Filtrar por gênero
- 2236 - Serikali ya Kenya yaanza juhudi mahsusi zikijumuisha idara na mashairika kadhaa kukabiliana na athari za mvua kubwa zinazoendelea - Aprili 26, 2024Fri, 26 Apr 2024 - 29min
- 2235 - Amnesty International yazisuta Zimbabwe, DRC na Ethiopia kwa rekodi mbaya ya haki za binadamu - Aprili 25, 2024
Ripoti ya kila mwaka ya shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, inaonyesha hali bado ni mbaya nchini Zimbabwe, DRC na Ethiopia, licha ya kuisifu Zimbabwe kwa kutekeleza sheria kulinda watoto dhidi ya mimba za mapema.
Thu, 25 Apr 2024 - 29min - 2234 - Benki ya Dunia yasitisha ufadhili wa mradi wa utalii na uhifadhi nchini Tanzania - Aprili 24, 2024Wed, 24 Apr 2024 - 29min
- 2233 - Historia yaandikwa baada ya Donald Trump kuwa rais wa zamani kusimama kizimbani - Aprili 23, 2024
Historia iliaandikwa jana Jumatatu pale, rais wa zamani wa Marekani, alijipata kizimbani, kwenye mahakama moja mjini New York, na kupinga vikali mashtaka ya kashfa ya kuzuia taarifa kuhusu maisha yake ya kibinafsi, kuwekwa wazi, ili zisiathiri vibaya nafasi yake ya kushinda uchaguzi wa rais.
Tue, 23 Apr 2024 - 29min - 2232 - Hoja za ufunguzi zatarajiwa kusikilizwa katika kesi inayomkabili Donald Trump New York - Aprili 22, 2024Mon, 22 Apr 2024 - 30min
- 2231 - Israeli imeishambulia Iran - Maafisa wa Marekani - Aprili 19, 2024Fri, 19 Apr 2024 - 30min
- 2230 - Uhaba mkubwa wa petroli washuhudiwa visiwani Zanzibar - Aprili 18, 2024Thu, 18 Apr 2024 - 30min
- 2229 - Watalaam wa hali ya hewa watoa sababu ya mvua kubwa Tanzania - Aprili 17, 2024Wed, 17 Apr 2024 - 29min
- 2228 - Jeshi la Afrika Kusini laongeza muda wa kutumwa kwa wanajeshi wake Msumbiji na DRC - Aprili 16, 2024Tue, 16 Apr 2024 - 30min
- 2227 - Trump anaelekea mahakamani akiwa rais wa kwanza aliyetoka madarakani kukabiliwa na mashtaka ya jinai - Aprili 15, 2024
Trump anaelekea mahakamani akiwa rais wa kwanza aliyetoka madarakani kukabiliwa na mashtaka ya jinai
Mon, 15 Apr 2024 - 30min - 2226 - Kwa nini kifo cha OJ Simpson kimeibua mjadala kuhusu mahusiano ya rangi Marekani? - Aprili 12, 2024
Nyota wa zamani wa Ligi ya Mpira wa Marekani NFL na mcheza filamu ambaye alifutiwa mashtaka ya mauaji ya mkewe na rafiki yake wa kiume katika kesi iliyoteka Marekani na dunia amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76.
Fri, 12 Apr 2024 - 29min - 2225 - Mashirika 160 yamwandikia Biden kutaka DRC ijumuishwe kwenye mpango wa hadhi maalum kwa sababu za ukosefu wa usalama - Aprili 11, 2024
Mashirika 160 yamwandikia Biden kutaka DRC ijumuishwe kwenye mpango wa hadhi maalum kwa sababu za ukosefu wa usalama
Thu, 11 Apr 2024 - 30min - 2224 - Kikosi cha Kichina cha Monusco chaondoka DRC baada ya maika 21 - Aprili 10, 2024Wed, 10 Apr 2024 - 29min
- 2223 - Kauli ya Netanyahu kuhusu operesheni ya ardhini Rafah yazua mashaka kwa waptanishi mjini Cairo - Aprili 09, 2024
Kauli ya Netanyahu kuhusu operesheni ya Rafah imeibua mashaka kwa waptanishi mjini Cairo huku Marekani ikimkemea na kusema haiungi mkono msimo wake.
