Filtra per genere

Habari RFI-Ki

Habari RFI-Ki

RFI Kiswahili

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

1162 - Maoni ya wasikilizaji kuhusu matukio mbalimbali ulimwenguni juma hili
0:00 / 0:00
1x
  • 1162 - Maoni ya wasikilizaji kuhusu matukio mbalimbali ulimwenguni juma hili

    Kila siku ya Ijumaa tunakupa nafasi uzungumzie jambo ambalo umeliwazia wiki hii au pia habari kuu ulizozisikia katika matangazo yetu ya juma hili.

    Fri, 02 Oct 2026
  • 1161 - Manufaa ya kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu nchini Kenya.

    Makala haya yameangazia mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu nchini Kenya, kitakachojengwa na Bilionea wa Afrika, Aliko Dangote, kiwanda hiki kikitarajiwa kukamilika ndani ya miaka mitatu na kitagharimu Dola za Marekani Bilioni 16.

    Tumeuliza msikilizaji anazungumziaje uwekezaji huu, hasa kwakuwa unafanywa na raia wa Afrika.

    Fri, 02 Oct 2026
  • 1160 - Mbona matukio ya ukatili na mauaji ya wanawake yameongezeka Afrika?

    Wiki hii visa vya wanawake kudhulumiwa na kuuwawa katika baadhi ya mataifa ya Afrika vimekuwa vikiongezeka, matukio ya karibuni ni kupatikana kwa miili zaidi ya 11 ya wanawake waliouawa nchini Afrika Kusini.

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu yanazitaka nchi kukomesha vitendo hivyo.

    Tumemuuliza msikilizaji wa RFI Kiswahili, anafikiri kwa nini licha ya karne tuliyoko matukio ya ukatili wa wanawake yanaendelea na katika taifa lake hali ikoje.

    Fri, 02 Oct 2026
  • 1159 - Hatua ya rais Salva Kiir kuvunja serikali ya mpito kuelekea uchaguzi wa Disemba
    Fri, 25 Sep 2026
  • 1158 - Wafanyakazi wa umma hadi elfu 10 nchini Kenya walipata ajira kwa udanganyifu

    Idadi kubwa ni wale ambao wameajiriwa na bunge na tume ya uchaguzi na mipaka

    Thu, 24 Sep 2026
Mostra altri episodi

Altri podcast di Notizie e Politica