Filtrar por gênero
- 380 - Kenya : Wanaharakati wanashikiza kuachiliwa kwa Kizza BesigyeFri, 02 Oct 2026
- 379 - Kenya : Wastaafu wahangaika kupata kiinua mgongo
Kustaafu inafaa kuwa maisha mapya na mema ila wengi hukumbana na wasiotarajia, ikiwa ni pamoja na kubiri kwa muda mrefu kupata hela zao za uzeeni
Nchini Kenya, wengi hupata changamoto ya kufuatilia hela zao kutoka shirika la malipo ya uzeeni la NSSF, hili likichukuwa hata miaka miwili, baadhi ya wazee wakifariki kabla ya kunufaika na mgao huo.
Skiza makala haya kufahamu zaidi.
Thu, 24 Sep 2026 - 378 - Kenya : Raia wa Burundi waondokaMon, 14 Sep 2026
- 377 - Kenya : Wafanyibiashara waandamana kulalamikia kodiMon, 31 Aug 2026
- 376 - DRC : Wambote wataka kujumuishwa serikaliniTue, 25 Aug 2026
- 375 - Changamoto za wasichana wanaopata ujauzito wakiwa shuleni
Utafiti wa punde zaidi uliofanywa na Kituo cha Utafiti wa Idadi ya Watu na Afya barani Afrika (APHRC) unaonyesha kuwa, Kusini mwa Jangwa la Sahara, msichana mmoja kati ya wanne anapata ujauzito kabla ya kufikisha miaka 18.
Ingawa sheria na sera katika nchi mbalimbali katika ukanda wa Afrika Mashariki zinatambua haki ya wasichana hao kuendelea na masomo hata baada ya kujifungua, wengi bado hukumbana na vikwazo vinavyowafanya washindwe kurudi darasani.
Mon, 03 Aug 2026 - 374 - Safari ya akina mama wachanga kutafuta uraia wao na watoto wao mipakani Kenya
Nchini Kenya changamoto za kupata stakabadhi muhimu kama vile vitambulisho na vyeti vya kuzaliwa zingali zinashuhudiwa miongoni wa raia wake hususan kwenye jamii ambazo zinaishi kaunti za miapakani kama vile Busia ,Turkana na Mandera, hali inayoendelea kuwanyika raia hao haki zao za kimsingi na kukosa huduma muhimu za serikali . Hii leo katika makala Jua haki zako tunaangazia akina mama hao na watoto wao jimbo la Busia kwenye mpaka wa Kenya na Uganda
Tue, 28 Jul 2026 - 373 - Kenya: Mawakili waandamana kudai hakiMon, 13 Jul 2026
- 372 - Sudan : Amnesty International yasema rsf ilikiuka sheria El fasherSun, 12 Jul 2026
- 371 - Haki za wakimbizi awamu ya piliFri, 10 Jul 2026
- 370 - EAC : Haki za wakimbizi dunianiMon, 22 Jun 2026
- 369 - Kenya: Harakati za kupambana na mimba za utotoni zapata sura mpyaWed, 10 Jun 2026
- 368 - Kenya : Ukatili wa kijinsia kizungu mkuti
Wanawake wanaotetea haki za kijinsia katika eneo la Pwani nchini Kenya wameonya kuhusu ongezeko la visa vya ukatili wa kijinsia, wakisema ukosefu wa elimu kuhusu haki za waathiriwa unawazuia wengi kupata haki.
wanaharakati hao wanasema hali hiyo imechangia wahusika wa vitendo vya ubakaji, ulawiti na unyanyasaji wa kingono kuendelea kutenda makosa bila kuwajibishwa.
Skiza makala haya kufahamu mengi.
