Filtrer par genre

Nyumba ya Sanaa

Nyumba ya Sanaa

RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa ni Makala ya  Utamaduni ambayo inatoa fursa  kwa wasanii  na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.

262 - Ushairi wa kisasa na Paul Mejooly
0:00 / 0:00
1x
  • 262 - Ushairi wa kisasa na Paul Mejooly

    Paul Mejooly alianza kutunga Mashairi akiwa Shuleni sasa ni Biashara inayomuingizia kipato, Tumezungumza naye kwenye Makala ya Nyumba ya sanaa.
     

    Sat, 19 Sep 2026
  • 261 - Zanzibar: Taarab asilia na Qudara Gwingwi

    Egyptian Taarab hii Bendi ya Muziki wa taarab, mzizi wa muziki wa Taarab unaofahamika leo katika Mwambao wa Afrika Mashariki, hasa visiwani Zanzibar,katika Makala ya Nyumba ya Sanaa wiki hii utamsikia Qudra Gwingwi Muimbaji wa bendi hiyo.

    Sat, 05 Sep 2026
  • 260 - Sanaa ya nyimbo za asili na kundi la hiari ya moyo

    Sanaa ya nyimbo za asili inaanzia mbali, tangu enzi za utawala wa kimila. Kutana na kundi la Hiari ya Moyo maarufu Mwanamile katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.

    Sat, 22 Aug 2026
  • 259 - Tanzania: Muziki wa reggae Asilia na Ramadhani Yahaya Shaaban

    Ramadhani Yahaya Shaaban Mwanamuziki wa Reggae aliyechanganya na Vionjo vya kabilala Wazaramo anajivunia sanaa ya Muziki wa Asili Tanzania.

    Sat, 15 Aug 2026
  • 258 - Uchoraji wa pembe (Qubical Drawings) na Maria Magige kutoka Daria Arts

    Uchoraji wa pembe(Qubical Drawings) ni sanaa inayozingatia uwasilishwaji wa ujumbe zaidi kuliko uhalisia wa picha.

    Katika makala ya Nyumba ya Sanaa juma hili tumezungumza na Maria Magige kutoka Daria Arts.

    Sat, 08 Aug 2026
Afficher plus d'épisodes