Podcasts by Category
Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.
- 124 - Ujumbe unaoandikwa kwenye vyombo vya usafiri katika mataifa ya AfrikaWed, 01 May 2024
- 123 - Tanzania:Juhudi za wabunifu katika kupunguza hewa ya ukaa kutunza mazingira
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Masuala na Utalii, katika taarifa ya misitu na ufugaji nyuki inabainisha kuwa mkaa ni chanzo kikubwa cha nishati ya kaya katika maeneo ya mijini kwa kupikia na kupasha joto, kwa kuwa inachukuliwa kuwa ya bei nafuu na inapatikanakwaurahisi.
Inakadiriwa kuwa asilimia 85 ya watu wote wa Tanzania kutegemea nishati ya majani. Nishati ya kupikia ndiyo inayoongoza kwa matumizi ya biomasi katika kaya ikilinganishwa na sekta nyingine kama vile ujenzi na kilimo sekta ya msingi.
Thu, 18 Apr 2024 - 122 - Fursa za uchumi wa buluu zilizopo katika Ziwa Victoria
Uchumi wa Buluu ni dhana pana yenye kubeba maana nzima ya kutumia kila rasilimali itokanayo na rasilimali maji kama Bahari, mito na maziwa.
Dhana hii ubeba shuguli mbalimbli ikiwemo utalii, uvuvi, kilimo cha mwani, bandari pamoja na mafuta na gesi zilizomo baharini au katika maziwa.
Kwa wakazi wa Jumuiya ya Afrika mashariki hasa katika mikoa inayo zunguka Ziwa.
Victoria kwa siku za usoni wanachangamkua fursa za uchumi wa buluu uliopo katika maeneo yao.
Dhana hii inatafsiriwa kwa kasi kwa siku za usoni na imekuwa ikitajwa kama ndio mharobaini wakuwanusua wananchi walio wengi kutoa katika mnyonyoro wa umasikini uliotopea.
Sat, 13 Apr 2024 - 121 - Magonjwa ya figo Afrika MasharikiWed, 03 Apr 2024
- 120 - Sehemu ya pili: Mradi wa kilimo unaofadhiliwa na AFD mjini Arusha
Mradi wa kilimo endelevu unatanua mbawa zake sio tu katika kilimo bali pia kuwajengea uwezo wakulima kufanya shuguli za ufugaji.
Mradi huu unatekelezwa kwa ufadhiri wa shirika la maendeleo la Ufaransa AFD katika mkoa wa Arusha nchini Tanzania unakwenda mbali zaidi hadi kuwafikia wanamazingira.
Mafuzo wanayopata wanasema yamekuwa chachu yakubadili Maisha yao kwani sasa wanamudu vyema kuwapatia Watoto wao elimu bora
Sat, 30 Mar 2024 - 119 - Utekelezaji wa miradi inayofadhiliwa na shirika la maendeleo la Ufaransa (AFD)Wed, 20 Mar 2024
- 118 - Changamoto zinazotokana na migumo ya wahudumu wa sekta ya usafiri AfrikaSat, 16 Mar 2024
- 117 - Simulizi ya maisha ya aliyekuwa rais wa Tanzania, Hayati Hassan MwinyiSat, 09 Mar 2024
- 116 - Heshima aliyopewa hayati Julius NyerereWed, 21 Feb 2024
- 115 - Tanzania: Simulizi ya maisha ya waziri mkuu wa zamani Edward LowassaThu, 15 Feb 2024
- 114 - Kufungwa kwa mpaka kati ya nchi za Rwanda na BurundiFri, 09 Feb 2024
- 113 - Harakati mpya za vikosi vya SADC mashariki ya DRCWed, 31 Jan 2024
- 112 - Muhula wa pili wa rais Felix Tshisekedi nchini DR CongoFri, 26 Jan 2024
- 111 - Kufunguliwa kwa shule nchini TanzaniaWed, 17 Jan 2024
- 110 - Hatua Somalia kujiunga na Jumuiya ya Afrika MasharikiFri, 01 Dec 2023
- 109 - Wanawake katika sanaa ya uchoraji nchini TanzaniaThu, 09 Nov 2023
- 108 - Uelewa wa wananchi wa Mwanza kuhusu mvua za El NinoWed, 01 Nov 2023
- 107 - Nishati inachangia asilimia kubwa kwa ukuaji wa Uchumi wa mataifaSat, 28 Oct 2023
- 106 - Biashara ya samaki na dagaa jijini Mwanza nchini Tanzania.Wed, 18 Oct 2023
- 105 - Tanzania: Jamii zinavyo shiriki katika utunzaji wa hifadhi ya RuahaWed, 11 Oct 2023
- 104 - Juhudi za kusambaza umeme nchini TanzaniaFri, 22 Sep 2023
- 103 - Nafasi ya muungano wa BRICS kwa mataifa ya AfrikaTue, 29 Aug 2023
- 102 - Vijana na ushiriki wa fursa ndani ya Afrika masharikiWed, 16 Aug 2023
- 101 - Juhudi za muungano wa makabila kusaka amani DRCThu, 10 Aug 2023
Podcasts similar to Afrika Ya Mashariki
- Conversations ABC listen
- El Partidazo de COPE COPE
- Herrera en COPE COPE
- The Dan Bongino Show Cumulus Podcast Network | Dan Bongino
- Es la Mañana de Federico esRadio
- La Noche de Dieter esRadio
- Dateline NBC NBC News
- 財經一路發 News98
- La rosa de los vientos OndaCero
- Más de uno OndaCero
- La Zanzara Radio 24
- L'Heure Du Crime RTL
- El Larguero SER Podcast
- Nadie Sabe Nada SER Podcast
- SER Historia SER Podcast
- Todo Concostrina SER Podcast
- 安住紳一郎の日曜天国 TBS RADIO
- アンガールズのジャンピン[オールナイトニッポンPODCAST] ニッポン放送
- 辛坊治郎 ズーム そこまで言うか! ニッポン放送
- 飯田浩司のOK! Cozy up! Podcast ニッポン放送
- 吳淡如人生實用商學院 吳淡如
- 武田鉄矢・今朝の三枚おろし 文化放送PodcastQR
Other News & Politics Podcasts
- Les Grosses Têtes RTL
- Hondelatte Raconte - Christophe Hondelatte Europe 1
- Laurent Gerra RTL
- L'œil de Philippe Caverivière RTL
- C dans l'air France Télévisions
- Enquêtes criminelles RTL
- Bercoff dans tous ses états Sud Radio
- L’heure du crime : les archives de Jacques Pradel RTL
- Hondelatte Raconte - Cote B Europe 1
- Les récits de Stéphane Bern Europe 1
- Lenglet-Co and You RTL
- Global News Podcast BBC World Service
- Gaspard Proust - Les signatures d'Europe 1 Europe 1
- LEGEND Guillaume Pley
- Les chroniques d'Arnaud Demanche RMC
- RTL Matin RTL
- C ce soir France Télévisions
- Face à Philippe de Villiers Europe1
- Apolline Matin RMC
- Pascal Praud et vous Europe 1