Filtrar por género

Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

Haraka sana ilienea kote Italia, tayari katika miaka ya 90, uzoefu huu wa kipekee wa redio uliamsha shauku katika sehemu zingine za ulimwengu. Baadaye, kila mara chini ya uelekezi na usaidizi wa Radio Maria Italia, Radio Maria nyingine iliibuka Amerika (kuanzia na Peru), Afrika (kwanza Burkina Faso), sehemu nyingine za Ulaya… na hivyo Familia ya Ulimwengu ya Radio Maria ilizaliwa mnamo Juni 1998, na kuwa NGO inayotambuliwa na UN, yenye makao makuu ya kisheria huko Roma. Madhumuni yake ni kuendeleza mradi wa kimisionari, kujibu maombi yanayotoka katika maeneo yote ya dunia, kuhakikisha uhalisi wa chapa, kutoa usaidizi wa kiufundi kwa RM zote, na kukuza mabadilishano na usaidizi kati ya kila redio. Familia ya Ulimwengu inadumisha mahusiano ya mara kwa mara ya taarifa na Baraza la Kipapa la Mawasiliano ya Kijamii la Kiti Kitakatifu

506 - Je, wafahamu umuhimu wa kutunza uhai kwenye maisha ya Ndoa?
0:00 / 0:00
1x
  • 506 - Je, wafahamu umuhimu wa kutunza uhai kwenye maisha ya Ndoa?

    Ungana na Mtangazaji Happines Mlewa, Katika kipindi cha Familia Bora na Nyumba Aminifu Mwezeshaji ni Paschal Maziku akizungumzia juu ya kuheshimu na kutunza uhai katika Ndoa.

    Mon, 06 May 2024 - 50min
  • 505 - Je, wafahamu msingi katika Ndoa?

    Ungana na Mtangazaji Happines Mlewa, Katika kipindi cha Familia Bora na Nyumba Aminifu Mwezeshaji ni Paschal Maziku ambapo ni Muendelezo wa mada umuhimu wa kutunza uhai katika maisha ya Ndoa.

    Mon, 06 May 2024 - 53min
  • 504 - Nini, maana ya Faraja?

    Karibu Ungane nami Happiness Mlewa, katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe  Mkurugenzi wa  Radio Mbiu Sauti ya Faraja Kagera na  Paroko wa Parokia ya Kaazi Jimbo Katoliki Bukoba. Mada  Faraja ya Imani

    Mon, 06 May 2024 - 56min
  • 503 - Ni, Kwa namna gani Bikira Maria ni Mama mwenye Unyenyekevu?

    Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateri  Ayubu Polycarp Mwashibili, kutoka Parokia ya Mtakatifu Yohane Mbatizaji Makongolosi Jimbo kuu la Mbeya  Swali la Msikilizaji linalojibiwa linasema Bikira Maria ni Mama mwenye unyenyekevu naomba kupewa maelezo kwa namna gani ?

    Mon, 06 May 2024 - 26min
  • 502 - Tutafsiri vipi ndoto za Kikristo?

    Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateri  Ayubu Polycarp Mwashibili, kutoka Parokia ya Mtakatifu Yohane Mbatizaji Makongolosi Jimbo kuu la Mbeya  Swali la Msikilizaji linalojibiwa linasema siku hizi kumekuwa na watu wengi wanaojiita watafsiri wa ndoto, sasa tutafsiri vipi ndoto za Kikristo?

    Mon, 06 May 2024 - 24min
Mostrar más episodios