kwanza kwenye ngazi ya Kitaifa. Tutahitimisha na Muziki kutoka visiwani Zanzibar. Ali Bilali ninakukaribisha karibu, ama bienvenue.
Utamaduni wa kufturisha ni zoezi la kijamii na kidini katika Uislamu ambapo waumini wenye uwezo hutoa chakula na vinywaji kwa waliofunga (wengine) wakati wa kuvunja saumu (futari) katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Inalenga kuimarisha umoja, kusaidia wenye uhitaji, kueneza upendo, na kupata thawabu kwa kushirikiana na wengine.
Utamaduni huu hufanyika kila mwaka visiwani Zanzibar, kwenye ngazi mbalimbali, kijamii, kitaasisi, lakini mwaka huu imeandaliwa Iftar ya Kitaifa, kwa mujibu wa ofisi ya mtakwimu mkuu wa serikali Zanzibar watu 27345 kati yao wanaume ni elfu 18 771 sawa na asilimia 68.6 wanawake 8.574 sawa na asilimia 31.4 walijitokeza kwa ajili ya kufaanikisha, chini ya mgeni rasmi mwenyekiti wa baraza la mapinduzi ambae pia ni rais wa Zanzibar.
Thu, 12 Mar 2026 - 289 - Changu Chako Chako Changu historia ya ngome ya Yesu Mombasa March 8
Katika makala yetu ya leo Jumapili mtangazaji wako Ali Bilali anatupeleka Mombasa Pwani ya Kenya kuskiliza historia ya Ngome Kongwe pamoja na ile ya ngome ya Yesu ama fort Jesus.
Kumbuka pia kumfuatilia kwa kubonyeza @billy bilalihttps://www.facebook.com/billy.bilali.9
Sun, 08 Mar 2026 - 288 - Changu Chako Chako Changu ukumbusho wa mizinga ya kale huko lamu Feb 15 2026
Makala haya mtangazaji Benson Wakoli alipata nafasi ya kutembelea county ya Lamu Pwani ya Kenya kuangazia kuhusu mizinga iliotumika zama za ukoloni. utapta pia kumsikiliza msanii kutoka nchini Burundi Baino.
Kumbuka pia kunifuata @billy bilali
Thu, 05 Mar 2026
Podcasts similaires à Changu Chako, Chako Changu
El Partidazo de COPE COPE
Herrera en COPE COPE
La Linterna COPE
Dante Gebel Live Dante Gebel
Es la Mañana de Federico esRadio
La noche de Cuesta esRadio
La Trinchera de Llamas esRadio
Hondelatte Raconte Europe 1
El colegio invisible OndaCero
La Rosa de los Vientos OndaCero
Les grands dossiers de l'Histoire par Franck Ferrand Radio Classique
Espacio en blanco Radio Nacional
Enquêtes criminelles RTL
Entrez dans l'Histoire RTL
Les Grosses Têtes RTL
L'Heure Du Crime RTL
El Larguero SER Podcast
SER Historia SER Podcast
Todo Concostrina SER Podcast
Un Libro Una Hora SER Podcast
Autres podcasts de Société et Culture
Affaires sensibles France Inter
LEGEND Guillaume Pley
C dans l'air France Télévisions
Parlons-nous RTL
Le grand récit RTL
Les pieds sur terre France Culture
Ça commence aujourd'hui France Télévisions
Libre antenne week-end Europe 1
Les histoires incroyables de Pierre Bellemare RTL
Un jour, une vie RTL
Ça peut vous arriver RTL
Confidentiel RTL
Grand bien vous fasse ! France Inter
Libre antenne Europe 1
Cauet sur Europe 2 Europe 2
Le Coin Du Crime La Fabrique Du Coin
Choses à Savoir - Culture générale Choses à Savoir
Dossiers OVNI Les dossiers OVNI
Les Chemins de la philosophie France Culture
Estelle Midi RMC