Tue, 09 Apr 2024 - 29min - 2222 - Maswali yaendelea kuulizwa miaka 30 baada ya mauaji ya kimbari kufanyika Rwanda - Aprili 08, 2024
Baadhi ya viongozi wa nchi na serikali waliohudhuria kumbukumbu ya mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi wa Rwanda miaka 30 iliyopita wamesema hadi sasa, licha ya kubainika kuwa ulimwengu ulishindwa kuzuia mauaji hayo, bado dunia haijajifunza kutokana na kilichotokea wakati huo.
Mon, 08 Apr 2024 - 29min - 2221 - Israel yafungua njia zaidi za misaada kwa Wapalestina muda mfupi baada ya mazungumzo ya simu kati ya Biden na Netanyahu - Aprili 05, 2024Fri, 05 Apr 2024 - 29min
- 2220 - Zimbabwe yaomba msaada wa dola bilioni 2 kukabiliana na uhaba wa chakula - Aprili 04, 2024Thu, 04 Apr 2024 - 29min
- 2219 - Rais mpya wa Senegal Faye amteua mshirika wake Ousmane Sonko kama waziri mkuu - Aprili 03, 2024Wed, 03 Apr 2024 - 29min
- 2218 - Wanajeshi wa Afrika Kusini waliopelekwa DRC walalamika kuwa hawana vifaa vya kutosha - Aprili 02, 2024Tue, 02 Apr 2024 - 29min
- 2217 - Makazi ya waziri mkuu wa Libya yashambuliwa kwa guruneti - Aprili 01, 2024Mon, 01 Apr 2024 - 30min
- 2216 - Jumuiya ya SADC 'yasikitishwa' na hatua ya Rwanda kupinga ufadhili wa ujumbe wa kulinda amani DRC - Machi 29, 2024Fri, 29 Mar 2024 - 30min
- 2215 - Mili ya watu wawili yaopolewa karibu na daraja lililobomolewa na meli Baltimore - Machi 28, 2024Thu, 28 Mar 2024 - 30min
- 2214 - Marekani: Mamlaka za Baltimore zasitisha shughuli za kutafuta manusura wa ajali ya meli - Machi 27, 2024
Gavana wa Jimbo la Maryland, Wes Moore, ameweka wazi kuwa hapakuwa na kitendo chochote cha kigaidi baada ya daraja kuu katika mji wa Baltimore kubomoka Jumanne asubuhi wakati meli iliyobeba mizigo kugonga nguzo yake.
Wed, 27 Mar 2024 - 29min - 2213 - Senegal: Bassirou Faye aahidi wananchi kwamba ataongoza kwa unyeyekevu na uwazi - Machi 26, 2024
Mgombea urais kwa tikiti ya upinzani wa Senegal Bassirou Diomaye Faye, mgeni kisiasa, lakini ambaye ni maarufu miongoni mwa vijana wasioridhishwa na utawala uliopo, aliahidi Jumatatu kutawala kwa unyenyekevu na uwazi, wakati akisubiri kutangazwa kuwa rais ajaye.
Tue, 26 Mar 2024 - 29min - 2212 - Kura zaendela kuhesbiwa Senegal huku wafuasi wa mgombea kwa tikiti ya upinzani wakishangilia "ushindi" mitaani - Machi 25, 2024
Hesabu za kwanza katika vituo vya kupigia kura katika uchaguzi wa rais uliocheleweshwa nchini Senegal Jumapili zinaonyesha mgombea wa upinzani Bassirou Diomaye Faye akiongoza. Wafuasi wake walianza kusherekea mitaani baada ya siku ya amani ya uchaguzi ambayo wengi wanatumaini utaleta mabadiliko.
