Filtra per genere
Haraka sana ilienea kote Italia, tayari katika miaka ya 90, uzoefu huu wa kipekee wa redio uliamsha shauku katika sehemu zingine za ulimwengu. Baadaye, kila mara chini ya uelekezi na usaidizi wa Radio Maria Italia, Radio Maria nyingine iliibuka Amerika (kuanzia na Peru), Afrika (kwanza Burkina Faso), sehemu nyingine za Ulaya… na hivyo Familia ya Ulimwengu ya Radio Maria ilizaliwa mnamo Juni 1998, na kuwa NGO inayotambuliwa na UN, yenye makao makuu ya kisheria huko Roma. Madhumuni yake ni kuendeleza mradi wa kimisionari, kujibu maombi yanayotoka katika maeneo yote ya dunia, kuhakikisha uhalisi wa chapa, kutoa usaidizi wa kiufundi kwa RM zote, na kukuza mabadilishano na usaidizi kati ya kila redio. Familia ya Ulimwengu inadumisha mahusiano ya mara kwa mara ya taarifa na Baraza la Kipapa la Mawasiliano ya Kijamii la Kiti Kitakatifu
- 1687 - KIPINDI HEWANI: MAISHA NI SAFARI – BI JUMBE – 2Tue, 25 Aug 2026 - 54min
- 1686 - URAIBU: BAADA YA KUACHANA NA URAIBU WAKE AFANYE NINI
KIPINDI HEWANI: URAIBU MADA:BAADA YA KUACHANA NA URAIBU WAKE AFANYE NINI MTOA MADA: PADRE RICHARD MATANDA TESHA
Tue, 25 Aug 2026 - 55min - 1685 - IJUE AFYA: KUELEWA AFYA YA AKILI NA KUTOFAUTISHA NA UGONJWA WA AKILI
KIPINDI HEWANI: IJUE AFYA MTANGAZAJI:PETER NA WILSON KIMARO MADA:KUELEWA AFYA YA AKILI NA KUTOFAUTISHA NA UGONJWA WA AKILI MTOA MADA NI: DR ROSE CHARLES KUTOKA IDARA YA SAIKOLOJIA HOSPITALI YA RUFAA YA MOA IFAKARA KILIRUKA HEWANI: AUGUST 20 2026
Tue, 25 Aug 2026 - 41min - 1684 - Malezi na Makuzi: Nafasi ya Mtoto wa Kiume Katika Jamii
Kipindi hewani: Malezi na Makuzi Mada:Nafasi ya Mtoto wa Kiume Katika Jamii Mwezeshaji ni Mwalimu Kusoka Waziri Kutoka Shule ya Sekondari Nyegina Jimbo Katoliki Musoma. Kilirushwa hewani: Agosti 20, 2026
Tue, 25 Aug 2026 - 42min - 1683 - Chakula na Lishe: Ushiriki wa Wanaume katika Lishe ya Mama Mjamzito na Mama anayenyonyesha
Kipindi Hewani: Chakula na Lishe Mada:Ushiriki wa Wanaume katika Lishe ya Mama Mjamzito na Mama anayenyonyesha Mwezeshaji ni Bi Abela Twinomujuni Afisa Lishe Mwandamizi Mtafiti kutoka TFNC
Tue, 25 Aug 2026 - 52min - 1682 - Ijue Sheria: Mgawanyo wa Mali ndoa inapovunjika
Kipindi hewani: Ijue Sheria Mtangazaji: Elizabeth Masanja Mada:Mgawanyo wa Mali ndoa inapovunjika Kilirushwa hewani: Agosti 17, 2026
Tue, 25 Aug 2026 - 50min - 1681 - Pro Life: Familia Tiba ya Majeraha ya Ulimwengu
KIPINDI HEWANI: PRO LIFE Mada:Familia Tiba ya Majeraha ya Ulimwengu Mtangazaji: Elizabeth Masanja Kilirushwa hewani: Agosti 18, 2026
Tue, 25 Aug 2026 - 55min - 1680 - Je, kitu kinachoweza kukubalika na Jamii kinaweza kuwa na Madhara kwa Mtu?
KIPINDI HEWANI: URAIBU Mada:Je kitu kinachoweza kukubalika na Jamii kinaweza kuwa na Madhara kwa Mtu? Kilirushwa hewani: Agosti 18, 2026
Tue, 25 Aug 2026 - 56min - 1679 - Fahamu mambo sita muhimu kuliko fedha
Karibu katika kipindi cha Tafakari Nasi, tunaungana na Padre John Bosco, Paroko Msaidizi wa Parokia ya Kilimahewa, Jimbo Kuu la Dar es Salaam akitutafakarisha juu ya mambo sita bora na muhimu kuliko fedha, umaarufu na madaraka.
Thu, 20 Aug 2026 - 25min - 1678 - Fahamu umuhimu wa AMECEA 2026 kwa Vijana
Ungana nami Mtanagzaji wako Festo Chahali katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Isimani na Mkurugenzi wa Utume wa Walei Jimbo Katoliki Iringa akiendelea kutufundisha juu ya umuhimu wa Amecea 2026 kwa Vijana
Thu, 20 Aug 2026 - 52min - 1677 - Fahamu umuhimu wa Amecea 2026 kwa Vijana
Ungana nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Isimani na Mkurugenzi wa Utume wa Walei, Jimbo Katoliki Iringa akitufundisha juu ya Amecea na Vinaja.
Thu, 20 Aug 2026 - 59min - 1676 - Je, unafahamu Tanzania kuna jumla ya Majimbo Katoliki Mangapi?
