Podcasts by Category

Habari RFI-Ki

Habari RFI-Ki

RFI Kiswahili

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

810 - Marekani kupendekeza suluhu kuhusu mzozo wa mashariki mwa DRC kwa njia ya mazungumzo
0:00 / 0:00
1x
  • 810 - Marekani kupendekeza suluhu kuhusu mzozo wa mashariki mwa DRC kwa njia ya mazungumzo
    Tue, 23 Apr 2024
  • 809 - Wito wa msaada w akibinadamu kwa mamilioni ya raia wa mashiriki mwa DRC

    Umoja wa Mataifa unaomba msaada wa haraka wa kibinadamu kuwasaidia raia wa DRC zaidi ya milioni nane walioathiriwa na utovu wa usalama mashariki mwa nchi yao.

    Tue, 23 Apr 2024
  • 808 - Maoni yako kwenye mada huru makala habari rafiki
    Fri, 29 Mar 2024
  • 807 - Mgombea wa upinzani Bassirou Diomaye Faye mwenye umri wa miaka 44 ashinda uchaguzi nchini Senegal
    Wed, 27 Mar 2024
  • 806 - Mgomo wa madaktari nchini Kenya, na sekta ya afya katika mataifa ya Afrika.

    Kwa karibu wiki mbili sasa, madaktari nchini Kenya wamekuwa kwenye mgomo kulalamikia mazingira ya kazi na kushinikiza kuajiriwa kwa madaktari zaidi.

    Hali kama hii ya mgomo pia ikishuhudiwa katika miezi ya hivi karibuni nchini Nigeria.

    Hali katika sekta ya afya nchini mwako ikoje?

    Serikali za Afrika zifanye nini kuepusha migomo kwenye sekta ya afya?

    Tue, 26 Mar 2024
Show More Episodes