Filtrar por gênero
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
- 191 - Kenya : Wachira Wa Karangatha na PricillaFri, 02 Oct 2026
- 190 - Burudani ya Muziki Ijumaa na Billy Bilali Septemba 25 2026Fri, 25 Sep 2026
- 189 - Burudani ya Muziki ijumaa na Billy Bilali Julai 24 2026
Ambatana naye Billy Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa julai 24 2026,
Kumbuka pia kumfuatilia @billybilali
Fri, 24 Jul 2026 - 188 - Burudani ya Muziki Ijumaa na Mtangazaji asiependa makuu Billy Bilali Juni 12 2026Fri, 12 Jun 2026
- 187 - Pata Burudani ya Muziki Ijumaa rfi Kiswahili na Billy BilaliFri, 22 May 2026
- 186 - Burudani ya Muziki Ijumaa na Ali Bilali mtangazaji wako asipenda makuuFri, 08 May 2026
- 185 - Makala Muziki Ijumaa, pata burudaniFri, 24 Apr 2026
- 184 - Burudani ndani ya makala Muziki IjumaaFri, 03 Apr 2026
- 183 - Msikie galacha wa Muziki wa Rhumba Fally Ipupa na Okelleo Max kutoka KenyaFri, 13 Mar 2026
- 182 - Safari ya vibao vya Klasiki Kutoka Marekani hadi Afrika Mashariki na Kati
Karibu katika muziki Ijumaa, makala maalumu ya RFI Kiswahili inayokuletea vibao vya kukumbukwa vilivyoacha alama kubwa katika historia ya muziki wa dunia.
Wiki hii tunasafiri kimuziki kutoka Marekani, kupitia Karibiani, hadi Afrika Mashariki na Afrika ya Kati, tukifurahia nyimbo zenye ujumbe wa furaha, mapenzi, imani na utu.Safari yetu inaanza nchini Marekani kwa kibao “Celebration” cha kundi la Kool & The Gang wimbo uliogeuka kuwa nembo ya sherehe duniani kote, ukiwahamasisha watu kusahau huzuni na kusherehekea maisha.
Kutoka hapo tunatua Karibiani kupitia “Jamaica Farewell”wa Don Williams, wimbo wenye ladha ya country na mguso wa kisiwa, unaoelezea mapenzi, kumbukumbu na uchungu wa kuaga ardhi unayoipenda.
Safari inaendelea nyumbani Afrika Mashariki kwa kibao cha Kiswahili “Mulofa wangu” cha marehemu Daudi Kabaka kutoka Kenya, wimbo wa mapenzi uliojaa hisia nzito na lugha tamu, unaothibitisha ubora wa muziki wa zamani wa Afrika Mashariki.
Tunafunga safari yetu Afrika ya Kati kwa “Le Bon Samaritain” wa gwiji wa rumba Papa Noël kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wimbo unaochanganya ala za gitaa za kipekee na ujumbe wa utu, huruma na kusaidiana katika jamii.
Fri, 09 Jan 2026 - 181 - Kenya : Muziki ndani ya rfi KiswahiliWed, 24 Dec 2025
- 180 - Burudani ya Muziki Ijumaa na Mtangazaji wako asipenda makuu Billy BilaliSat, 13 Dec 2025
- 179 - Burudani ndani ya makala Muziki Ijumaa,Tue, 22 Jul 2025
- 178 - Muziki Ijumaa ambapo tunakupa fursa kuomba muziki unaoupendaFri, 21 Feb 2025
- 177 - Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili iliondaliwa na Ali BilaliFri, 27 Dec 2024
- 176 - Muziki iliyoombwa na waskilizaji msimu wa maadhimisho ya Jamhuri nchini KenyaFri, 13 Dec 2024
- 175 - Makala ya Muziki Ijumaa na machaguo ya msikilizajiSat, 31 Aug 2024
- 174 - Pata burudani tosha kutoka kwa wanamuziki wa kike barani AfrikaFri, 19 Jul 2024
- 173 - Mziki wa kukata na shoka ndani ya rfi kiswahili Kila IjumaaFri, 28 Jun 2024
- 172 - Burudani safi ya weekendi kupitia muziki ijumaaFri, 07 Jun 2024
- 171 - Muziki IjumaaSat, 27 Apr 2024
- 170 - Kwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipendaFri, 19 Apr 2024
- 169 - Muziki Ijumaa ,Burudani kabambeFri, 26 Jan 2024
- 168 - Miziki bora juma hili ndani ya Muziki Ijumaa na Florence KiwuwaFri, 22 Dec 2023
Podcasts semelhantes a Muziki Ijumaa
El Partidazo de COPE COPE
Herrera en COPE COPE
La Linterna COPE
Dante Gebel Live Dante Gebel
Es la Mañana de Federico esRadio
La noche de Cuesta esRadio
La Trinchera de Llamas esRadio
Hondelatte Raconte Europe 1
Affaires sensibles France Inter
LEGEND Guillaume Pley
El colegio invisible OndaCero
La Rosa de los Vientos OndaCero
Les grands dossiers de l'Histoire par Franck Ferrand Radio Classique
Espacio en blanco Radio Nacional
Enquêtes criminelles RTL
Entrez dans l'Histoire RTL
Le grand récit RTL
Les Grosses Têtes RTL
L'Heure Du Crime RTL
Parlons-nous RTL
El Larguero SER Podcast
SER Historia SER Podcast
Todo Concostrina SER Podcast
Un Libro Una Hora SER Podcast
Outros Podcasts de Música
Dj Shinski New Mixes Dj Shinski
Fun Radio Anthology Fun Radio
Hardcore Mixtapes DJ Sacrifice
Stop ou encore RTL
Zen Relaxing Music © 2026 podcastbu.de
La tribune des critiques de disques France Musique
TECHNO TRIBE Techno Tribe Podcast
Johnny Hallyday de A à Z - Les Podcasts Eric Gallot
Manu sur NRJ : Le best-of NRJ France
Very Good Trip France Inter
La collection Georges Lang RTL
RFM Party Mix avec Yann Muller RFM
Tomorrowland Friendship Mix Tomorrowland - One World Radio
Le SuperShow NRJ NRJ France
Radio Funk | Mr Radio Funk Radio Funk
Cafe Mambo Ibiza - Mambo Radio Cafe Mambo Ibiza
Le Wake-up mix Mouv
RAGGA by JOY Erick Acuña
Desert Island Discs BBC Radio 4
SAXO EN NOCHE DE ROMANCE sorita67