Karibu uungane nami Paschal Tibanga katika kipindi cha Historia ya Kanisa, Mwezeshaji ni Mhashamu Method Kilaini, Askofu Msaidizi Mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoka akiendelea kujibu maswali ya msikilizaji na moja la maswali hayo ni je, Tanzania kuna jumla ya majimbo mangapi Katoliki?
Thu, 20 Aug 2026 - 54min - 1675 - Je, Mtu akibatizwa katika dhehebu lingine anaweza kubatizwa tena?
Karibu uungane nami Partick Tibanga katika kipindi cha Historia ya Kanisa, ambapo leo studio nipo na Mhashamu Method Kilaini, Askofu Msaidizi Mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoba akiendelea kujibu maswali ya wasikilizaji wetu, moja ya swali alilojibu ni je, mtu akibatizwa katika dhehebu lingine awaweza kubatizwa tena?
Thu, 20 Aug 2026 - 53min - 1674 - UMUHIMU WA UNYONYESHAJI WA MAZIWA YA MAMA
MWEZESHAJI NI AFISA UTAFITI MWANDAMIZI COSTECH KUTOKA OFISI YA MFUKO WA TAIFA WA UENDELEZAJI WA SAYANSI NA TEKNOLOJIA NTUFYE MWAKIGONJA CHAKULA NA LISHE AUGUST 13 MADA;UMUHIMU WA UNYONYESHAJI WA MAZIWA YA MAMA MWEZESHAJI NI NUSURA SALUMU KUTOKA TFNC
Mon, 17 Aug 2026 - 55min - 1673 - FAMILIA TIBA YA MAJERAHA YA ULIMWENGU
KIPINDI HEWANI: PRO LIFE MADA: FAMILIA TIBA YA MAJERAHA YA ULIMWENGU MADA NDOGO: MAANA YA FAMILIA MTANGAZAJI: PENDO STEPHANO
Thu, 13 Aug 2026 - 55min - 1672 - ASILI YA TAMAA NA URAIBUThu, 13 Aug 2026 - 59min
- 1671 - Nidhamu na adabu katika Malezi ya Mtoto
Kipindi: Walinde watoto Mada: Nidhamu na adabu katika malezi ya mtoto Mwezeshaji ni Padre Dr Peter Siamoo Mtangazaji: Elizabeth Masanja
Thu, 30 Jul 2026 - 57min - 1670 - Uraibu unajengwa kwa muda gani?
Kipindi cha Uraibu kinaruka saa tatu usiku Mada: Uraibu unajengwa kwa muda gani? Mwezeshaji ni Padre Richard Matanda Tesha kutoka Jimbo la Moshi
Thu, 30 Jul 2026 - 59min - 1669 - BUSTANI TIBA UHUSIANO ULIOPO KATI YA VIUMBE NA MWILI WA BINADAMU
KIPINDI ELIMU JAMII MTANGAZAJI PETER ALPHAXAD MADA:MGENI SISTER ANJELA JEREMIAH MKURUGENZI WA ANTONIA VERNA REHABILITATION CENTER
Thu, 30 Jul 2026 - 45min - 1668 - “Kwa nini Katika Thamani ya Ndoa akitoka Mungu hufuata mwenza wa Ndoa wakiachwa wengine pamoja na Wazazi kufuata baadaye???”
Kipindi: FAMILIA BORA NYUMBA AMINIFU Mada: “Kwa nini Katika Thamani ya Ndoa akitoka Mungu hufuata mwenza wa Ndoa wakiachwa wengine pamoja na Wazazi kufuata baadaye???” Mtangazaji: Festo Chahali
Mon, 27 Jul 2026 - 55min - 1667 - Haki ya Mtuhumiwa Wakati wa Kukamatwa na Wakati wa kupekuliwaWed, 22 Jul 2026 - 57min
- 1666 - Je, Damu ya Yesu ina thamani gani kwa hadhi ya mwanadamu?
Damu Azizi ya Kristo si alama tu ya mateso yake, bali ni chemchemi ya ukombozi, upatanisho na heshima mpya kwa kila mwanadamu. Katika kipindi hiki, Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu – Sauti ya Faraja, anafafanua kwa kina uhusiano kati ya Damu Azizi ya Kristo na hadhi ya mwanadamu kwa mwanga wa imani […]
Mon, 20 Jul 2026 - 43min - 1665 - Kama Bikira Maria alikuwa ameweka nadhiri ya ubikira, kwa nini alikubali kuposwa na Yosefu?
Je, inawezekanaje Bikira Maria awe ameweka nadhiri ya ubikira na wakati huo huo akakubali kuposwa na Yosefu? Swali hili limekuwa likiulizwa na waamini wengi kwa karne nyingi. Katika kipindi hiki, Frateri Ayuto Kongo kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho anafafanua kwa kina suala hili kwa kuzingatia Maandiko Matakatifu, mapokeo ya Kanisa na mafundisho ya […]
Mon, 20 Jul 2026 - 26min - 1664 - Neno “Ibada” katika muktadha wa Kikristo linaelewekaje?