Mon, 08 Jun 2026 - 367 - KENYA: Dhulma wanazopitia kina mama mtaani MathareSat, 30 May 2026
- 366 - Kenya: Haki ya wanamziki chipukizi ndani ya Eleve8Mon, 25 May 2026
- 365 - Siku ya Mama duniani, je unamtambua mamaFri, 15 May 2026
- 364 - Kenya : Uhuru wa wanahabari si mjadalaMon, 11 May 2026
- 363 - Reuben Kigame na harakati zake kupigia hakiThu, 30 Apr 2026
- 362 - Unyanyasaji na kunyimwa haki kwa wanawake katika biashara za kimataifa
Licha ya kuongezeka kwa idadi ya wanawake wanaojihusisha na biashara za kimataifa nchini Kenya, wengi wao bado wanakumbana na changamoto kubwa,ikiwemo kudhalilishwa, ubaguzi wa kijinsia na kunyimwa haki zao za msingi wanapojaribu kuingia au kushindana katika masoko ya nje.
Katika maeneo ya mashambani hadi mipakani, wanawake hawa wanapambana si tu kukuza biashara zao, bali pia kupigania heshima na nafasi sawa katika soko la kimataifa.
Makala haya yanaangazia wanawake hao.
Fri, 17 Apr 2026 - 361 - Kenya : Mchango wa masharika ya kiraia kwa jamii
Katika makala haya tunajikita kuangazia mchango wa mashariki yasiokuwa ya kiserikali kwenye jamii zetu.
Tunaliangazia shirika la Corps Africa ambalo kwa ushirikiano jamii mbali mbali nchini Kenya limeendelea kuleta mageuzi kwa raia.
Ili jamii kuendelea na kujitegemea inahitaji watu wa kufanikisha baadhi ya maswala kwa jamii kuja na mbinu ya namna gani ya kuwezesha jamii kujiendeleza.
Kutokana na hili ndipo Corps Africa nchini Kenya huwatumia vijana kwa kuwatuma katika jamii mabalimbali, ili kusema na hizo jamii na kutambua namna gani au wanahitaji msaada gani.
Wed, 08 Apr 2026 - 360 - Kenya: Pesa za majanga haziwafikii waathiriwa
Katika makala haya tunaangazia ripoti kuhusu ufadhili wa majanga na mabadiliko ya tabianchi katika maeneo kame, iliochapishwa na masharika kadhaa likiwemo lile la Oxfarm. shaba ikilenga taifa la Kenya,
Ripoti hii inaonyesha kuwa licha ya maeneo haya kuathirika zaidi na ukame, mafuriko na mabadiliko ya tabianchi, bado fedha nyingi hazifiki moja kwa moja kwa wananchi wanaohitaji msaada huo zaidi.
Ripoti hiyo ya Oxafarm inaonyesha kuwa mfumo wa ufadhili wa mabadiliko ya tabianchi nchini Kenya bado una changamoto nyingi, ikiwemo ukosefu wa uwazi, ushirikishwaji mdogo wa jamii, na utegemezi mkubwa wa fedha kutoka nje masharika ya nje
Tue, 31 Mar 2026 - 359 - Kenya : Haki za wafanyibiashara wa soko la KigombaSat, 28 Mar 2026
- 358 - Kenya : Haki za watoto wa kurandaranda mitaaniFri, 27 Mar 2026
- 357 - EAC : Wanawake wasilia nyuma katika harakati za amaniMon, 09 Mar 2026
Podcasts semelhantes a Jua Haki Zako
El Partidazo de COPE COPE
Herrera en COPE COPE
La Linterna COPE
Dante Gebel Live Dante Gebel
Es la Mañana de Federico esRadio
La noche de Cuesta esRadio
La Trinchera de Llamas esRadio
Hondelatte Raconte Europe 1
Affaires sensibles France Inter
LEGEND Guillaume Pley
El colegio invisible OndaCero
La Rosa de los Vientos OndaCero
Les grands dossiers de l'Histoire par Franck Ferrand Radio Classique
Espacio en blanco Radio Nacional
Enquêtes criminelles RTL
Entrez dans l'Histoire RTL
Le grand récit RTL
Les Grosses Têtes RTL
L'Heure Du Crime RTL
Parlons-nous RTL
El Larguero SER Podcast
SER Historia SER Podcast
Todo Concostrina SER Podcast
Un Libro Una Hora SER Podcast