Mon, 25 Mar 2024 - 30min - 2211 - DRC, nchi yenye maji mengi na misitu mikubwa lakini raia bado wanakabiliwa na uhaba wa maji - Machi 22, 2024Fri, 22 Mar 2024 - 30min
- 2210 - Miji mikubwa ya DRC inakabiliwa na joto kali ambalo halijawahi kushuhudiwa - Machi 21, 2024Thu, 21 Mar 2024 - 29min
- 2209 - Madereva wa mabasi nchini Kenya kufanya tena mtihani wa kuendesha gari - Machi 20, 2024Wed, 20 Mar 2024 - 30min
- 2208 - DRC na China zaingia makubaliano ya uwekezaji wa dola bilioni 7 kwenye sekta ya miundombinu - Machi 19, 2024Tue, 19 Mar 2024 - 29min
- 2207 - EU na Misri waingia makubaliano ya Euro bilioni 7.4 kuzalisha nishati na kukabiliana na uhamiaji - Machi 18, 2024Mon, 18 Mar 2024 - 30min
- 2206 - Baadhi ya wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa waanza kuondoka Haiti huku hali ya sintofahamu ikitanda - Machi 15, 2024
Umoja wa Mataifa umeanza kuwaondowa wafanyakazi wake wasio na majukumu muhimu nchini Haiti kutokana na kuongezeka kwa ghasia na ukosefu wa usalama katika taifa hilo la Caribean.
Fri, 15 Mar 2024 - 29min - 2205 - Mswada ambao huenda ukaipiga marufuku TikTok Marekani wapitishwa na Baraza la Wawakilishi - Machi 14, 2024
Baraza la Wawakilishi la Marekani, Jumatano liliidhinisha mswada, wa kuilazimisha programu maarufu ya mtandao wa kijamii, TikTok, kujitenga na kampuni mama, inayomilikiwa na China, ya ByteDance au kuuza sehemu ya programu hiyo kwa Marekani.
Thu, 14 Mar 2024 - 29min - 2204 - Mchakato wa Kenya kutuma polisi Haiti wasitishwa hadi uongozi wa kisiasa uimarike - Machi 13, 2024Wed, 13 Mar 2024 - 29min
- 2203 - Marekani yasema yawekea vikwazo mtandao mpana wa taasisi, makampuni na watu binafsi, inaosema unafadhili wanamgambo wa al-Shabaab - Machi 12, 2024
Afisi ya Wizara ya Fedha ya Marekani inayohusika na Udhibiti wa Mali za Kigeni (OFAC), Jumatatu imeyawekea vikwazo mashirika 16 na watu binafsi, ambao inasema wanahusika katika mtandao mpana wa biashara unaozunguka Pembe ya Afrika, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Cyprus.
Tue, 12 Mar 2024 - 30min - 2202 - Waislamu kuanza mfungo wa Ramadhan Jumatatu - Machi 11, 2024Mon, 11 Mar 2024 - 29min
- 2201 - Rais Joe Biden asifu mafanikio ya utawala wake miezi michache kabla ya uchaguzi wa rais - Machi 08, 2024Fri, 08 Mar 2024 - 29min
- 2200 - Wamiliki wa shule binafsi nchini Tanzania walalamikia kodi kubwa - Machi 07, 2024Thu, 07 Mar 2024 - 30min
- 2199 - Biden na Trump waongoza bila pingamizi katika uchaguzi wa mchujo, maarufu Super Tuesday - Machi 06, 2024Wed, 06 Mar 2024 - 30min
- 2198 - Marekani ina matumaini kuwa sitisho la mapigano katika vita vya Gaza linaweza kupatikana kabla ya Ramadhani - Machi 05, 2024Tue, 05 Mar 2024 - 29min
- 2197 - Makamanda wa majeshi ya SADC wakutana kujadili mbinu za kupambana na waasi wa M23 - Machi 04, 2024Mon, 04 Mar 2024 - 30min
- 2196 - Afrika Mashariki yamkumbuka Hayati Ali Hassan Mwinyi aliyeaga dunia Alhamisi - Machi 01, 2024
Ali Hassan Mwinyi, ambaye katika awamu mbili kama rais wa Tanzania alisimamia kuanzishwa kwa demokrasia ya vyama vingi na kuanzishwa kwa uchumi huria, amefariki akiwa na umri wa miaka 98.
Fri, 01 Mar 2024 - 30min - 2195 - Marekani yakosoa vikali mswada unaotoa adhabu kali kwa wapenzi wa jinsia moja Ghana - Februari 29, 2024
Marekani Jumatano ilisema "imefadhaishwa mno" na kupitishwa kwa mswada wa sheria kali dhidi ya wapenzi wa jinsia moja, na bunge la Ghana, na kuhimiza utathminiwe upya, ili kubaini kama unafuata katiba ya nchi hiyo.