Katika kipindi hiki, Frateri Ayuto Kongo kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho anafafanua maana ya neno ibada katika muktadha wa Kikristo, akieleza msingi wake katika imani na namna linavyopaswa kuonekana katika maisha ya kila siku. Karibu utazame
Mon, 20 Jul 2026 - 28min - 1663 - Nena Nami Bwana na Askofu Almachius Vincent Rweyongeza
Karibu kusikiliza kipindi cha Nena Nami Bwana, ambapo Askofu Almachius Vincent Rweyongeza anatafakari Neno la Mungu na kutoa mafundisho yanayolenga kuimarisha imani, matumaini na upendo katika maisha ya kila siku ya Mkristo. Tunakukaribisha usikilize tafakari hii, uibariki kwa kuishiriki na wengine, na usisahau kujiunga na chaneli yetu ili kuendelea kupokea mafundisho na vipindi vingine vya […]
Mon, 20 Jul 2026 - 47min - 1662 - Maisha ni Safari: Msimuliaji Stephano anaelezea kwa undani zaidi
KIPINDI HEWANI: MAISHA NI SAFARI Mada: Maisha ya Stephano Mtangazaji: Martin Joseph Siku: Ijumaa Julai 17, 2026
Fri, 17 Jul 2026 - 47min - 1661 - Wajibu wa Mawakili wa Kujitegemea kwa mahakama,wateja na Umma
Kipindi Hewani: Ijue Sheria Mada:Wajibu wa Mawakili wa Kujitegemea kwa mahakama,wateja na Umma wageni/wawezeshaji Mheshimiwa Nives Mahuwi Hakimu Mkazi na Mheshimiwa Rose Haule Hakimu Mkazi Eneo: Mahakama ya mwanzo Bomani Studio Elizabeth Masanja
Wed, 15 Jul 2026 - 52min - 1660 - Pro – Life: Malezi na Usafi wa Moyo
KIPINDI – PRO LIFE Mada ndogo Usafi wa Moyo Wawezeshaji ni Wanapro life Tanzania Studio: Pendo Stephano
Wed, 15 Jul 2026 - 50min - 1659 - Madhara ya kutomsikiliza mtoto aliyenyanyaswa UkubwaniSat, 11 Jul 2026 - 58min
- 1658 - Taratibu za Wadaawa kuwakilishwa na Mawakili wa Kujitegemea katika Mahakama za Mwanzo
KIPINDI: IJUE SHERIA
📅 Kila Jumatatu saa 8:00 mchana
Kipindi hiki kilirushwa Jumatatu, tarehe 6 Julai 2026.
Mada: Taratibu za wadaawa kuwakilishwa na mawakili wa kujitegemea katika Mahakama za Mwanzo.
🎙️ Mwezeshaji: Mheshimiwa Hekima Nyalusi, Hakimu Mkazi katika Mahakama ya Mwanzo Bomani, Mkoa wa Iringa.Sat, 11 Jul 2026 - 49min - 1657 - Namna ya kumsilikiza mtoto aliyejeruhiwa Kimwili au kingono
Karibu usikilize Kipindi cha Walinde watoto Mwezeshaji ni Davis John kutoka Chuo Kikuu Kikatoliki Mwenge Jimbo Katoliki Moshi Mada ni Namna ya kumsilikiza mtoto aliyejeruhiwa Kimwili au kingono Mtangazaji Elizabeth Masanja Tarehe 19 Aprili 2026
Fri, 08 May 2026 - 55min - 1656 - Tujifunze juu ya mtoto kabala ya kumpatia ushauri nasaha.
Karibu usikilize Kipindi cha Walinde watoto Padre Peter Siamo kutoka Chuo Kikuu Kikatoliki Mwenge Jimbo Katoliki Moshi Swali ni Ushauri nasaha kwa watoto Mtangazaji Peter Alphaxad. Tarehe 29 Machi 2026
Fri, 08 May 2026 - 59min - 1655 - Maandalizi ya familia na Sakramenti ya kitubio kuelekea Pasaka.
Karibu usikilize Kipindi cha Familia Bora nyumba Aminifu. Mada ni Tafakari ya kipindi cha Kwaresima? Tarehe 15 Machi 2026
Fri, 08 May 2026 - 46min - 1654 - Hii ndiyo njia ya utoaji ripoti juu ya unyanyasaji wa watoto
Karibu usikilize Kipindi cha Walinde watoto Wawezeshaji ni Sista Mariselina John na Sista Patricia Kijuu Mada ni Utoaji ripoti juu ya unyanyasaji wa watoto Mtangazaji Elizabeth Masanja Tarehe 01 Machi 2026
Fri, 08 May 2026 - 56min - 1653 - Fahamu faida za kanunia ya imani
Karibu usikilize Ujumbe wa Biblia. Mwezeshaji ni Padre Titus Amigu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino-SAUT,Jimbo Kuu Katoliki Mwanza. Mada ni Maadaui wanne wa mwanadamu Tarehe 02 Machi 2026
Fri, 08 May 2026 - 57min - 1652 - Uaminifu katika kufanya kazi ya Mungu.
Karibu usikilize Kipindi cha Utume wa Walei Mwezeshaji Bwana Gordon Rwenyagira, Mjumbe kamati ya Uinjilishaji Jimbo kuu Katoliki Dar es Salaam Mada ni Kanzi ya Uongozi Tarehe 12 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 53min - 1651 - Maisha ya ushuhudu kama chama cha kitume.
Karibu usikilize Kipindi cha Utume wa Walei Mwezeshaji Bi Rose Gerrad Katibu Kamati ya Uinjilishaji Jimbo kuu Katoliki Dar es salaam Mada ni Kanzi ya Uongozi Tarehe 17 Aprili 2026
Thu, 07 May 2026 - 57min - 1650 - Fahamu wajibu wakiongozi katika kuwaunganisha watu.
Karibu usikilize Kipindi cha Utume wa Walei Mwezeshaji Bi Rose Gerrad Katibu Kamati ya Uinjilishaji Jimbo kuu Katoliki Dar es salaam Mada ni Kanzi ya Uongozi Tarehe 10 Aprili 2026
Thu, 07 May 2026 - 55min - 1649 - Hii ndiyo furaha ya Utume wetu
Karibu usikilize Kipindi cha Utume wa Walei Mwezeshaji Bwana Gordon Rwenyagira, Mjumbe kamati ya Uinjilishaji Jimbo kuu Katoliki Dar es Salaam Mada ni Kanzi ya Uongozi Tarehe 20 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 59min - 1648 - Uvumilivu ni nguzo inayoshikilia utume wa walei.
