Filtrer par genre

Jua Haki Zako

Jua Haki Zako

RFI Kiswahili

Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.

380 - Kenya : Wanaharakati wanashikiza kuachiliwa kwa Kizza Besigye
0:00 / 0:00
1x
  • 380 - Kenya : Wanaharakati wanashikiza kuachiliwa kwa Kizza Besigye

    Wanaharakati nchini Kenya, wamekuwa wakishinikiza kuachiliwa kwa kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye, ambaye kesi ya uhaini dhidi yake bado inaendelea.

    Skiza makala haya kufahamu mengi.

    Fri, 02 Oct 2026
  • 379 - Kenya : Wastaafu wahangaika kupata kiinua mgongo

    Kustaafu inafaa kuwa maisha mapya na mema ila wengi hukumbana na wasiotarajia, ikiwa ni pamoja na kubiri kwa muda mrefu kupata hela zao za uzeeni 

    Nchini Kenya, wengi hupata changamoto ya kufuatilia hela zao kutoka shirika la malipo ya uzeeni  la NSSF, hili likichukuwa hata miaka miwili, baadhi  ya wazee wakifariki kabla ya kunufaika na mgao huo.

    Skiza makala haya kufahamu zaidi.

    Thu, 24 Sep 2026
  • 378 - Kenya : Raia wa Burundi waondoka

    Raia wa Burundi wameamua kuondoka nchini Kenya, kufutia kauli ya rais William Ruto kutaka wageni wanaofanya biashara ndogondogo kuwachia wenyeji kazi hizo.

    Skiza makala haya

    Mon, 14 Sep 2026
  • 377 - Kenya : Wafanyibiashara waandamana kulalamikia kodi

    Nchini Kenya mvutano mkubwa imebuka kati ya wafanyibiashara wadogowado na serikali na mapendekezo ya serikali kuongeza kodi.

    Skiza makala haya kufahamu mengi.

    Mon, 31 Aug 2026
  • 376 - DRC : Wambote wataka kujumuishwa serikalini

    Raia mbilikimo wataka kujumuishwa serikali nchini DRC.

    Skiza makala haya kufahamu mengi.

    Tue, 25 Aug 2026
Afficher plus d'épisodes