Thu, 29 Feb 2024 - 29min - 2194 - Watu 31 wafariki katika ajali ya barabarani nchini Mali - Februari 28, 2024
Watu 31 walifariki nchini Mali Jumanne na wengine 10 kujeruhiwa wakati basi lililokuwa linasafiri kuelekea Burkina Faso lilipoanguka kutoka kwenye daraja kusini mashariki mwa nchi hiyo, wizara ya uchukuzi ilisema.
Wed, 28 Feb 2024 - 30min - 2193 - Hatimaye Hungary yaidhinisha Sweden kujiunga na NATO - Februari 27, 2024
Sweden inatarajiwa kujiunga rasmi na NATO katika siku au wiki zijazo, baada ya Hungary hatimaye kutoa idhini yake siku ya Jumatatu – mwanachama wa mwisho kufanya hivyo.
Tue, 27 Feb 2024 - 29min - 2192 - ,Maoni mseto baada ya ECOWAS kuiondolea vikwazo serikali ya kijeshi ya Niger - Februari 26, 2024
Jumuiya ya kiuchumi ya Ukanda wa Afrika Magharibi, ECOWAS, Jumamosi iliondoa baadhi ya vikwazo ilivyokuwa imeiwekea Nige,r baada ya mapinduzi ya kijeshi ya mwaka jana, yaliyomuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum.
Mon, 26 Feb 2024 - 30min - 2191 - Rais wa Senegal athibitisha kuwa muhula wake utakamilika Aprili 2 - Februari 23, 2024Fri, 23 Feb 2024 - 30min
- 2190 - Wapinzani 15 wa Macky Sall wa Senegal wamtaka atangaze uchaguzi wa rais haraka - Februari 22, 2024
Wagombea 15 kwenye uchaguzi ulioahirishwa nchini Senegal wamemshtumu Rais Macky Sall kuwa na nia mbaya na wameapa kuchukua hatua kuhakikisha tarehe mpya ya uchaguzi inatangazwa kwa haraka.
Thu, 22 Feb 2024 - 30min - 2189 - Wauzaji na wakulima wa miraa nchini Uganda walalamikia sheria mpya ya dawa za kulevya - Februari 21, 2024Wed, 21 Feb 2024 - 29min
- 2188 - Russia inaweza kuteka miji ya Ukraine ikiwa Marekani itachelewa kutoa msaada wa kijeshi kwa Ukraine-mchambuzi - Februari 20, 2024Tue, 20 Feb 2024 - 30min
- 2187 - Rais Samia azindua sanamu la Julius Nyerere kwenye makao makuu ya AU, mjini Addis Ababa - Februari 19, 2024Mon, 19 Feb 2024 - 29min
Podcasts semelhantes a Alfajiri - Voice of America
- Global News Podcast BBC World Service
- El Partidazo de COPE COPE
- Herrera en COPE COPE
- The Dan Bongino Show Cumulus Podcast Network | Dan Bongino
- Es la Mañana de Federico esRadio
- La Noche de Dieter esRadio
- Hondelatte Raconte - Christophe Hondelatte Europe 1
- Curiosidades de la Historia National Geographic National Geographic España
- Dateline NBC NBC News
- 財經一路發 News98
- La rosa de los vientos OndaCero
- Más de uno OndaCero
- La Zanzara Radio 24
- L'Heure Du Crime RTL
- El Larguero SER Podcast
- Nadie Sabe Nada SER Podcast
- SER Historia SER Podcast
- Todo Concostrina SER Podcast
- 安住紳一郎の日曜天国 TBS RADIO
- アンガールズのジャンピン[オールナイトニッポンPODCAST] ニッポン放送
- 辛坊治郎 ズーム そこまで言うか! ニッポン放送
- 飯田浩司のOK! Cozy up! Podcast ニッポン放送
- 吳淡如人生實用商學院 吳淡如
- 武田鉄矢・今朝の三枚おろし 文化放送PodcastQR