Karibu usikilize Kipindi cha Utume wa Walei Mwezeshaji Bwana Gordon Rwenyagira, Mjumbe kamati ya Uinjilishaji Jimbo kuu Katoliki Dar es Salaam Mada ni Kanzi ya Uongozi Tarehe 27 Februari 2026
Thu, 07 May 2026 - 52min - 1647 - Fahamu thamani ya unyenyekevu katika uongozi wa Kanisa Katoliki.
Karibu usikilize Kipindi cha Utume wa Walei Mwezeshaji Bwana Gordon Rwenyagira, Mjumbe kamati ya Uinjilishaji Jimbo kuu Katoliki Dar es Salaam Mada ni Kanzi ya Uongozi Tarehe 20 Februari 2026
Thu, 07 May 2026 - 59min - 1646 - Fahamu Hatua za ukuaji wa mtoto baada ya kuzaliwa.
Karibu usikilize Kipindi cha Pro_life Utetezi wa Uhai Wawezeshaji kutoka Prolife Tanzania Bw. Godfrey Mkaikuta, Anthon Liepa, Janet Akkaro na Bi Grace Shayo Mada ni Hatua za ukuaji wa mtoto Tarehe 21 Aprili 2026
Thu, 07 May 2026 - 51min - 1645 - Fahamu wajibu wa Wazazi na jamii katika malezi ya mtoto.
Karibu usikilize Kipindi cha Pro_life Utetezi wa Uhai Wawezeshaji kutoka Prolife Tanzania Anthon Liepa, Janet Akkaro na Bi Grace Shayo Mada ni Malezi ya Mtoto baada ya kuzaliwa Tarehe 14 Aprili 2026
Thu, 07 May 2026 - 53min - 1644 - Fahamu thamani ya mwanamke wa leo katika kuleta uhai.
Karibu usikilize Kipindi cha Pro_life Utetezi wa Uhai Wawezeshaji kutoka Prolife Tanzania Anthon Liepa, Janet Akkaro na Bi Grace Shayo Mada ni Kwaresma Na Thamani ya Uhai wa Binadamu Tarehe 31 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 59min - 1643 - Fahamu nafasi ya Imani katika kutetea uhai.
Karibu usikilize Kipindi cha Pro_life Utetezi wa Uhai Wawezeshaji kutoka Prolife Tanzania Bwana Godfrey Mkaikuta, Janet Akkaro na Bi Grace Shayo Mada ni Kwaresma Na Thamani ya Uhai wa Binadamu Tarehe 24 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 53min - 1642 - Ifahamu nguvu ya Mwanamke katika kulinda uhai.
Karibu usikilize Kipindi cha Pro_life Utetezi wa Uhai Wawezeshaji kutoka Prolife Tanzania Bwana Godfrey Mkaikuta, Anthony Lihepa, Janet Akkaro na Bi Grace Shayo Mada ni Kwaresima na thamani wa uhai Tarehe 10 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 52min - 1641 - Kwanini tunaruhusu watoto kuendelea kuuwawa kipindi hichi cha Kwaresima?
Karibu usikilize Kipindi cha Pro_life Utetezi wa Uhai Wawezeshaji kutoka Prolife Tanzania Bwana Godfrey Mkaikuta, Janet Akkaro na Witnes Joachim Mada ni Kwaresima na thamani wa uhai Tarehe 03 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 51min - 1640 - Kwanini sherehe ani ufufuko wa bwana wetu Yesu Kristo yaani Pasaka haina tarehe malumu?
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri James Mwakibisa, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Swali ni Kwanini sherehe ani ufufuko wa bwana wetu Yesu Kristo yaani Pasaka haina tarehe malumu? Tarehe 31 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 27min - 1639 - Mara nyingi Tumekuwa Tukisisitizwa Na Mapadre kuwaombea Marehemu Ndugu Zetu Mbona Katika Maandiko Matakatifu hamna Sehemu inayoagiza kwamba Tuwaombee Marehemu
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Job Fidelis Baroka, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Swali ni Mara nyingi Tumekuwa Tukisisitizwa Na Mapadre kuwaombea Marehemu Ndugu Zetu Mbona Katika Maandiko Matakatifu hamna Sehemu inayoagiza kwamba Tuwaombee Marehemu Tarehe 30 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 21min - 1638 - Je sahihi kwa katekista kuvaa Saplisi wakati wa ibada?
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Barnabas Mushi, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Swali ni Je sahihi kwa katekista kuvaa Saplisi wakati wa ibada? Pia naomba kujua maana ya kila vazi linalovaliwa wakati wa adhimisho la Sadaka ya Misa Takatifu. Tarehe 29 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 23min - 1637 - Je ni sahihi mtu akiwa kwenye mfungo wowote ule kupokea Ekaristi Takatifu?
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Erasto Mwanasindele, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Swali ni Je! ni sahihi mtu kupokea Ekaristi Takatifu akiwa kwenye mfungo wa kwaresma huku akiwa amefunga chakula, pamoja na matendo mengine yahusuyo kipindi hicho cha kwaresma? Tarehe 27 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 27min - 1636 - Je! Tufanyeje na tuyashindaje majaribu?
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Benedict luvanga, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Swali ni Je! Tufanyeje na tuyashindaje majaribu? Tarehe 26 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 23min - 1635 - Kwanini katika misiba ya Mapadre pamoja na Maaskofu wanavaa mavazi meupe na wakati wa misiba ya walei wanavaa zambarau?
