Podcasts by Category

Muziki Ijumaa

Muziki Ijumaa

RFI Kiswahili

Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.

171 - Muziki Ijumaa
0:00 / 0:00
1x
  • 171 - Muziki Ijumaa

    Katika kipindi hiki mtangazaji wa zamu anakuchezea kibao unachokipenda kwenye redio kila siku ya Ijumaa.

    Sat, 27 Apr 2024
  • 170 - Kwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipenda

    Florence Kiwuwa amekuchezea ombi lako kwenye makala ya wiki hii ya muziki Ijumaa.

    Fri, 19 Apr 2024
  • 169 - Muziki Ijumaa ,Burudani kabambe

    Kwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipenda.

    Fri, 26 Jan 2024
  • 168 - Miziki bora juma hili ndani ya Muziki Ijumaa na Florence Kiwuwa

    Kila Ijumaa unapata nafasi ya kuburundika ndani ya makala haya kwa kuomba muziki unaopenda.

    Fri, 22 Dec 2023
  • 167 - Burudani ya Muziki na Jupiter Mayaka

    Muziki hutoa hamasisho, elimu, burudani, husaidia kukumbuka mambo na pia huondoa msongo na kuboresha afya.

    Sat, 18 Nov 2023
Show More Episodes