Filtrar por gênero

Afrika Ya Mashariki

Afrika Ya Mashariki

RFI Kiswahili

Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.

165 - Safari ya Sudan Kusini kuelekea uchaguzi wake mkuu wa kwanza
0:00 / 0:00
1x
  • 165 - Safari ya Sudan Kusini kuelekea uchaguzi wake mkuu wa kwanza

    Baada ya kusubiri kwa zaidi ya miaka 15 tangu kupata uhuru mwaka 2011, Sudan Kusini imepanga kufanya uchaguzi wake wa kwanza wa kitaifa tarehe 22 Desemba 2026. 

    Je, uchaguzi huo utafungua ukurasa mpya wa demokrasia au utaibua mzozo mwingine wa kisiasa katika taifa hilo changa zaidi barani Afrika?  

    Sat, 26 Sep 2026
  • 164 - EAC: Kesi za kisiasa au utawala wa kisheria

    Katika kipindi cha miaka ya karibuni, viongozi wa upinzani katika nchi mbalimbali za Afrika Mashariki wameendelea kujikuta mahakamani wakikabiliwa na tuhuma mbalimbali zikiwemo uhaini. 

    katika Makala ya Afrika Mashariki, tunaangazia mwenendo wa kesi zinazowakabili viongozi wa upinzani katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, je, ni ishara ya kuimarika kwa utawala wa sheria au kuna maswali yanayoendelea kuulizwa kuhusu ushindani wa kisiasa?

    Fri, 11 Sep 2026
  • 163 - Kenya yaanza safari ya kutafuta dira mpya, ruwaza ya 2030 ikielekea kufika ukomo

    Kenya imeanza safari ya kutafuta dira mpya ya maendeleo baada ya Ruwaza ya Taifa ya Maendeleo 2030 kuelekea kufikia ukomo wake.

    Safari hii inakuja wakati Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC, ikiwa na dira yake ya pamoja ya mwaka 2050, inayolenga kujenga ukanda wenye uchumi shindani, miundombinu iliyounganishwa, viwanda, biashara, ajira na maendeleo ya watu. 

    Fri, 21 Aug 2026
  • 162 - Tanzania: Nanenane imebaki maonesho ya kilimo au imegeuka soko la biashara?

    Tunaangazia mjadala kuhusu mustakabali wa maonesho ya nanenane nchini Tanzania. Je yaendelee kuwa jukwaa la teknolojia za kilimo pekee au yafungue milango kwa biashara zote?

    Wed, 12 Aug 2026
  • 161 - Safari ya Tohara ya kitabibu kutoka mila hadi afya ya umma

    Katika Makala ya wiki hii, tunaangazia safari ya Tohara ya kitabibu kutoka mila hadi afya ya umma.

    Sat, 01 Aug 2026
Mostrar mais episódios

Outros Podcasts de Notícias e Política