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Godfrey Msaki, kutoka Parokia ya Mtakatifu Gabriel Malaika Mkuu – Mbagala, Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam Swali ni Kwanini katika misiba ya Mapadre pamoja na Maaskofu wanavaa mavazi meupe na wakati wa misiba ya walei wanavaa zambarau? Tarehe 24 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 27min - 1634 - Fahamu Maisha ya Mitume wa Yesu na vifo vyao baada ya yesu kupaa?
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Desderius Mwambaluka, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Swali ni Naomba kujua Maisha ya Mitume wa Yesu na vifo vyao baada ya yesu kupaa. Tarehe 22 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 27min - 1633 - Kwanini Yesu alimkubalia Dismasi kuawatakua pamoja mbinguni kabla hajamuondolea dhambi wakati yeye ni mdhambi?
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Kostantine Haruna, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Swali ni Yesu alipokua Msalabani alimwambia Dismasi leo tutakua pamoja peponi nahi nibaada yakumwomba aingie pepo je hii siyo rushwa na kwanini alimkubalia kabla hajamuondolea dhambi wakati yeye ni mdhambi? Tarehe 20 […]
Thu, 07 May 2026 - 25min - 1632 - Je tunajifunza ni kutokana na maneno ya Yesu pale Msalabani anapoonyesha kukata tamaa aliposema Mungu wangu mbona umeniacha?
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Desderis Mwambaluka, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Swali ni Je tunajifunza ni kutokana na maneno ya Yesu pale Msalabani anapoonyesha kukata tamaa aliposema Mungu wangu mbona umeniacha? Tarehe 19 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 23min - 1631 - Je shetani aliumbwa na Mungu?
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Elikana Nyagabona, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Swali ni Je shetani aliumbwa na Mungu? na Je maovu yanatoka wapi kama Mungu aliumba vitu vyote vikiwa vizuri? Tarehe 18 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 21min - 1630 - Kwanini mapapa wanabadili majina baada yakupata wadhifa huo?
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Benedict Luvanga, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Swali ni Kwanini mapapa wanabadili majina baada yakupata wadhifa huo? Tarehe 17 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 19min - 1629 - Je Bikira Maria alizaa watoto wengine zaidi ya Yesu?
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Job Baraka, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Swali ni Naomba kujua kama Bikira Maria alizaa watoto wengine zaidi ya Yesu? Tarehe 16 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 22min - 1628 - Kwanini Kila Sala tunayosali, mwisho wa Sala tunasema Amina. Nini maana ya neno Amina.
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Jackob Mkandawile, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Swali ni Naomba kujua je! Katika kipindi cha Kwaresma inaruhusiwa kufunga siku ya jumapili? Tarehe 15 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 26min - 1627 - Je! Katika kipindi cha Kwaresma inaruhusiwa kufunga siku ya Jumapili?
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Erasto Mwanasindele, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Swali ni Naomba kujua je! Katika kipindi cha Kwaresma inaruhusiwa kufunga siku ya jumapili? Tarehe 13 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 26min - 1626 - Je nilazima mtu mgonjwa au anaeteseka awe ametenda dhambi?
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Jacob Mkandawile, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Swali ni Kunauhusiano wowote kati ya ugonjwa au mateso na dhambi? Tarehe 11 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 29min - 1625 - Kwanini Yesu aliwaambia Wanawake wa Israel wasimlilie yeye, bali wajililie wao wenyewe na watoto wao, pia alisema ikiwa wanafanya haya kwa mti mbichi itakuwaje kwa mti mkavu
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Kostantine Haruna, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Swali ni Kwanini Yesu aliwaambia Wanawake wa Israel wasimlilie yeye, bali wajililie wao wenyewe na watoto wao, pia alisema ikiwa wanafanya haya kwa mti mbichi itakuwaje kwa mti mkavu Tarehe 10 Machi […]
Thu, 07 May 2026 - 22min - 1624 - Kwanini Yesu aitwe mwanakondoo wa Mungu nasiyo jina la mwanyama mwingine?
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Melkizedeck Sanga, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Swali ni Kwanini Yesu aitwe mwanakondoo wa Mungu nasiyo jina la mwanyama mwingine? Tarehe 09 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 20min - 1623 - Kwanini Yesu alilala wakati wa dhoruba?
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani . Mwezeshaji ni Frateri Noah Joshua Mwamfupe, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Swali ni Kwanini Yesu alilala wakati wa dhoruba? Tarehe 08 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 29min - 1622 - Yesu Kristo aliposema nenda ukauze vile ulivyo navyo uwape maskini, nawe utakua na hazina Mbinguni Alikua anamaanisha nini?
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani . Mwezeshaji ni Frateri Jackob Mkandawile, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Swali ni Yesu Kristo aliposema nenda ukauze vile ulivyo navyo uwape maskini, nawe utakua na hazina Mbinguni Alikua anamaanisha nini? Tarehe 06 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 25min - 1621 - Nini maana ya Tabernakulo?
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Erasto Mwanasindele, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Mada ni Nini maana ya Tabernakulo? Tarehe 05 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 25min - 1620 - Je ni kituo cha ngapi alimrudishia Yesu Msalaba?
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani . Mwezeshaji ni Shemasi Emilian Samson Mahinya, kutoka Seminari kuu Mtakatifu Augustino Peramiho. Jimbo Kuu la Songea Swali ni Katika njia ya msalaba kituo cha tano Simoni wa Kirene alimpokea Yesu msalaba, je ni kituo cha ngapi alimrudishia Yesu Msalaba Tarehe 03 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 21min - 1619 - Fahamu kuhusu kipindi Cha mwaka katika liturujia ya Kanisa katoliki hususani mpaka kufikia kipindi Cha kwaresima”
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali ya Husuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Franco abel Ubamba kutoka katika hospitali ya Mtakatifu Yohane wa msalaba, Ipamba iliyopo katika parokia ya Moyo mtakatifu wa Yesu Tosamaganga Jimbo la Iringa Swali ni Naomba kueleweshwa kuhusu kipindi Cha mwaka katika liturujia ya Kanisa katoliki hususani mpaka kufikia kipindi Cha kwaresima” Tarehe […]
Thu, 07 May 2026 - 27min - 1618 - Kunatofauti gani kati ya kwaresima na Mfungo wa Ramadhani?
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali ya Husuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Franco abel Ubamba kutoka katika hospitali ya Mtakatifu Yohane wa msalaba, Ipamba iliyopo katika parokia ya Moyo mtakatifu wa Yesu Tosamaganga Jimbo la Iringa Mada ni Kunatofauti gani kati ya kwaresima na Mfungo wa Ramadhani? Tarehe 02 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 27min - 1617 - Nini maana ya kwaresima?
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali ya Husuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Franco abel Ubamba kutoka katika hospitali ya Mtakatifu Yohane wa msalaba, Ipamba iliyopo katika parokia ya Moyo mtakatifu wa Yesu Tosamaganga Jimbo la Iringa Mada ni Nini maana ya kwaresima? Tarehe 01 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 25min - 1616 - Kwa mfano mtu akikukosea na hataki kukuomba msamaha hapo inapaswa kumfanyeje?
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali ya Husuyo Imani. Mwezeshaji ni Shemasi Emmanuel mganga kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Mada ni Ni nani anaemchagua Papa? Tarehe 27 Februari 2026
Thu, 07 May 2026 - 24min - 1615 - JE! NI KWELI KUWA SALA YA BABA YETU TUNAYOSALI WAKATOLIKI IPO KATIKA BIBLIA TAKATIFU?
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali ya Husuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Samson Tibianus, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Mada ni JE! NI KWELI KUWA SALA YA BABA YETU TUNAYOSALI WAKATOLIKI IPO KATIKA BIBLIA TAKATIFU? Tarehe 26 Februari 2026
Thu, 07 May 2026 - 21min - 1614 - Ni nani anaemchagua Baba Mtakatifu?
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali ya Husuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Magai Mussa kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Mada ni Ni nani anaemchagua Papa? Tarehe 25 Februari 2026
Thu, 07 May 2026 - 20min - 1613 - Kwanini Kanisa Katoliki linaitwa Kanisa la Mitume?
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali ya Husuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Erasto Mwanasindele kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Mada ni Kwanini Kanisa Katoliki linaitwa Kanisa la Mitume? Tarehe 24 Februari 2026
Thu, 07 May 2026 - 23min - 1612 - Kristu Anarejesha Amani na furaha mioyoni mwetu.
Karibu usikilize Kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi ambacho hukujia kila siku za Jumatatu hadi Alhamisi Saa 2 asubuhi hapa Radio Maria Tanzania. Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu -Kagera, Mada ni Fumbo La Pasaka Mtangazaji ni Peter Alphaxad. Tarehe 15 April 2026
Thu, 07 May 2026 - 53min - 1611 - Wafahamu waanzilishi wa shirika la Watumishi wa Maria
Karibu usikilize Kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi ambacho hukujia kila siku za Jumatatu hadi Alhamisi Saa 2 asubuhi hapa Radio Maria Tanzania. Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu -Kagera, Mada ni Shirika la Watumishi wa Maria Mtangazaji ni Peter Alphaxad. Tarehe 05 March 2026
Thu, 07 May 2026 - 48min - 1610 - Wafahamu waanzilishi wa shirika la Watumishi wa Maria
Karibu usikilize Kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi ambacho hukujia kila siku za Jumatatu hadi Alhamisi Saa 2 asubuhi hapa Radio Maria Tanzania. Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu -Kagera, ambaye amefafanua kuhusu Mada ni Shirika la Watumishi wa Maria Mtangazaji ni Martin Joseph Tarehe 04 March 2026
Thu, 07 May 2026 - 55min - 1609 - Kituo cha Kumi na nne, Fahamu dhamiri ya Nickodem juu ya Kristu .
Karibu usikilize Kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi ambacho hukujia kila siku za Jumatatu hadi Alhamisi Saa 2 asubuhi hapa Radio Maria Tanzania. Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania. ambaye amefafanua kuhusu “Njia ya msalaba kituo cha 14 ikiwa niwakatika wa ukimya” na leo tutamuangalia Nickodem na Dhamiri yake juu […]
Thu, 07 May 2026 - 50min - 1608 - Wafahamu ndugu saba waliotokewa na Mama Bikira Maria na kuanzisha shirika la Watumishi wa Maria
Karibu usikilize Kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi ambacho hukujia kila siku za Jumatatu hadi Alhamisi Saa 2 asubuhi hapa Radio Maria Tanzania. Mwezeshaji ni Padre Deodatus Kagashe Katunzi, Mkurugenzi wa Radio Mbiu. Mada ni Shirika la Watumishi wa Maria Mtangazaji ni Joyce Jonatus Tarehe 03 Machi 2026
Thu, 07 May 2026 - 55min - 1607 - Wafahamu washirika la Watumishi wa Maria
Karibu usikilize Kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi ambacho hukujia kila siku za Jumatatu hadi Alhamisi Saa 2 asubuhi hapa Radio Maria Tanzania. Mwezeshaji ni Padre Deodatus Kagashe Katunzi, Mkurugenzi wa Radio Mbiu. Mada ni Shirika la Watumishi wa Maria Mtangazaji ni Joyce Jonatus
Thu, 07 May 2026 - 53min - 1606 - Mfungo wa kwaresima
Karibu usikilize Kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi ambacho hukujia kila siku za Jumatatu hadi Alhamisi Saa 2 asubuhi hapa Radio Maria Tanzania. Mwezeshaji ni Mhasham Lazarus Vitalis Msimbe SDS, Askofu wa Jimbo la Morogoro. Mada ni “Mfungo wa kwaresima.” Mtangazaji ni Happiness Mlewa
Wed, 06 May 2026 - 53min - 1605 - Mwaliko wa kufanya toba
Karibu usikilize Kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi ambacho hukujia kila siku za Jumatatu hadi Alhamisi Saa 2 asubuhi hapa Radio Maria Tanzania. Mwezeshaji ni Padre Clement Kihiyo , Katibu Mtendaji idara ya Liturujia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania. Mada ni “Mwaliko wa kufanya toba” Mtangazaji ni Happiness Mlewa
Wed, 06 May 2026 - 43min - 1604 - LIFAHAMU JUMA LA MIITO MITAKATIFU KATIKA KANISA
Karibu usikilize Kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi ambacho hukujia kila siku za Jumatatu hadi Alhamisi Saa 2 asubuhi hapa Radio Maria Tanzania. Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu -Kagera, ambaye amefafanua kuhusu “Juma la Miito Mitakatifu na wito wa Baba Mtakatifu Leo XIV katika kuombea miito. Mtangazaji ni Agatha Kisimba.
Tue, 28 Apr 2026 - 58min - 1603 - UNDANI WA MIAKA 40 HOSPITALI YA KARDINALI RUGAMBWA
Karibu usikilize Kipindi cha Elimu Jamii kuhusu “Maadhimisho ya miaka 40 ya Hospitali ya Kardinali Rugambwa ya Mkoani Dar es salaam”. Mwezeshaji wa Kipindi hiki ni Mkurugenzi na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Kardinali Rugambwa akiwa sambamba na watumishi wa hospitali hiyo. Mtangazaji ni Agatha Kisimba.
Tue, 28 Apr 2026 - 50min - 1602 - UNAJUA KUWA MITANDAO YA KIJAMII NI FURSA YA AJIRA..?
Karibu usikilize Kipindi cha Elimu Jamii kuhusu “Kampeni ya Fursa Sana” inayoratibiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili uizfahamu fursa zinazopatikana kwenye mitandao ya kijamii. Wawezeshaji wa Kipindi hiki ni Afisa Mawasiliano Mwandamizi kutoka TCRA Bi. Herieth Shija pamoja na Mhandisi Mohamed Bokko pia kutoka TCRA. Mtangazaji ni Agatha Kisimba.
Tue, 28 Apr 2026 - 50min - 1601 - FAHAMU UMUHIMU WA USHAURI WA KISAIKOLOJIA
Karibu usikilize Kipindi cha Elimu Jamii kuhusu “umuhimu wa huduma ya ushauri wa Kisaikolojia” Mwezeshaji wa kipindi hiki ni Mtaalamu wa Saikolojia kutoka Kituo cha Tiba na Utengamao cha Anthonia Verna Kawe Mkoani Dar es salaam Bw. Asadi Mwengwa. Mtangazaji ni Agatha Kisimba.
Tue, 28 Apr 2026 - 42min - 1600 - Je nadhiri maana yake ni nini?
Karibu katika kipindi cha maswali Yahusuyo Imani, swali la msikilizaji Je nadhiri maana yake ni nini?
Mon, 23 Feb 2026 - 29min - 1599 - Dhambi ya ulimwengu ni dhambi gani?
Karibu katika kipindi cha maswali Yahusuyo Imani, Mwezeshaji wa kipindi ni Daudi Fungameza kutoka Seminari Kuu Ya Mtakatifu Augustino Jimbo Kuu La Songea, akijibu swali la msikilizaji Dhambi ya ulimwengu ni dhambi gani?
Mon, 23 Feb 2026 - 30min - 1598 - Tofauti iliypo kati ya majini mapepo, majini na shetani hususani katika Agano jipya?
Karibu katika kipindi cha maswali Yahusuyo Imani, swali la msikilizaji tofauti iliyopo kati ya majini mapepo na shetani hususani katika Agano jipya?
Mon, 23 Feb 2026 - 29min - 1597 - Kwanini Mashemasi hulala kifudifudi wakati wa daraja Takatifu na litania ya Watakatifu wote huimbwa?
Karibu katika kipindi cha maswali Yahusuyo Imani, Mwezeshaji wa kipindi ni Daudi Fungameza kutoka Seminari Kuu Ya Mtakatifu Augustino Jimbo Kuu La Songea, akijibu swali la msikilizaji Kwanini Mashemasi hulala kifudifudi wakati wa daraja Takatifu na litania ya Watakatifu wote huimbwa?
Mon, 23 Feb 2026 - 28min - 1596 - Fahamu maana ya baraza la Maaskofu
Karibu katika kipindi cha maswali Yahusuyo Imani, Mwezeshaji wa kipindi ni Desderius Mwangaluka kutoka Seminari Kuu Ya Mtakatifu Augustino Jimbo Kuu La Songea, akijibu swali la msikilizaji nini maana ya baraza la maaskofu?
Mon, 23 Feb 2026 - 28min - 1595 - Unafahamu tofauti kati ya mapepo na masheta?
Karibu katika kipindi cha maswali Yahusuyo Imani, Mwezeshaji wa kipindi ni Frater Franco Abel kutoka Jimbo Katoliki Mafinga akijibu swali la msikilizaji juu ya Tofauti kati ya Mapepo na Mashetani?
Wed, 18 Feb 2026 - 27min - 1594 - Je Wakatiliki wanasemaje kuhusu ndoto ?
Karibu uungane na Padre Titus Amigu, Mtalaam wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), Jimbo Kuu Katoliki Mwanza katika kipindi cha Ujumbe wa Biblia akiendelea kujibu Maswali ya Msikilizaji na moja ya Maswali hayo ni Wakatoliki wanasemaje juu ya ndoto?
Wed, 18 Feb 2026 - 53min - 1593 - Kwanini Mama Bikira Maria anaitwa Mnara wa pembe?
Pendo Stephano, katika kipindi cha Tumsifu Maria, Muwezeshaji ni Padre Fabiani Ngeleja kutoka Parokia ya Mtakatifu Josephine Bhakita Nyamanoro Jimbo Kuu la Mwanza, akitufundisha juu ya Majina mengine ya Mama Maria.
Wed, 18 Feb 2026 - 54min - 1592 - Mfahamu Bikiria Maria Mama wa huruma.
Karibu uungane nami Martin Joseph, katika kipindi cha Tumsifu Maria, MMuwezeshaji ni Padre Titus Amigu, Mtalaam wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, akitufundisha juu ya Majina mengine ya Mama Maria.
Wed, 18 Feb 2026 - 56min - 1591 - Yafahamu Majina mengine ya Mama Maria.
Karibu uungane nami Pendo Stephano, katika kipindi cha Tumsifu Maria, Muwezeshaji ni Padre Fabiani Ngeleja kutoka Parokia ya Mtakatifu Josephine Bhakita Nyamanoro Jimbo Kuu la Mwanza, akitufundisha juu ya Majina mengine ya Mama Maria.
Wed, 18 Feb 2026 - 50min - 1590 - Jukumu la Roho Mtakatifu katika kueleza na kukuza mahusiano sahihi na stahiki katika maisha ya kikristo.
karibu usikilize kipindi cha Roho Mtakatifu na Kanisa ambapo Mhashamu Josaphat Lui Lebulu, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha anafundisha juu ya nyenzo anazotumia Jukumu la Roho Mtakatifu katika malezi na makuzi ya maisha ya kikristo. kukualika kwa niaba yake mimi ni Pendo Stephano.
Wed, 18 Feb 2026 - 48min - 1589 - Jukumu la Roho Mtakatifu katika kueleza na kukuza mahusiano sahihi katika maisha ya kikristo.
karibu usikilize kipindi cha Roho Mtakatifu na Kanisa ambapo Mhashamu Josaphat Lui Lebulu, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha anafundisha juu ya nyenzo anazotumia Jukumu la Roho Mtakatifu katika malezi na makuzi ya maisha ya kikristo. kukualika kwa niaba yake mimi ni Pendo Stephano.
Wed, 18 Feb 2026 - 56min - 1588 - Malezi ya mtoto baada ya kuzaliwa hadi kufikia miaka mitano.
Malezi mazuri kufaraha ya mzazi katika ukuaji wa mtoto, msikilizaji mpendwa wa Radio Maria Tanzania na Mshirika wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Bunena Kagera, karibu usikilize kipindi cha Pro life Utetezi wa uhai, kinachokujia kila siku ya Jumanne saa nane mchana na marudio saa nne usiku, studio yupo Bwana Anthony Lihepa, Bi Grace Shayo […]
Wed, 18 Feb 2026 - 55min
Podcast simili a <nome>
El Partidazo de COPE COPE
Herrera en COPE COPE
La Linterna COPE
Es la Mañana de Federico esRadio
La noche de Cuesta esRadio
Hondelatte Raconte Europe 1
Au Coeur du Crime Europe1
Affaires sensibles France Inter
LEGEND Guillaume Pley
El colegio invisible OndaCero
La Rosa de los Vientos OndaCero
Les grands dossiers de l'Histoire par Franck Ferrand Radio Classique
Espacio en blanco Radio Nacional
Enquêtes criminelles RTL
Entrez dans l'Histoire RTL
Le grand récit RTL
Les Grosses Têtes RTL
L'Heure Du Crime RTL
Parlons-nous RTL
El Larguero SER Podcast
SER Historia SER Podcast
Todo Concostrina SER Podcast
Un Libro Una Hora SER Podcast
HISTORIAS DE LA HISTORIA VIVA RADIO
Altri podcast di Religione e Spiritualità
Tagebuch eines Pfarrers Pfarrer Hans Spiegl
Joel Osteen Podcast iHeartPodcasts
Quran Podcast Izzudin Al Qossam
قصص الأنبياء - عثمان الخميس UnknownSeekerOfKnowledge
Apostle Joshua Selman Apostle Joshua Selman
العلم والإيمان - د. مصطفى محمود علم ينتفع يه
تلاوات نادرة Qur’an
Saud Al-Shuraim Muslim Central
الشيخ أمجد سمير أمجد سمير
Unter Pfarrerstöchtern DIE ZEIT
The Bible in a Year (with Fr. Mike Schmitz) Ascension
قصص الأنبياء Podcast Record
Neville Goddard Talks Sol Good Network
The Sadhguru Podcast - Of Mystics and Mistakes Sadhguru Official
Neville Goddard Lectures Neville Goddard
NEVILLE GODDARD ARCHIVE ImaginationAndFaith
Reggae Revival Dread Lightning HiFi
Apostle Joshua Selman BarryTech
Apostle Joshua Selman Apostle Joshua Selman
Wave of Grace Radio🌊 TWR Wave of Grace Radio
